ramani ya nyumba

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. E

    Msaada wa Ramani ya Nyumba

    Habari. Nina shida na Ramani ya nyumba yenye sifa zifuatazo -Vyumba viwili vya kulala, kimoja master -Sitting room -Public toilet -Jiko Naomba kuwasilisha
  2. Mlatino Zeshalo

    Ramani ya nyumba ya jirani yangu nimeipenda

    Ndugu wanajamvi, habari za majukumu? Kuna mchoro wa ramani ya nyumba ya jirani yangu nimeupenda sana. Vipi nikihamishia huo mchoro site kwangu haitaleta noma?
  3. T

    Naomba mtu mwenye ramani ya nyumba ya kisasa vyumba 4

    Kama una ramani yenye vipimo tupia ndugu ,na mimi nianze project mdogo mdogo,Hela ya soda haukosi,barikiwa sana
  4. vaxromeo91

    INAUZWA Ramani ya nyumba kwa bei nafuu

    Ina vyumba vitatu vya kulala (kimoja master bedroom) Sebule Dinning Jiko Choo cha kushare Karibuni: 0687489355
  5. EJOSMAT

    Maliza mwaka na Ramani ya nyumba yako

    Karibu tukuchoree ramani ya nyumba ya kisasa kwa bei ya ofa ya msimu wa sikukuu wasiliana nasi kwa simu au whatsapp 0717 040 837 au +255 767 267 664. Anza mwaka na malengo makubwa ya kumiliki nyumba yako. Kodi Noma, hamia kwako
  6. E

    Tunachora ramani za nyumba za kisasa kwa bei nafuu

    Tunachora ramani za nyumba za kisasa kwa bei nafuu sana kwa maelezo zaidi wasiliana nasi kwa simu/ whatsapp 0717 040 837 au +255 767 267 664
  7. Obama wa Bongo

    Naomba ufafanuzi wa hili la Mtu kuomba Ramani ya nyumba yako

    Salama wadau, Nina kamamiezi kadhaa toka niamie makazi yangu mapya...ila tatizo ninalokutana nalo ,wapita njia wanaomba ramani ya nyumba(nyumba bado sijaliza ukuta) pia ipo barabarani main road Zaidi ya mara nne nimeshawatimua watu wanapiga picha nyumba bila ruksa yangu tena hapo ni weekend...
  8. yohana Malekela

    Msaada wa ramani ya nyumba za wapangaji

    Wana Jamiiforums wenzangu khabari za jioni, kwa wataalam wenye talanta na taaluma za mambo ya ujenzi Naomba msaada wa RAMANI ya nyumba ya wapangaji. Ahsante.
  9. Kuwite94

    Ramani ya nyumba ya vyumba vinne

    Ramani ya vyumba vinne, chumba kimoja masta,vyumba vitatu vya kawaida, pia ina ~sebule ~dining ~jiko ~stoo ~public toilet ~veranda mbili ~Ukubwa wa Ramani ni mita 13.8 kwa mita 13.8 ~Mahitaji: Tofali 3500,Bati 50 Kupata Ramani na plan yake tuwasiliane 0742295125 Call/WhatsApp
  10. Kuwite94

    Ramani ya nyumba ndogo ya kisasa kwa Bei nafuu

    Ramani ya nyumba ndogo yenye mahitaji muhimu, ina.. Sebule dining vyumba viwili kimoja master jiko stoo public toilet entrance veranda kitchen veranda INATOSHEA KWENYE KIWANJA CHA MITA 11.7 KWA MITA 10 MAHITAJI TOFALI 2678 (za msingi 675, nyumba 2003) BATI PISI 55 (za futi 10 urefu na upana...
  11. Kuwite94

    Ramani ya nyumba ya kisasa kwa Bei nafuu

    Ramani ya vyumba vitatu, chumba kimoja masta,vyumba viwili vya kawaida, pia ina ¶sebule ¶dining ¶jiko ¶stoo ¶public toilet ¶veranda mbili ~Ukubwa wa Ramani ni mita 16.2 kwa mita 12.8 ~Mahitaji: Tofali 3500,Bati pisi 85 Kupata Ramani na plan yake tuwasiliane 0742295125 Call/WhatsApp
  12. Kuwite94

    INAUZWA Ramani ya nyumba inauzwa

    Ramani ya vyumba viwili, chumba kimoja masta, kingine cha kawaida, pia ina; ~sebule ~dining{chumba cha kulia chakula} ~jiko ~stoo ~choo cha kushea ~baraza ya mbele na ya jiko ~Ukubwa wa Ramani ni mita 11.6 kwa mita 8.6 ~Mahitaji: Tofali 2650,Bati pisi 34 { futi 10 urefu na upana futi 3} ~kupata...
  13. vaxromeo91

    INAUZWA Offer ya Ramani 80k

    Vyumba vinne, Master bedroom, sitting room, dining room, jiko na stoo Bei 80,000/= Offer ya siku chache karibuni Mawasiliano: 0766043459 Karibuni
  14. L

    Jinsi pesa inavokufanyia kazi kwenye Ujenzi

    Moja kati ya nyenzo zinazowanyanyua watu wengi na kuwa na utajiri basi ni miradi ya kupangisha nyumba(Real estate), nichukue nafasi hii kuwaonyesha michoro ya 3d ya nyumba za kupanga, zikiwa na self tu ( ziko nne) na self pamoja na sebule(ziko tatu)// saizi ya kiwanja ni mita 20/kwa 20...nichek...
  15. E

    Ramani ya nyumba vyumba viwili kwa watanzania wakawaida

    Nimejitahidi kadri ya uwezo wangu naanda hii ramani ya nyumba ya vyumba viwili kwaajili ya watanzania wenye uchumi wa kawaida kama mimi. Unaweza kujionea hapa chini. Ila bado haijamalizika.
  16. Kuwite94

    Ramani ya nyumba ya room mbili ya bei nafuu

    Ukubwa wa ramani mita 9.9 kwa mita 9.3 Nyumba ina 1 self bedroom 1 bedroom open kitchen entrance and kitchen veranda public toilet living room tofali za msingi 517 tofali za nyumba 1280 bati 30 Kupata Ramani na plan yake tuwasiliane whatsap 0742295125
  17. Kuwite94

    Ramani ya nyumba ya vyumba vitatu kwa bei nafuu

    RAMANI YA NYUMBA YA GHARAMA NAFUU YA VYUMBA VITATU KIMOJA MASTA ,INA DINING,SEBULE PIA INA.... ¶JIKO ¶STOO ¶CHOO NA BAFU LA KUSHEA ¶BARAZA MBILI -UKUBWA WA RAMANI MITA 11.5 KWA MITA 11.5 -MAHITAJI: TOFALI 2630 BATI PISI 58 KUPATA RAMANI YAKE TUWASILIANE WHATSAP 0742295125
  18. Kuwite94

    Ramani ya nyumba ya bei nafuu

    RAMANI YA NYUMBA YA GHARAMA NAFUU, YENYE: ¶VYUMBA VITATU VYA KULALA KIMOJA SELF ¶SEBULE ¶OPEN KITCHEN ¶DINING ¶CHOO CHA KUSHEA ¶VERANDA MBILI ¶STOO ~MAKISIO ¶TOFALI ZA BLOCK=3423 ¶BATI ZA FUTI KUMI=68 ~UKUBWA WA RAMANI NI MITA 11.5 KWA 13.35 KUPATA RAMANI YAKE TUWASILIANE WHATSAP 0742295125
  19. Kuwite94

    Ramani ya nyumba ya bei nafuu

    RAMANI YA NYUMBA YA GHARAMA NAFUU, YENYE: ¶VYUMBA VITATU VYA KULALA KIMOJA SELF ¶SEBULE ¶OPEN KITCHEN ¶DINING ¶CHOO CHA KUSHEA ¶VERANDA MBILI ¶STOO ~MAKISIO ¶TOFALI ZA BLOCK=3423 ¶BATI ZA FUTI KUMI=68 ~UKUBWA WA RAMANI NI MITA 11.5 KWA 13.35 KUPATA RAMANI YAKE TUWASILIANE WHATSAP 0742295125
  20. yuda75

    Naitaji ramani ya nyumba

    habari naitaji ramani ya nyumba vyumba vitatu na sebule chumba kimoja master then public toilet kiawanja ni sq 15/15 kipo arusha pia ni flat hakuna mwinuko hata kidogo pia nipate kujua vifaa na idadi ya vitu vitakavyo itajika hadi kufika kwenye lentaa asanteni
Back
Top Bottom