Waterloo
JF-Expert Member
- Nov 30, 2010
- 25,649
- 39,745
anapendwa na wasiojielewa kama wewe.Ulinzi wa huyu jamaa ni mtihani kwa idara zote za ulinzi!
Ukipendwa na wananchi wako umependwa tu!
anapendwa na wasiojielewa kama wewe.Ulinzi wa huyu jamaa ni mtihani kwa idara zote za ulinzi!
Ukipendwa na wananchi wako umependwa tu!
hahahaha haipo hiyo kadanganyaneni huko lumumba nyie.Wananchi wameweza, endapo watajua kuwa anapita mahali na wakaamua hawazuiliki.
Hii sio kama kupiga deki lami, hii ni neksti levo!
UTAKUWA NI WALE KUTOKA CHAMA CHA MALOFA NA WAPUMBAVU ,ULITAKA TUMSIMISHE DADA AKOsasa kama mlimsimamisha nyie si Nyumbu tu
mbona yule shaka zulu wa ccm alikuwa kigoma anafanya mikutano?Hamna aliyezuiliwa kufanya mikutano, hilo ni chaka tu la upinzani wanajifichia na vilaza kama wewe wanaona ni kweli, mikutano sio lazima ifanyike Dar, hizi ngonjera za kuzuiwa mikutano ni kwamba mbunge wa Hai, mbunge wa Arusha anataka afanyie mkutano dar, sio lazima!
Akafanye mkutano jimboni kwake na media zitakuwapo, ujumbe wake utafika kila kona!
Chama cha malofa na wapumbavu ni CCM. anza kumsimamisha mamako kwanzaUTAKUWA NI WALE KUTOKA CHAMA CHA MALOFA NA WAPUMBAVU ,ULITAKA TUMSIMISHE DADA AKO
Kwani ni mtu mmoja hapo ,ujue barabara zima la eneo hilo limejaa watu so inawezekana kabisa kumtambua . na watu wanajua kabisa gari wanalohitaji ni namba ngapi.
nilikuwa namjibu barafuyamoto, hujanielewaAnapendwa sana na Watu wote hapo uongo kabisa umejuaje! Huku tu Facebook siyo wote wanampenda hiyo Watu wote inatoka wapi! Umejuaje pia anapendwa sana! Unajua jua halihitaji kampeni juu ya uwepo wake!!
Alama ya Bibi na Bwana. (Ngao)
Balaa ipi au watu hawana kazi inabidi kushangaa tu!Tukubaliane tu, Magufuli anapendwa sana huko anakopita ni balaa. Propaganda hazina maana katika hilo
Balaa ipi au watu hawana kazi inabidi kushangaa tu!Tukubaliane tu, Magufuli anapendwa sana huko anakopita ni balaa. Propaganda hazina maana katika hilo