Angalia Wananchi Wanamlazimisha Rais Wao Asimame

Angalia Wananchi Wanamlazimisha Rais Wao Asimame

Anachosema Msigwa ni kweli.Mnasimamishwa na traffic kwa zaidi ya Massa mawili akipota ati Rais alilakiwa na watu waliojipanga barabarani wakati watu wamesimamishwa muda mrefu tena kwa lazima.

Acheni mambo ya ujima,yalikuwepo enzi za JKN na yeye akayaona hawana.maana akayaacha.Duh umasikini wa akili ni hatari sana
Povu povu povu la kiwango cha lami! Sasa kama walisimamishwa kulikuwa na haja ya wao kuvamia barabara, chuki na wivu mpaka akili ya kawaida haifanyi kazi!
 
Unaweza kunijibu kwanini hayo magari ya polisi yalisimama mbele kabla hari la Rais alijafika?
Ni clip ipi umeona hayo magari ya polisi mbele yakisimama? Clip hii ya hapo juu sijaona yakisimama mbele, hivyo nashindwa kukujibu swali lako!
 
Angalia hayo magari yakipita yanasimama mbele
Yawezekana screen ya simu yangu haionyeshi vizuri, ila kama kweli yalisimama, kwanza sitegemei magari ya usalama wa rais ktk umati huo mkubwa yangepita na speed 120, pili kama wana usalama lazima utegemee vitu kutokana na mazingira, kama walisimama mbele basi walisoma alama za nyakati na kutegemea kuwa kunaweza kukawa na simamisho la msafara wa rais, hii sio mara ya kwanza wanasafiri na rais, hivyo kama sehemu ya timu ya ulinzi na usalama kuna vitu unavitabiri na kuchukua tahadhari, kama walisimama, basi ni tahadhari, maana wamlindae yuko nyuma, haimake sense wao waendelee kusonga mbele wakati gut feelings zinasema hapa kutakuwa na simamisho la msafara!

NB: kama unadhani ni maigiso basi walaumu wananchi.
 
Siasa zetu ni ujinga mtupu.
Eti rais kasimamishwa na wananchi? So what?
Mnashindwa kutatua matatizo ya watanzania mnakimbilia mambo ya kijinga, sasa rais kusimama kwenye msafara sisi inatusaidia nini? Tangu nchi ipate uhuru hamna jipya watu miaka nenda rudi mnajenga barabara tu tena nazo mnaona mmepiga hatua kweli kweli.
Hivi dunia ya leo ni dunia ya kujisifia kujenga barabara ya rami km 130? Watu wenzetu wanafanya mambo makubwa miccm imekalia kampeni za kijinga na sifa za kitoto tu.

Mlisaini mikataba usiku saivi mnasumbua watu wampongeze rais kwa kusimamia madini! Sasa hayo madini nani aliingia mikataba ya kijuha kama sio nyinyi? Tena mlifanya siri leo mnajitekenya na kucheka wenyewe.
 
Yawezekana screen ya simu yangu haionyeshi vizuri, ila kama kweli yalisimama, kwanza sitegemei magari ya usalama wa rais ktk umati huo mkubwa yangepita na speed 120, pili kama wana usalama lazima utegemee vitu kutokana na mazingira, kama walisimama mbele basi walisoma alama za nyakati na kutegemea kuwa kunaweza kukawa na simamisho la msafara wa rais, hii sio mara ya kwanza wanasafiri na rais, hivyo kama sehemu ya timu ya ulinzi na usalama kuna vitu unavitabiri na kuchukua tahadhari, kama walisimama, basi ni tahadhari, maana wamlindae yuko nyuma, haimake sense wao waendelee kusonga mbele wakati gut feelings zinasema hapa kutakuwa na simamisho la msafara!

Hivi unajua kuvamia msafara wa Rais hivyo ni kosa la jinai? Kwasababu uvamizi kama huo unaweka usalama wa Rais shakani.
 
Back
Top Bottom