Angalia Wananchi Wanamlazimisha Rais Wao Asimame

Angalia Wananchi Wanamlazimisha Rais Wao Asimame

Kweli watu hawana akili... duh.

Video wanaona alafu bado wanabisha... basi ni movie ile

Sent from "La -Vista"
 
Kwa hiyo ulitaka watangaze kwamba "Tumefanya utaratibu wa Rais kuzungumza na wananchi wa ....."? Hata hivyo ukiangalia hiyo clip, ni dhahiri kuwa wananchi ndiyo waliousimamisha msafara
Unaonekana unataka tu kubishana,nilikwepo hapo na mipango yote ilipangwa
 
Kasimamishwaje?walipanga mawe au walilala barabarani?
 
kila kitu ni plan tu,hata hiyo kusimamishwa huwa ina kuwa plan ,mwenye kuelewa na aelewe
 
Wanatufanya wajinga sana
Gari la kwanza limepita spidi sana
Liliofuatia kelele ila haliko spidi afu lilifuatia likapunguza mwendo hadi hapo hakuna aliye simama bali alitaka simamishwa

Nijuavyo kwenye msafara wa raisi huwezi ona hata pikipiki ikikatiza barabara
 
Kwenye vifeo Nimeona boda boda ikikatiza balabalani wakuu, pia watu walikuwa wameisogelea sana balabala, pia sijaona askari wanaozuia mtu kukatisha au kusogelea bala bala,
Mliokuwepo tufahamisheni zaidi

_ where ever you are remember me_
 
Kuna clip ya msafara wa rais inayotembea sasa kwenye magroup ya whatsapp, ikionyesha namna ambavyo wananchi wanasimamisha gari la rais.

Nadhani ni msafara wa rais kuelekea Tanga hivi majuzi. Kuna wanaodai ni siasa, kwa maana ya watu wale kuwa wamepangwa na mfumo ili ionekane kana kwamba ni rais mwenye kupendwa na watu.

Nilitaka kuamini kuwa ni kweli hii ni michezo ya kisiasa, lakini nimebadili mawazo baada ya kuiona hii clip, ambayo nimei-attach kwa faida ya wenzangu humu ndani.

Ulinzi wa mkuu naona umeimalika, nawaona wazee wa kazi wakiwa na vya moto mkononi, wanasubiri mtu aseme suu, ili wamuwahishe huko kwenye maisha mapya.

Ni hatari namna hii, kwani katika hawa hawa wanaozuia msafara baadhi wanaweza wasiwe na mitutu, inawezekana mtu kalivaa lile baya la kulipuka na kuua watu wengi. Ulinzi na uimarishwe zaidi na zaidi. It is risky for the main man of this country to be easily surrounded by strangers.
 
Attachments

Mkuu Phillipo hilo ni tukio la kupangwa kwani kwa kawaida magari ya msafara huwa yanatembea kwa kasi, na hakuna uwezo wa magari yaliyo mbele kusimama eti msafara umezuiwa, je watajuaje kama rais ataafiki kuongea eneo hilo? Hiyo ni michezo ya kuigiza ya kawaida ya wanasiasa wanaosaka umaarufu.
 
JPM anaongea moja kwa moja na mtu wa chini, anaongea lugha yake. Upinzani mwaka 2020 wawe waangalifu sana.

Hizi kiki za kina Mbowe za kuongelea uchumi haziwezi kuwasaidia sana, kwa sababu mkuu ni mtu mnyenyekevu kwa mtu wa kawaida kabisa.

Ukianza kuongelea takwimu, utaeleweka kwa wasomi wa mijini tu ambao ushawishi wao una mipaka kwa sababu nyingi tu.

Wapinzani wajipange ili waweze kuandaa mikakati bora kuliko hii ya CCM, vinginevyo lawama kwa tume ya uchaguzi zitakuwa kama wimbo wa krismasi wa Jim Reeves, ambao unapigwa katika kipindi fulani cha mwaka, na kikipita maisha yanaendelea kama kawaida.
 
Mkuu Phillipo hilo ni tukio la kupangwa kwani kwa kawaida magari ya msafara huwa yanatembea kwa kasi, na hakuna uwezo wa magari yaliyo mbele kusimama eti msafara umezuiwa, je watajuaje kama rais ataafiki kuongea eneo hilo? Hiyo ni michezo ya kuigiza ya kawaida ya wanasiasa wanaosaka umaarufu.
Mkuu suala sio kasi ya msafara, kasi inaweza kuwa ni ndogo lakini ule utashi wa mwananchi kuingia barabarani ukawa haupo.

Ukiitazama hiyo clip utaona hao watu wanavyoanza kujiandaa kupungia mikono ili gari isimame tangu wakati gari ya kwanza kabisa inakatiza mbele ya macho yao.

Hao watu wanaangalia taarifa za habari za TBC, ITV na nyingine, wanaona utashi wa rais jinsi ulivyo katika kutatua shida zao. Wanasikia yale maneno kwamba maendeleo ya kweli hayana chama, na mwisho wanaamua kuingilia msafara japo wapewe neno la faraja.
 
Tukubaliane tu, Magufuli anapendwa sana huko anakopita ni balaa. Propaganda hazina maana katika hilo
Ni kawaida kwa nchi kama zetu mkuu wa nchi akipita lazima watu wasimame na wamshsngilie japo kinafiki kwani nani hajipendi? Tumetawaliwa na nidhamu ya woga hasa huko pembezoni. Siyo kweli kama watu wanayafurahia haya maisha magumu hapana mtu anayependa kuwa homless. Hata wakati wa apartheid South Africa Botha naye wali m treat vizuri kwa kuogopa usalama wao siyo kama walikuwa wanampenda

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom