Angalia Wananchi Wanamlazimisha Rais Wao Asimame

Angalia Wananchi Wanamlazimisha Rais Wao Asimame

Anachosema Msigwa ni kweli.Mnasimamishwa na traffic kwa zaidi ya Massa mawili akipota ati Rais alilakiwa na watu waliojipanga barabarani wakati watu wamesimamishwa muda mrefu tena kwa lazima.

Acheni mambo ya ujima,yalikuwepo enzi za JKN na yeye akayaona hawana.maana akayaacha.Duh umasikini wa akili ni hatari sana
1e7977eef6dc7c6ff9b3f5741baedf90.jpg


Msigwa huyu huyu au mwingine?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tukubaliane tu, Magufuli anapendwa sana huko anakopita ni balaa. Propaganda hazina maana katika hilo
Eti Magufuli anapendwa. ..Leo mkuu naomba utaje mambo mawili ambayo yamefanywa na awamu hii yanayomnufaisha mtu mwanakijiji wa Kitwe
 
Walioanza punga mkono ni wenye nguo za kijani . Nwapo kwenye payroll ya lumumba tuache mambo ya kaole
 
Pia ni bora uwe na wivu maendeleo kuliko kuwa mpinza wa kupinga pinga tu hata fikra pevu za wananchi. Yeye msigwa asingesimama kama wananchi wangemsimamisha pale jimboni kwake Iringa?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Magufuli anapendwa sana tuache utani kabisa ni habari nyingine kabisa.
 
JPM Kipenzi cha wanyonge kweli kweli.. Amefuta kodi nyingi za wakulima..
 
Tukubaliane tu, Magufuli anapendwa sana huko anakopita ni balaa. Propaganda hazina maana katika hilo
Nakumbuka alivyosimama tegeta kumbe jamaa walikuwa wamejipanga zamani police na wanausalama walifika tegeta masaa matano kabla hadi watu wakajiuliza kuna nini hapa baada ya muda rais ndo anajifanya eti kasimama kwa emergency .watanzania hivi nan katuloga yaan tunadanganyika kwa vitu vya kipumbavu sana hivi kwa akili yako nan anaweza akasimamisha msafara wa rais?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii nchi bana, MIMI NDIO NMEONA KWENYE VDEO KASIMAMISHWA NA WANANCHI; KWAHYO??? KUSIMAMISHWA NA WANANCHI KUNA IMPACT GANI KWA MTANZANIA MMOJAMMOJA?

Sent from My GooglePixel using JamiiForums mobile app
[emoji3][emoji3]kutaleta ugali na bei ya sukari itashuka mkuu. watanzania tukapimwe mkojo
 
Back
Top Bottom