Angalia Wananchi Wanamlazimisha Rais Wao Asimame

Angalia Wananchi Wanamlazimisha Rais Wao Asimame

Highly likely delivered to spam folder.

Sent from my Kimulimuli
Yeah, but after pondering it and grasp its intended aim, now it's your choice to keep it in that spam folder or getting rid of it for good.
 
Nyie Nyumbu wa Lumumba mbona Lowassa alivyosimamishwa Geita akitokea Kagera polisi walizuia? Acheni Unyumbu.

Sent using Jamii Forums mobile app

Kwa hiyo Lowasa alikuwa ni Rais? ule wa Lowasa ulikuwa ni mkusanyiko usio halali, kumbuka huyu ni Rais na ana wajibu kwa watu wake anaowaongoza, wale wa GEITA hata wangemwambia kuwa hawana maji Lowasa angefanya nini?
 
Nyie kenge wa lumumba mnajua kusimamisha msafara wa rais ni jambo rahisi sana ee? Wadanganyeni wajinga

Sent using Jamii Forums mobile app
Ila hao wananchi waliweza usimamisha, mtake msitake hao wananchi sio wasanii, hawakuwa sehemu ya "stage act!!"
Kubalini tu hii sindano imewagusa kuliko maana sio alama nzuri 2025!
 
Mradi wa maji sio kuwa na maji miaka 50 bado unadanganywa na miradi ya maji kwa kufilisiwa mawazo kiasi hiki ndo ushirikina " mungu hampi mja wake akili fupi kiasi hiki"....
NDUGU BILA SHAKA UTAKUA MCHAWI, NDIO HAWAJAPATA HAYO MAJI MIAKA HIYO HILA SASA WANAKARIBIA KUPATA, WEW HUTAKI
 
Yeah, but after pondering it and grasp its intended aim, now it's your choice to keep it in that spam folder or getting rid of it for good.
It was not even read. Because it is in the spam folder.

Sent from my Kimulimuli
 
Wanachofanya ni simple tu.wana wasimamisha muda mrefu kabla raisi hajapita,then kutokana na joto,uchovu watu wanaamua kushuka kwenye magari yao kusubiri apite hapo ndo wanapotumia fursa kupika maigizo yao hayo!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kilaza mama yako, sijatukana mtu, shenzi mkubwa wew. Kwa nini unatumia lugha chafu. sikutukana mtu, nimetoa hoja, neno kilaza linatoka wapi? kilaza mama yako.
Kwa niaba ya barafuyamoto,naomba radhi, hakustahili "kukutukana" kiasi kile..

Lakini ukiondoa sentensi ya kwanza yenye "tusi", kifungu kilichobaki ndilo jibu sahihi la hoja yako.
 
Msafara wa Raisi hauwezi simamishwa kizembezembe hivyo...kwanza jinsi hata yale magari yanavyokua spidi na yamepangana kugundua gari la Raisi huwa si rahis..pale ambapo unapata utambuzi tayar linakua limeishapita......
Ingekuwa ni kusimamisha bac hata yale magar yote yasingepita....watu wangebahatisha tu....
Kwa mie navyoona watu wa intelligensia wanakua wanajua kabisa wapi atasimama....au pia inawezekana ni wao wanaandaa kamchakato kabisaaa


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Arlight, but by your repplies, you have read it thoroughly!!
I have not read it. Hence the comment that "this is neither here nor there".

Had I read it thoroughly, I would have known where to place it.

Right now it sits with the rest of garbage in the spam folder.

One exampke to demonstrate that a leader being loved does not prove much was enough.

Why did you feel the need to inject Lowassa?

Sent from my Kimulimuli
 
I have not read it. Hence the comment that "this is neither here nor there".

Had I read ut thoroughly, I would have kniwn where to place it.

Right now it sits with the rest of garbage in the spam folder.

One exampke to demonstrate that a leader being loved does nit prove much was enough.

Ehy did you feel the need to inject Lowassa?

Sent from my Kimulimuli
Okey, lets assume you are right,
 
Back
Top Bottom