barafuyamoto
JF-Expert Member
- Jul 26, 2014
- 32,404
- 29,811
Hii sio nzuri hata kidogo!
Kuna gaps kibao za kumfikia rais, watu wanausoma tu mchezo!! Ingependeza hata akawa anatumia decoy kuliko hivi.
Hii sio nzuri hata kidogo!
Afadhari hawa, kali ni pale 'janaume' limebinua tako juu mikono sakafuni eti linadeki lami mtu apite![emoji3][emoji3]kutaleta ugali na bei ya sukari itashuka mkuu. watanzania tukapimwe mkojo
Usibishane na washangiliaji hawatakaa wakuelewe kamwe.Kila kituo Rais anaposimama pameandaliwa na anajua.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Afadhari hawa, kali ni pale 'janaume' limebinua tako juu mikono sakafuni eti linadeki lami mtu apite!
Kusombwa na kulazimishwa ni vitu viwili tofauti. Wamekubali kwa hiyari yao kusombwa kwahiyo mapenzi yako pale pale.Hawa anasombwa toka vijijini mashenzini ndio wanakuja kujipanga. Unaona kabisa akili zetu zilivyo! Hawa ni rahisi kuwatawala...
Jf Kennedy amewekwa katika orodha ya marais waliopendwa zaidi marekani lkn aliuwawa kwa risasi. Baada ya mauaji yake marekani ikaongeza urais wa rais na walijilaumu Kwanini hawakumlinda ipasavyo jf Kennedy kwa sab waliamini alikuwa anapendwa sana. Think big.kama unapendwa ulinzi wote wa nini? Unajichanganya, hujui ni hoja gani unaisimamia.
kwani ww ni mbunge wa wajingaa? Hivi upitishwe na li fisiemu lako iringa mjini utapita kweli? Msiongee tu km mpo kwenye vifua vya mama zenuKati ya watu wenye cheap politics Msigwa anaonhoza. Siyo mitandaoni, bungeni , majukwaani.
Afadhali umejitetea vizuri kwa kukubali kuwa anapendwa.Kupendwa si tija. Hata Hitler alipendwa.
Sema jingine.
Sent from my Kimulimuli
Angalia Video kwa umakini utapata jibu.Walijuaje hilo gari ndilo Raisi amepanda? Jamani tuwe Watu, raisi ni raisi hizi mbinu zote zilikuwa zinafaa zamani sana siyo enzi hizi!! Thank