Yawezekana screen ya simu yangu haionyeshi vizuri, ila kama kweli yalisimama, kwanza sitegemei magari ya usalama wa rais ktk umati huo mkubwa yangepita na speed 120, pili kama wana usalama lazima utegemee vitu kutokana na mazingira, kama walisimama mbele basi walisoma alama za nyakati na kutegemea kuwa kunaweza kukawa na simamisho la msafara wa rais, hii sio mara ya kwanza wanasafiri na rais, hivyo kama sehemu ya timu ya ulinzi na usalama kuna vitu unavitabiri na kuchukua tahadhari, kama walisimama, basi ni tahadhari, maana wamlindae yuko nyuma, haimake sense wao waendelee kusonga mbele wakati gut feelings zinasema hapa kutakuwa na simamisho la msafara!
NB: kama unadhani ni maigiso basi walaumu wananchi.