TataMadiba
JF-Expert Member
- Feb 7, 2014
- 9,870
- 5,755
Mkuu kisimu chako hakifungui video uone msigwa alivyomuongo. Kwanza tangu azaliwe alishakanyaga Kanda ya ziwa ?Anachosema Msigwa ni kweli.Mnasimamishwa na traffic kwa zaidi ya Massa mawili akipota ati Rais alilakiwa na watu waliojipanga barabarani wakati watu wamesimamishwa muda mrefu tena kwa lazima.
Acheni mambo ya ujima,yalikuwepo enzi za JKN na yeye akayaona hawana.maana akayaacha.Duh umasikini wa akili ni hatari sana
Unabishana na video?Anachosema Msigwa ni kweli.Mnasimamishwa na traffic kwa zaidi ya Massa mawili akipota ati Rais alilakiwa na watu waliojipanga barabarani wakati watu wamesimamishwa muda mrefu tena kwa lazima.
Acheni mambo ya ujima,yalikuwepo enzi za JKN na yeye akayaona hawana.maana akayaacha.Duh umasikini wa akili ni hatari sana
Magufuli hawamuwezi, wakubali tu yaisheNi kawaida ya nyumbu wanapoishiwa cha kusema cha maana basi wao huruka-ruka tu na vijineno visivyo na msingi.
Huo ndiyo ukweliTukubaliane tu, Magufuli anapendwa sana huko anakopita ni balaa. Propaganda hazina maana katika hilo
Hapo sasa, Hiyo video imemuumbua Msigwa kabisa.NYUMBU WANABISHIA MPAKA VIDEO, SISI MBONA TULMSISMAMISHA PALE TEGETA
Eti bado wanabishana na video, watu wa ajabu kwelikweli
Wamekimbia, hawapo hapaEti bado wanabishana na video, watu wa ajabu kwelikweli
Msigwa na bavicha kwa ujumla macho KODOO!!Wamekimbia, hawapo hapa