Anayejua Rais Magufuli anatupeleka wapi atuambie, naona kama tumepotea

Status
Not open for further replies.
Jiwe na wapambe wake wachache wanajua nini wanakitafuta kwa kununua wapinzani lakini ccm karai wanafurahia ununuzi huu ambao unaligharimu, utaligharimu taifa kwa miaka kadhaa.

Lengo kuu la jamaa ni kuua upinzani na kuwa mtawala hadi kufa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hekima ni kitu cha muhimu sana katika maisha ya mwanadamu. kama hauna hekima hakika utaonekana mtu wa ajabu sana mbele za watu. haijalishi kiwango cha elimu ulichonacho. Ingawa zamani nilijua ukiwa na elimu kubwa vivyo hivyo hekima inazidi kuongezeka kumbe nilikuwa najidanganya.
 
Sifa ya mpimbavu ni kujudge kila kitu in a negative perspection na kufikiri ana ufahamu wa mambo kuliko wengine

Kwa bahati mbaya zaidi hauko peke yako unayeomba huruma. Mtasubiri huruma may be sometimes after 2025

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nadhani wewe utakuwa mtoto,shemeji,mjukuu,rafiki wa karibu wa Vasco,au mtu uliyefaidika na utendaji wa hovyo wa awamu za tatu na nne kwa hiyo itakuwa vigumu kuingiza substance kichwani mwako.In short wewe ulikuwa sehemu ya tatizo,kwa hiyo comments zako sizishangai.
hahahaaaaa unatia kinyaaa aisee kuna uongozi na utaeala mbovu na wa hovyo kama. huuu?? na ndio maana nguvu kubwa inatumika kuficha usheni usijulikane hakuna lamaana pesa zina chezewa sana awamu kuliko awamu zoote na kama ni ufisadi sasa ndio ynafanyika hasa na tuna lijua hilo ndio maana kivuko kikakimbiziwa jeshini, hapo sijataka kundelea na bombadia na dreamliner na mambo kibao. pesa za uma zina tapanywa na famialia

budget ya nchi ipo kichwani kwa mtu 1 sio bunge tena. aisee watafuteni wale wajinga mnao wapa kofia na t-shirt mashambani huko muendelee kuwaimbia nyimbo zenu za ulaghai sie tuna wajua ndani nje na wizi wenu kwa mgongo wa vyombo vya dola
 
Siku hizi ukiwa na power hiyo elimu kubwa utaipata lakini zamani lazima uisotee na uipate ki halali kwa jasho lako.
Mababa hata Jesica na div 4 anafanya masters pamoja na ku disco kwenye bachelor, na kuwaacha wenye div 1 wanasota.
Kwa hiyo leo hii na elimu yako ambayo unafikiri ni ndogo ukipambanishwa na PHD ya new generation utashangaa na hutaamini.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sifa ya mpimbavu ni kujudge kila kitu in a negative perspection na kufikiri ana ufahamu wa mambo kuliko wengine

Kwa bahati mbaya zaidi hauko peke yako unayeomba huruma. Mtasubiri huruma may be sometimes after 2025

Sent using Jamii Forums mobile app
sifa ya mpumbavu ni kuamini kwamba kuhoji ni kosa kumbe tatizo ni ujinga alio kalilishwa kichwani. nina haki ya kuhoji. lolote ikiwa mimi ni mtanzania na kodi yangu ninayo banwa mbavu huku mtaani na TRA ikitumika kuhonga wana siasa ili kulinda maslahi ya mtu mmoja asiye na uzalendo wa taifa pamoja na kundi lake wanao jijali wenyewe na yale yampendezayo na kumfurahisha mtu mmoja na kundi lakr huku wajinga kama wewe mkiunga mkono juhudi
 
Kwa hiyo mnapenda aendelee kuambiwa anawashwa?🤷🏾‍♀️

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Jk akienda leo chadema akaomba kugombea urais kisha katiba ikawa inaruhusu, chadema watampa nafasi hiyo kwa mikono yote na miguu

Sent using Jamii Forums mobile app
wajinga wengi wa aina yako huamini katika vita ya kupambana na upinzani lakini wenye akili huamini katika vita ya kupambana na matatizo ya wanao waongoza

hahahaaa. laaaaan hiii wanafunzi wanasomea darasa moja zaid ya watoto130, watumishi wauma maskini mwaka watatu sasa haki yao kisheria imekiukwa, maji yenyewe shida hakuna maji maeneo mengi ya nchi lakin huku anaye jiita mzalendo akihonga mabilion kwa wana siasa ili waunge mkono juhudi

na wakati huo hata ukienda zahanati sahizi bomba la sindano unaambiwa kanunue nje. halafu huku uchaguzi kila. siku ili bwana yule afurahie kuungwa mkono na makada wanashangilia kwa vifijo laah! hivi nyie makada hizi akili zenu zipo kwenye mtako!?
 
Kwa taarifa yako Kikwete mwenyewe anauelewa sana huu uongozi kwakuwa hata yeye hakuwa anafurahishwa na namna mambo yalivyokuwa yanafanywa na wasaidizi wake.Take note!

Sent using Jamii Forums mobile app
wewe juha wewe tambua unaongea na watu walio kuzidi akili na maarifa x1000000000. usidhani wote wajinga kama nyie kikwete sio wa kuongelewa maneno na wala sio mtu wa kulishwa maneno, kikwete anajieleza mwenye kwa sura na maneno huo uongo na utapeli wapeleekenu nanjilinji huko ambao ndio mliko jiwekea stock ya wajinga wakuwapa kanga na kofia
 
Utani pembeni, sijui kama tutakaa tupate kiongozi mwenye akili kama huyu jamaa hasa awamu hii...
tapatalk_1527083297848.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndio shida ya wanafunzi wa sua ya dodoma..mnapokea tu mapokeo ya maneno ya wengine..yaani mwenzio akisema kichwa kinauma na wewe unasema nasikia maumivu ya kichwa..umeambiwa fafanua na ili iwe bora unatakaje..unaanza ooh asubui ya leo umekunya mavi sana..sijui umechambia majani..yote ya nini sasa?
ni dhahiri kabisa wewe una upeo mdogo sana wa kufikiri ujinga unao fanywa. na serikali upo bayana hata mtoto wa chekechea anauona bila shaka au mnadhani bado tupo zama za kale za mawe? hadi watoto wana chekechea wanajua kuwa mkurugenzi korogwe alijificha ili asipokee fomu ya upinzani na akafunga na ofisi kabisa au utasema alibanwa tumbo ya kuharishaa!! hahahaaaa.

CCM kweli mna laana ndio maana nchi hapati maendeleo ya kweli kupitia kwenu maana mmekalia kutunga maendeleo ya mdomoni maana mmejaa dhuluma na damu za wasio hatia
 
hahahaaaaa unatia kinyaaa aisee kuna uongozi na utaeala mbovu na wa hovyo kama. huuu?? na ndio maana nguvu kubwa inatumika kuficha usheni usijulikane hakuna lamaana pesa zina chezewa sana awamu kuliko awamu zoote na kama ni ufisadi sasa ndio ynafanyika hasa na tuna lijua hilo ndio maana kivuko kikakimbiziwa jeshini, hapo sijataka kundelea na bombadia na dreamliner na mambo kibao. pesa za uma zina tapanywa na famialia

budget ya nchi ipo kichwani kwa mtu 1 sio bunge tena. aisee watafuteni wale wajinga mnao wapa kofia na t-shirt mashambani huko muendelee kuwaimbia nyimbo zenu za ulaghai sie tuna wajua ndani nje na wizi wenu kwa mgongo wa vyombo vya dola
Angalau katika awamu hii tunaona vitu vikifanyika,hivi mpigaji angefanya mambo JPM anayofanya,kama sio chuki binafsi na husuda ni nini.Anyway,he is your president,there is nothing you can do,at least for now,wewe ulie tu.

Mwisho kwa Vasco ambako unasema upigaji haukuwepo mbona mbona ilikuwa hewa tu hatukuona lolote,sana sana u-Vasco tu.Anyway kwa vile "common sense is not common," hasa kwako,kujadiliana na wewe naona ni wastage of useful energy, nadhani inatosha.
 
Nadhani wewe utakuwa mtoto,shemeji,mjukuu,rafiki wa karibu wa Vasco,au mtu uliyefaidika na utendaji wa hovyo wa awamu za tatu na nne kwa hiyo itakuwa vigumu kuingiza substance kichwani mwako.In short wewe ulikuwa sehemu ya tatizo,kwa hiyo comments zako sizishangai.
Hao ndio watu wa GPA ya 32
 
wajinga wengi wa aina yako huamini katika vita ya kupambana na upinzani lakini wenye akili huamini katika vita ya kupambana na matatizo ya wanao waongoza

hahahaaa. laaaaan hiii wanafunzi wanasomea darasa moja zaid ya watoto130, watumishi wauma maskini mwaka watatu sasa haki yao kisheria imekiukwa, maji yenyewe shida hakuna maji maeneo mengi ya nchi lakin huku anaye jiita mzalendo akihonga mabilion kwa wana siasa ili waunge mkono juhudi

na wakati huo hata ukienda zahanati sahizi bomba la sindano unaambiwa kanunue nje. halafu huku uchaguzi kila. siku ili bwana yule afurahie kuungwa mkono na makada wanashangilia kwa vifijo laah! hivi nyie makada hizi akili zenu zipo kwenye mtako!?
Aisee wewe ni kichwa maji hasa!

Hivi unajua kwamba hao nyumbu wenzio wanaojiuza huko upinzani ndio wanaosababisha ccm iendelee kukaa madarakani?
Sasa una mlaum vipi JK?

Kwa akili yako unafikir mtu atanunulika kama hajiuzi?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
ni dhahiri kabisa wewe una upeo mdogo sana wa kufikiri ujinga unao fanywa. na serikali upo bayana hata mtoto wa chekechea anauona bila shaka au mnadhani bado tupo zama za kale za mawe?
Kupiga marufuku, mlie tu,atakayepiga cha moto atakiona.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom