Anayejua habari za JKT

Anayejua habari za JKT

Acha kupotosha umma.. Nafasi bado hazijatoka!! Na nafasi hizi haziwagi siri kama unavyozani na zikitoka huwa zinatangazwa na mamlaka husika..
Tena na mtandaoni wanaweka, achana nae huyo.
 
www.jkt.go.tz:
result

 Account Suspended
This Account has
been
suspended.
Contact your hosting
provider for more
information.
Tatizo mnatembelea xana hii web ndo mana wameingia mitini
 
kwan jombaa nimeweka hata namb ya cm yangu? Me nimekupen taarifa nilizozickia!
Kumbe umeckia ila huna hakika. Ata mi nimeckia mwaka huu wanaanza usahili mwezi wa nne. Vp na hizi unaweza kuanza kuzisambaza sasa??

Acha kukurupuka mkuu, wengine humu wanawasiliana na makao directly. Uwezekano ni mwezi huu mwishoni au wa nne mwanzoni.
 
Kuingia kambini si itakuwa kwenye mwezi wa 7-8 huko?
 
Back
Top Bottom