Anayejua habari za JKT

Anayejua habari za JKT

Nafasi zikishatangazwa huwa kuna timu inatumwa mikoani wakishirikiana na washauri wa mgambo wa wilaya na mikoa husika. Hapo kuna interview ukishapita ndio unapewa fomu, baada ya hapo fomu zinarudi makao makuu then wanapanga sasa kambi za kuwapeleka. Kwa mlolongo huo ndio maana zoezi huchukua miezi zaidi ya mitatu yaani kuanzia nafasi kutangazwa mpaka kuripoti makambini. Ukishapewa fomu maana yake umepita interview so wangojea kupangwa tu.. Wish you luck amigos
Thanks Mrito
 
Jeshi halina siasa kama tulivozoea katika taasisi nyingine. Kile chombo kinaendeshwa kwa order na order inatoka makao makuu hivyo hata huko wilayani hawawezi kujua nafasi zinatoka lini.
 
Hakuna taasisi inayokosa siasa, final decision ya jeshi ipo kwa mwanasiasa ambaye ndiye amir jeshi mkuu (Rais), Kuna vyeo vya kuteuliwa na raisi ambavyo viko ki siasa.
 
Ebu tusubiri kidogo kuna taarifa nimezipata kutoka ndani ya kambi, ngoja nizithibitishe. Zikiwa rasmi nitawajuza.
 
Hakuna taasisi inayokosa siasa, final decision ya jeshi ipo kwa mwanasiasa ambaye ndiye amir jeshi mkuu (Rais), Kuna vyeo vya kuteuliwa na raisi ambavyo viko ki siasa.
Mkuu amiri jeshi mkuu siyo cheo cha jeshi bali wanamuita hivyo kwa sababu yeye ndio anachagua wakuu wa majeshi yote yaani jeshi la wananchi (tpdf), jeshi la polisi, jeshi la zimamoto na uokoaji, jeshi la magereza na jeshi la uhamiaji. So mamlaka ya majeshi yote yapo kwa wakuu wa majeshi hayo, kazi ya raisi ni kupitisha tu.
 
Katika andiko langu sikusema amir jeshi ni cheo cha jeshi. Ila nimesema ni final decision maker wa maamuzi makubwa ya jeshi na yeye ndo anaye control majeshi yote na fahamu kwamba mfumo wa kisiasa wa ndani ndo unaongoza na mifumo ya kijeshi. Hakuna jeshi linalojiendesha completely 100% bila kutegemea political system ya nchi husika.
 
Mkuu siasa nilizoongelea hapa ni zile blah blah tulizozea kutoka kwa viongozi wetu wengine kwenye taasisi mbalimbali. Kwa mfano unaweza kuta waziri wa afya amealikwa kwenye mahafali ya chuo cha manesi sio ajabu anaanza kutoa ahadi mara ooh mwaka huu tutahakikisha tunaajiri manesi wote waliomaliza. Lakini kwenye jeshi hayo mambo hamna na ndio maana hata mshauri wa mgambo wa mkoa hawezi kujua kwenye mkoa wake wanahitajika kuruta wangapi. Jeshi hakuna propaganda na ndio maana mkuu wa majeshi huwezi kumuona hovyo hovyo sijui anaongea na waandishi wa habari.
 
Jamaaa badoo kimyaaaa

hivii na hawa jamaa wa Uhamiaji mbona hawajatoa majina mpka leo miezi miez 4 sasa toka watangaze ajira
 
Mkuu siasa nilizoongelea hapa ni zile blah blah tulizozea kutoka kwa viongozi wetu wengine kwenye taasisi mbalimbali. Kwa mfano unaweza kuta waziri wa afya amealikwa kwenye mahafali ya chuo cha manesi sio ajabu anaanza kutoa ahadi mara ooh mwaka huu tutahakikisha tunaajiri manesi wote waliomaliza. Lakini kwenye jeshi hayo mambo hamna na ndio maana hata mshauri wa mgambo wa mkoa hawezi kujua kwenye mkoa wake wanahitajika kuruta wangapi. Jeshi hakuna propaganda na ndio maana mkuu wa majeshi huwezi kumuona hovyo hovyo sijui anaongea na waandishi wa habari.
Watu hawajui kuna tofauti kati ya siasa ya dola na siasa ya chama.
 
Back
Top Bottom