Kati ya watu wote walio toa mchango wao humu kwenye huu uzi, wewe ndio mwenye akili uozo, tena ule unaotoa funza. Kmm man!!!hivi mtu mwenye akili timamu unataka kwenda jkt ili iweje kule kila kitu wazi afande ukiambiwa kula mavi wewe jibu wazi afande, kusema kweli jkt ni kupoteza muda kwanza jkt haitoi ajira lazima ujue hilo. una kaa jkt two yrs tehen unakosa ajira c utoto huo
Akili yake huyu Mura na kichwa yake hakuna tofauti na za hao ulowasema Yan wanafanana na hao wadudu WA chooni Tofauti Yao Ni Maumbo na sura lakini utendaji kazi katika kufikiri Ni species mojaKati ya watu wote walio toa mchango wao humu kwenye huu uzi, wewe ndio mwenye akili uozo, tena ule unaotoa funza. Kmm man!!!
Sawa Mkuu.TAARIFA KAMILI;
Jeshi la kujenga Taifa(JKT) litatangaza nafasi za kujiunga na mafunzo ya JKT katika website yake na katika vyombo vya habari kwa muda fulani. Matangazo unayaoyaona sasa sio ya ukweli kwa maada jkt bado hawajatangaza so kuwa makini na matapeli.
JKT litachukua vijana kila wilaya Tanzania nzima kuwapatia mafunzo ya ukakamavu na ujasiriamali wa kujitegemea. Muda ambao utaokuwa kambini utajifunza mbinu za kijasiriamari kwa muda wa miaka mbili ukisubiria ajira kutoka majeshi mengine ambapo utaenda kupewa mafunzo zaidi yanayohusiana na jeshi kama magereza,polisi,jwtz baba lao,uhamiaji,navy, TANAPA,bandarini,migodini n.k. baada ya miaka hiyo 2 ikatokea haujaajiriwa na moja ya hili jeshi basi mkataba wako na jkt utaishipia hapo na kurudi nyumbani kuendeleza ujuzi uliopewa kwa kujiajiri.
ANGALIZO;
Usikubali kutuma pesa kwa ajiri ya kufanyiwa mpango wa jkt. Nafas za jkt hazinunuliwi na ni kosa kubwa sana, baadhi ya watu wanajifanya wanajuana na uongozi wa jkt na kutumia hicho kama kigezo cha kujipatia pesa. Nafasi za jkt ni kwa raia wote wa Tanzania na kama ukiwa na vigezo vyote basi usiwe wasi utapata nafasi ya jkt na kwenda kuuona ulimwengu ambao hujawahi kuwapo kama lugha zao
I question the authenticity of your postTAARIFA KAMILI;

Bado inagoma nahisi.vp mbona website yao haifunguki
website haifunguki kwasababu wanaifanyia marekebisho ( maintenances) ili kuboresha huduma.Bado inagoma nahisi.
which means?16 April full stop.
Nini ?which means?
Mmeshatuma barua?Ndugu next week mambo yote yatakuwa open tayari tumeshatuma barua huko mikoani kwenu hivo very soon kitanukaaaaaaaa
what means '16 april full stop'?Nini ?
April hyo Tarehe everything gonna be on the Track.what means '16 april full stop'?