Anayejua habari za JKT

Anayejua habari za JKT

soma hapa ni muhimu.........
 
Attachments

  • 1457870812755.jpg
    1457870812755.jpg
    52.8 KB · Views: 37
soma hapa ni muhimu.........
Hiyo kitu imetengenezwa. Ukiangalia font za mwaka 2016 na hayo maandishi ni tofauti. Maandishi yana Times New Roman yakiwa bolded lakini mwaka 2016 ni Calibri tena iko plain haijawa bolded. kama taarifa huna uhakika nayo usisambaze
 
Ukikamatwa ndo utajifunza kama information ya sio ya kweli please usiisambaze , @# Cyber law itakuhusu.
 
nmefanya hivyo ili tui discuss maana na mm kuna mtu kanitumia......nataka tu share ideas kuhusu hiyo issue
 
Hiyo kitu imetengenezwa. Ukiangalia font za mwaka 2016 na hayo maandishi ni tofauti. Maandishi yana Times New Roman yakiwa bolded lakini mwaka 2016 ni Calibri tena iko plain haijawa bolded. kama taarifa huna uhakika nayo usisambaze
sikua na nia ya kupotosha umma mimi pia nmetumiwa ikabid niiweke humu ili tuijadir
 
Sawa mkuu lakini ungeweka caption ya kuuliza au uhitaji wa kujadili kuliko kuandika caption yako ile uliyoandika
 
#manjeta duu brother nmependa presentation yako kuhusu jkt to jwtz,Nina swali ndugu je kuna uwezekano wa MTU kujiunga direct mfano form six leaver anamiaka 27 anaruhusiwa,VP vgezo vingine ndugu,
 
Naskia cku hizi hakuna direct bro ni mpk upte jkt kwanza thenjwtz ndo wanakuja kuchukua askar kwa ajiri ya mafunzo....
 
kiukweli JKT wangetoa hata Tangazo linalosema nafasi zitatoka mwezi wa ngapi mana huku mtaani watu wanapigwa pesa sana.. Taarifa zimesambaa mtaani nafasi zimeshatoka na usaili umeshaanza mda!!! sio kila mtu mjanja wa kufuatilia mtandaoni
 
Back
Top Bottom