Anayejua habari za JKT

Anayejua habari za JKT

kiukweli JKT wangetoa hata Tangazo linalosema nafasi zitatoka mwezi wa ngapi mana huku mtaani watu wanapigwa pesa sana.. Taarifa zimesambaa mtaani nafasi zimeshatoka na usaili umeshaanza mda!!! sio kila mtu mjanja wa kufuatilia mtandaoni
Aisee. Serikali ingekua inatoa matangazo kupitia njia za habari zilizozoereka zaid kama TV na magazeti ili habari ziweze kuwafikia watu wengi zaidi, nnaimani utapeli ungeoungua
 
Watu wamegeuza mtaji nafasi ambazo zinatoka bure
 
Aisee. Serikali ingekua inatoa matangazo kupitia njia za habari zilizozoereka zaid kama TV na magazeti ili habari ziweze kuwafikia watu wengi zaidi, nnaimani utapeli ungeoungua
nafas za jeshi hazitangazwi tangazwi kiholela kwenye vyombo vya habari kama unavyofikiri cz ile ni sehem nyet na haitakiw zijulikane nchi tofaut......!!
 
Hii ya watu kupigwa pesa nimeisikia jana pia, watu wanadanganywa usaili umeanza kumbe bado.
 
nafas za jeshi hazitangazwi tangazwi kiholela kwenye vyombo vya habari kama unavyofikiri cz ile ni sehem nyet na haitakiw zijulikane nchi tofaut......!!
Nafasi hazitolewagi kwa siri kama unavyosema huwa zinatagazwa kwenye vyombo vya habari vyote hapa nchini.. kuanzia kwenye tovuti yao, ubao wa matangazo wilayani, magazeti, Tv mpaka redio.. nyie ndo mnapotosha watu mtaani kuwa nafasi zinatoka kwa siri ndomana watu wengi wanapigwa pesa kutokana wanajua inshu hii ni siri
 
kiukweli JKT wangetoa hata Tangazo linalosema nafasi zitatoka mwezi wa ngapi mana huku mtaani watu wanapigwa pesa sana.. Taarifa zimesambaa mtaani nafasi zimeshatoka na usaili umeshaanza mda!!! sio kila mtu mjanja wa kufuatilia mtandaoni
Duu Acha wapigwe Tu maana wanataka wao.
 
Nafasi hazitolewagi kwa siri kama unavyosema huwa zinatagazwa kwenye vyombo vya habari vyote hapa nchini.. kuanzia kwenye tovuti yao, ubao wa matangazo wilayani, magazeti, Tv mpaka redio.. nyie ndo mnapotosha watu mtaani kuwa nafasi zinatoka kwa siri ndomana watu wengi wanapigwa pesa kutokana wanajua inshu hii ni siri
 
Ukienda wilayani kuulizia wanakwambia kila kitu teali order teali ishatoka bado kutangazwa tuu.. ilikua ijumaa hyo nlienda kuulizia
 
Back
Top Bottom