Kwa hapa Bongo hakuna mkuu.Professional agents wanapatikana vp mkuu? Kwa hapa bongo?
OK,weka link zao hao job recruitersKwa hapa Bongo hakuna mkuu.
Mimi huwa naomba kazi zinazotangazwa kule kule Dubai na Qatar kupitia Job Recruiters.
Sawa recruitment companies zipo nyingi sana ila anza kucheza na hizi mbili then zingine utazigundua badae kadri unavyozidi kuzipekua.OK,weka link zao hao job recruiters
Pia link nyingine hii hapaSawa recruitment companies zipo nyingi sana ila anza kucheza na hizi mbili then zingine utazigundua badae kadri unavyozidi kuzipekua.
1.Bayt
2.Tangent International
Hao namba 2 walishawah kunipeleka Interview Dubai na walinigharamia kila kitu kuanzia Flight tickets Kutoka Dar mpaka Dubai na kurudi pamoja na gharama za kukaa hotelini ila sikubahatika kuipata ile kazi haikuwa bahati yangu.
Ni wastaarabu sana hao na ndio watu wazur wa kucheza nao.
Yaani ile kazi ningeipata mshahara wake ungekuwa 15000 AED ambayo ni sawa na 9000000 Tsh.
Asante sana...Pia link nyingine hii hapa
Gateway to Gulf Jobs
jobs.alyousufent.com
Kwan kabendera yeye hapend raha jamani?Erick kibendera
Uarabun noma duuuhyaani mkuu, natamani nipate connection hasa, na mwaka 2021, naweza kwenda maana tiari ntakua nmemalza degree, naweza kufanya kwa professional au kibarua, yaani vyovyote tu.
ila professional inaweza nikuta tiari nina kibarua
Usimtishe..I know someone from there anafanya usafi wa ofisini ni mtanzania, anakula million 2.8 kwa mwezi in tsh..ana benefits za afya, nyumba na usafiriUarabun noma duuuh
Duh!! mzee ntatafta tu, ila ntaenda, sharti la kwanza kabisa, niwe na nauli ya kurudi mengine badaeUsimtishe..I know someone from there anafanya usafi wa ofisini ni mtanzania, anakula million 2.8 kwa mwezi in tsh..ana benefits za afya, nyumba na usafiri
huogopi kuchambishwa rungu?Duh!! mzee ntatafta tu, ila ntaenda, sharti la kwanza kabisa, niwe na nauli ya kurudi mengine badae
kama wew ni mpiganaji kweli c ukomae hapa hapa utatoka ,huko cjui arabuni watakuyemen wakuharibu bure shauri yakoJamaa bhn io si vita kabisa, apo kama ni kufa ntakufa na mmoja tu ata nkipigania uhai ntakufa tu
Kwaiyo Allah yupo uarabuni
Chunga ulimi wako