Mkuu nimesema michongo mpaka mkutano uishee tuko busy nowsijakuelewa mkuu
Sasa fanya hivi.yaani mkuu, natamani nipate connection hasa, na mwaka 2021, naweza kwenda maana tiari ntakua nmemalza degree, naweza kufanya kwa professional au kibarua, yaani vyovyote tu.
ila professional inaweza nikuta tiari nina kibarua
ah , kikubwa nauli mfukoniSasa fanya hivi.
Ukishamaliza degree uanze kuapply kazi za huko ukiwa bado upo bongo.
Halaf ukishapata kazi inabidi hyo kampuni iliyokupa kazi ikusafirishe kutoka bongo kwenda huko uarabuni hapo ndio utaenjoy maisha.
Lkn usijiroge ukurupuke na kwenda kichwa kichwa bila kuitwa na kampuni maalum utapata tabu sana,yaani utakuwa ni mtumwa tu na hakuna atakayekujali.
Yaani hata ukitupwa juu ya gorofa hakuna anayekujua,ukinyanyaswa hakuna anayekujua.
Sikia nikwambie kitu mdogo wangu kule watu hawazamii Kama south Africa.ah , kikubwa nauli mfukoni
Kuna mbunge fulani mwanae ndo anafanya hizo mishe kimagendo sana kwa sasa naskia Maana Mtukufu amezuia kwenda huko mkuu maana watu wanaendaga teseka sana huko.Kama kichwa cha habari kinavyojionesha hapo juu, wale wa kutafta maisha.
nina mpango wa kujidunga uarabuni hasa hasa kuwait au qatar, kama kuna anaemfahamu agent yoyote, aje pm anipe no. au kama hatojari bas hapa hapa.
Yaani kazi yoyote ilmradi halali na inayoniingizia kipato, bas kama kuna agent matata, naomba mawasiliano nae.
wakuu, nawasilisha kwenu
Hicho ndicho ninachomuelekeza jamaa.Rafiki yangu alienda kule Kuwait ... Alimwamin agent wake lkn baada ya yeye kupata mpunga wake walipoteana hatari... Ikafika ananitafuta wasap ... Baada ya muda hakupatikana hadi Leo hii.. Bila shaka kanyang'anywa na simu yenyewe... Sijui yupoje huko...
Komaa tu hapa bongo ndugu Mungu ni Mwema atakupatia riziki
halafu serikali ya viwanda umuachie nani?
Waarabu wana tabia chafu sana sipendi kabisa kuwaona...maana namkumbuka jamaa kila nikiwaona hawskawii kukunyongea usirudi kabisa bongo... Au ukarudi ukiwa mzee huna jipya,, chonde usifanye mzaa wa kumshawishi ndugu yako aende hukoHicho ndicho ninachomuelekeza jamaa.
Ukiwa ugenini hauthaminiki unafanywa Kama mdudu tu.
Na raia wa kule Wana uwezo wa kukufanya chochote na hauna pa kushtaki hata polisi wa kule hakuna wa kukutetea wewe.
Kua makini na matapeli tuKama kichwa cha habari kinavyojionesha hapo juu, wale wa kutafta maisha.
nina mpango wa kujidunga uarabuni hasa hasa kuwait au qatar, kama kuna anaemfahamu agent yoyote, aje pm anipe no. au kama hatojari bas hapa hapa.
Yaani kazi yoyote ilmradi halali na inayoniingizia kipato, bas kama kuna agent matata, naomba mawasiliano nae.
wakuu, nawasilisha kwenu
duuuuuuuhhWaarabu wana tabia chafu sana sipendi kabisa kuwaona...maana namkumbuka jamaa kila nikiwaona hawskawii kukunyongea usirudi kabisa bongo... Au ukarudi ukiwa mzee huna jipya,, chonde usifanye mzaa wa kumshawishi ndugu yako aende huko
Kwaiyo Allah yupo uarabuniWale jamaa wa kule kwa allah hua hawanautani,we jipeleke tu.
Tena hayo mataifa ulioyataja yanachapa kazi ki ukweli ndio maana nchi zinaendelea tofauti na wabongo longo longo nyingi na uaminifu ziro.Sikia nikwambie kitu mdogo wangu kule watu hawazamii Kama south Africa.
Kule ukienda kibinafsi inabidi mfuko uwe umetuna kweli kweli.
Yaani sio umeungaunga ukapata kimilioni moja halaf ndio uende,maisha yapo juu kweli kweli.
Ukiwa na milioni 3 mfukoni hyo ni hela ya kupanga room/gheto kwa mwezi mmoja tu.
Ina maana ukiwa na milioni 10 ni pesa ya kutumia kwa miezi 3 tu na sio rahisi utafute kazi uipate ndani ya miezi 3.
Kuna wahindi wamejazana huko,wabangladesh kila Kona,wafilipino,wapakistan,ambao kazi zao ni madereva taxi,cleaners,vibarua kwenye ujenzi na wengine ni wazururaji tu Kama machokoraa, waghana,wanaigeria na wengi hawana kazi.
South Africa ndio watu huwa wanazamia kwa sababu wengi waliopo kule kazi zao ni kuuza bangi,madawa ya kulevya na ujambazi lkn sio uarabuni.