Anayefahamu mawakala wa kupeleka watu Uarabuni

OK,weka link zao hao job recruiters
Sawa recruitment companies zipo nyingi sana ila anza kucheza na hizi mbili then zingine utazigundua badae kadri unavyozidi kuzipekua.
1.Bayt
2.Tangent International
Hao namba 2 walishawah kunipeleka Interview Dubai na walinigharamia kila kitu kuanzia Flight tickets Kutoka Dar mpaka Dubai na kurudi pamoja na gharama za kukaa hotelini ila sikubahatika kuipata ile kazi haikuwa bahati yangu.
Ni wastaarabu sana hao na ndio watu wazur wa kucheza nao.
Yaani ile kazi ningeipata mshahara wake ungekuwa 15000 AED ambayo ni sawa na 9000000 Tsh.
 
Pia link nyingine hii hapa
 
Ujuaji mwingi naona kwenye comment

Mleta mada tulia usiwe na papara utapata hitaji lako. Kua makini.
 
yaani mkuu, natamani nipate connection hasa, na mwaka 2021, naweza kwenda maana tiari ntakua nmemalza degree, naweza kufanya kwa professional au kibarua, yaani vyovyote tu.

ila professional inaweza nikuta tiari nina kibarua
Uarabun noma duuuh
 
Usimtishe..I know someone from there anafanya usafi wa ofisini ni mtanzania, anakula million 2.8 kwa mwezi in tsh..ana benefits za afya, nyumba na usafiri
Duh!! mzee ntatafta tu, ila ntaenda, sharti la kwanza kabisa, niwe na nauli ya kurudi mengine badae
 
Jamaa bhn io si vita kabisa, apo kama ni kufa ntakufa na mmoja tu ata nkipigania uhai ntakufa tu
kama wew ni mpiganaji kweli c ukomae hapa hapa utatoka ,huko cjui arabuni watakuyemen wakuharibu bure shauri yako
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom