Anayefahamu mawakala wa kupeleka watu Uarabuni

nashukur, ngoja nijipange 2021
WaTZ... Hatupendi kushauriana ktk Masilahi..sisi tumebobea kejeli na ktupiana matope !! Sasa Ndg @jastr1. Ona takwimu hiibni muhtasar tuu:-
Huko Gulf (uarabuni pekee) Kuna waKenya wanaofanya kazi za faraja zote Yaani Engrs,Drs,Drivers nk nk zaidi 10,000..
Kuna WaGanda the same..
Kuna Nigerians..Kuna WaSauzi (Medical staffs).., na Kuna waPhikioons nk mk mataifa yote Duniani hujilikana Kama Oversea workers...
Sasa iweje mTanzania akose au asipate shares yake?!!
FYI, migodi yote ya Saudi Arabia imeajiri WaTZ na wa Ghana na waSouth Africans.
Good luck kijana
 
Hamuoni mataifa ya kuenda si bora uende South Africa hapo kwa madiba. Mnaenda mainchi ya watu wenye dharau na waafrica weusi hadi basi.....

Na wanaunyanyasaji wa wazi kabisa hata vyonbo vya usalama havitakusaidia watakapopewa taarifa za kukufitini.
 
Mkuu hapo umenena.wako watu humu wao ni kejeli tu.MwenyeeEzMungu ndie anaye toa rizki.Ukienda sehemu yeyeto dunia utafanikiwa ili mradi mkweli,muaminifu na mchapa kazi.
Nitakutafutia namba za simu za hao ma agent.Usife moyo kaka
 
sawa sawa
 
Sikia nikwambie kitu mdogo wangu kule watu hawazamii Kama south Africa.
Kule ukienda kibinafsi inabidi mfuko uwe umetuna kweli kweli.
Yaani sio umeungaunga ukapata kimilioni moja halaf ndio uende,maisha yapo juu kweli kweli.
Ukiwa na milioni 3 mfukoni hyo ni hela ya kupanga room/gheto kwa mwezi mmoja tu.
Ina maana ukiwa na milioni 10 ni pesa ya kutumia kwa miezi 3 tu na sio rahisi utafute kazi uipate ndani ya miezi 3.
Kuna wahindi wamejazana huko,wabangladesh kila Kona,wafilipino,wapakistan,ambao kazi zao ni madereva taxi,cleaners,vibarua kwenye ujenzi na wengine ni wazururaji tu Kama machokoraa, waghana,wanaigeria na wengi hawana kazi.
South Africa ndio watu huwa wanazamia kwa sababu wengi waliopo kule kazi zao ni kuuza bangi,madawa ya kulevya na ujambazi lkn sio uarabuni.
Asipokuelewa na hili achana naye
 
Hamuoni mataifa ya kuenda si bora uende South Africa hapo kwa madiba. Mnaenda mainchi ya watu wenye dharau na waafrica weusi hadi basi.....

Na wanaunyanyasaji wa wazi kabisa hata vyonbo vya usalama havitakusaidia watakapopewa taarifa za kukufitini.
Huko sauzi sio wanakunyanyasa tu ila wanakuuwa.Hamjaona watu wanauliwa ovyo sio na makaburu ni hao waaAfrica wenzetu.Kila nchi inaubaguzi wa kiaina
Hata hapa Bongo ubaguzi uko unyanyasaji uko utaenda kushitaki kituo gani cha polisi.
 
Tena hayo mataifa ulioyataja yanachapa kazi ki ukweli ndio maana nchi zinaendelea tofauti na wabongo longo longo nyingi na uaminifu ziro.
Kweli kaka ndio maana wanapendwa sana.
Ukiingia kwenye hotels Dubai utakuta managers na Supervisors ni wahindi, receptionists and customer care ni wafilipino, restaurant servants ni wafilipino,room cleaners ni wa Bangladesh,ukimbahatisha mwafrika ni mmoja tu wa kutoka Ghana,Nigeria au Kenya.
Sasa kupambana na hao watu kwenye soko sio kazi rahisi.
Angalau kidogo uwe specialist wa kitu flani na CV yako iwe nzito ndio unaweza kubahatisha.
Lkn usijiongopee umesoma degree uchwara ya brah brah kutoka jalalani halaf ukapambane nao.
 
WaTZ... Hatupendi kushauriana ktk Masilahi..sisi tumebobea kejeli na ktupiana matope !! Sasa Ndg @jastr1. Ona takwimu hiibni muhtasar tuu:-
Huko Gulf (uarabuni pekee) Kuna waKenya wanaofanya kazi za faraja zote Yaani Engrs,Drs,Drivers nk nk zaidi 10,000..
Kuna WaGanda the same..
Kuna Nigerians..Kuna WaSauzi (Medical staffs).., na Kuna waPhikioons nk mk mataifa yote Duniani hujilikana Kama Oversea workers...
Sasa iweje mTanzania akose au asipate shares yake?!!
FYI, migodi yote ya Saudi Arabia imeajiri WaTZ na wa Ghana na waSouth Africans.
Good luck kijana
Kwa hyo mkuu hutaki watu wamwambie ukweli.
Unataka watu wamlaghai mdogo wetu kwamba kule maisha ni rahisi tu halaf akaangukie pua.
Mimi nitakupa Siri moja kwa Nini Wakenya na WaNigeria kule wapo wengi kuliko waafrika wengine.
Wenzetu kinachowaokoa Ni kwamba walishazigundua hizo fursa kitambo sana tangu miaka ya 90.
Na kingine pia Wana asili ya kubebana/kusaidiana yaani yule aliyetangulia kule na kupata uhakika wa kula na sehem ya kulala atawaita wenzake watano na wataishi kwenye nyumba moja Hadi wanapata kazi wote.
Lakini wabongo hatuna huo utamaduni,akienda mmoja na kutusua kimaisha hakumbuki wenzake na hatoi ushirikiano kwa wenzake ili watusue.
Kwa hyo inakulazimu Sasa ukitaka kwenda ukaanzishe maisha wewe Kama wewe bila support yoyote kitu ambacho ni kigumu sana na ni risky au time westage.
 
Mpendwa Mbu !!
Usijitishe na kujipa hofu .ukaanza kuhaha na kutafuta sababu za FAILIAR (ushindwa wako) zako!!
Sisi NI Bora zaidi kuliko wengi kwani wema na huruma tunaongoza hata tukiwa ugenini...
Mtoa riziki NI Nani.??????? Mbona wTZ wengi wapo ughaibuni na mambo yao na umoja wao (Jumuiya zao) zipo vizuri..
Nikupe kizuri zaidi kuwa huko kipato chako hakunaga Kodi au kukatwa..ukiweza Savu bila mchezo utanunua kiwanja nyumbani na kujenga ktk miaka miwili...( Kwani huko mindset yako itakuwa Kama wa wageni wenzio kuchapa kazi full time Hakuna uzembe au uviviu au kudharau ajira)!!
Kuna ushindani wa ubora ili kujiongeza kielimu na ubunifu...ambao ukirudi TZ utatanua ...
Good luck
 
Mkuu Kuna kitu bado huelewi kabisa.
Hakuna asiyejua kwamba Dubai au Qatar mishahara iko juu ukilinganisha na Bongo.
Tatizo ni hivi unaenda kwa staili gani umeapply kazi kwenye makampuni makubwa na ukasafirishwa na kampuni kutoka bongo Hadi kule?Au umekurupuka kwenda Kama mamluki bila mipango?
Ukienda bila mipango utaenda kufanya kazi ya kuzibua vyoo au kuchimba mitaro barabarani Sasa si afadhali ubaki bongo.
Mimi naongea hivi sio kwamba ni mgeni wa hayo mambo na nafuatilia mambo ya kazi kule kila siku lkn naombea nikiwa Bongo kampuni itakayonikubali wanitoe bongo kwa gharama yao na malazi pia wanipe.
Ila huwezi kunishawishi kuinua mguu wangu niondoke Bongo bila uhakika wa kazi.
Ila Kama Kuna mwenyeji ndugu yangu mwenye maisha yake kule akinialika hapo sawa na awe na maisha ya kueleweka sio mbahatishaji.
Kuna jamaa yangu mmoja alikurupuka kwenda south Africa kwa kualikwa na mtu Basi jamaa akaandaa nauli ya kwenda.
Ameunga unga mabasi Hadi akafika south Africa,kufika kule jamaa akamzimia simu.
Jamaa ikala kwake ikabidi nauli ya kurudi wamchangie wasamaria akarudi bongo yuko mtupu.
 
Hamuoni mataifa ya kuenda si bora uende South Africa hapo kwa madiba. Mnaenda mainchi ya watu wenye dharau na waafrica weusi hadi basi.....

Na wanaunyanyasaji wa wazi kabisa hata vyonbo vya usalama havitakusaidia watakapopewa taarifa za kukufitini.
Kama marekani juzi
 
Mkuu Kuna kitu bado huelewi kabisa.
Hakuna asiyejua kwamba Dubai au Qatar mishahara iko juu ukilinganisha na Bongo.
Tatizo ni hivi unaenda kwa staili gani umeapply kazi kwenye makampuni makubwa na ukasafirishwa na kampuni kutoka bongo Hadi kule?Au umekurupuka kwenda Kama mamluki bila mipango?
Ukienda bila mipango utaenda kufanya kazi ya kuzibua vyoo au kuchimba mitaro barabarani Sasa si afadhali ubaki bongo.
Mimi naongea hivi sio kwamba ni mgeni wa hayo mambo na nafuatilia mambo ya kazi kule kila siku lkn naombea nikiwa Bongo kampuni itakayonikubali wanitoe bongo kwa gharama yao na malazi pia wanipe.
Ila huwezi kunishawishi kuinua mguu wangu niondoke Bongo bila uhakika wa kazi.
Ila Kama Kuna mwenyeji ndugu yangu mwenye maisha yake kule akinialika hapo sawa na awe na maisha ya kueleweka sio mbahatishaji.
Kuna jamaa yangu mmoja alikurupuka kwenda south Africa kwa kualikwa na mtu Basi jamaa akaandaa nauli ya kwenda.
Ameunga unga mabasi Hadi akafika south Africa,kufika kule jamaa akamzimia simu.
Jamaa ikala kwake ikabidi nauli ya kurudi wamchangie wasamaria akarudi bongo yuko mtupu.
jamaa, hatamsahau kabisa
 
ila kuna jamaa saiv nmeongea nae nais ni agent kasema, nitafte paasport nauli na mambo mengine ni wao, kasema ni kibarua cha qatar airways ila uko uko qatar,

sema m saivi mpaka niwe na uhakika 100% na mambo yangu yawe sawa, uko 2021
 
Hao agents unaowasema nawafaham staili zao.
Sio wa kuwaamini kivile,ndio wale wanapelekaga madada zetu house girls halaf wakipata majanga huko wanawabwaga hawana muda nao.
Ukitaka kwenda tafuta professional agents ambao hata ukipata majanga anaweza kukushaur kitu.
 
sawa man, apo ni sawa
 
Professional agents wanapatikana vp mkuu? Kwa hapa bongo?
 
Back
Top Bottom