Anaweza kuondolewa Madarakani, Iwapo...

Anaweza kuondolewa Madarakani, Iwapo...

Kuna Ugumu ndio Maana anajiamini atakaa hadi 2030.

Ingawa Inawezekana akaondolewa madarakani.

Iwapo amefanya vitendo vinavyovunja Katiba au Sheria ya Maadili ya Viongozi wa Umma.

Pale anaposhindwa au kuacha kutekeleza kazi na majukumu ya kiti chake.

Kama amepatikana na hatia ya kosa la jinai linaloonyesha utovu wa uaminifu.

Njia pekee ni kuanzisha Mchakato Bungeni

Raisi mwenyewe anaweza kuwasilisha Bungeni hati ya kuliomba Bunge lipitishe azimio la kumwondoa kwa madai ya kushindwa au kuacha kutekeleza kazi zake.

Au Mbunge yeyote anaweza kuwasilisha hoja binafsi Bungeni ya kutaka kumwondoa madarakani kwa misingi ya kuvunja katiba au kukiuka maadili ya umma, na endapo taratibu na idadi maalum ya kura za wabunge zitafikiwa kwa mujibu wa sheria.

Au Yeye mwenyewe aandike barua ya kujiuzulu .

Ila Kumvua uanachama hakumwondoi moja kwa moja madarakani, kwani Katiba haina kifungu kinachomfuta kazi. kiongozi huyo papo hapo kwa kupoteza kadi ya chama chake.

au pengine Labda Itumike njia nyingne ya kumuondoa.
sijasema Kumuwekea Sumu.

Na hili halihusiani na Makamu wa Raisi.

Nimewaza tu.
Kwani Kuna ugumu gani kusema Moja kwa moja kuwa unaandika kuhusu Dr Emmanuel Nchimbi, Makamu wa Rais..?

Mtu unatumia unanimous identity lakini bado mwoga kusema mambo kwa uwazi ili kumfanya kila mtu akuelewe kwa urahisi..

That's the greatest weakness of you ndugu Castle_Lite ...
 
Kuna Ugumu ndio Maana anajiamini atakaa hadi 2030.

Ingawa Inawezekana akaondolewa madarakani.

Iwapo amefanya vitendo vinavyovunja Katiba au Sheria ya Maadili ya Viongozi wa Umma.

Pale anaposhindwa au kuacha kutekeleza kazi na majukumu ya kiti chake.

Kama amepatikana na hatia ya kosa la jinai linaloonyesha utovu wa uaminifu.

Njia pekee ni kuanzisha Mchakato Bungeni

Raisi mwenyewe anaweza kuwasilisha Bungeni hati ya kuliomba Bunge lipitishe azimio la kumwondoa kwa madai ya kushindwa au kuacha kutekeleza kazi zake.

Au Mbunge yeyote anaweza kuwasilisha hoja binafsi Bungeni ya kutaka kumwondoa madarakani kwa misingi ya kuvunja katiba au kukiuka maadili ya umma, na endapo taratibu na idadi maalum ya kura za wabunge zitafikiwa kwa mujibu wa sheria.

Au Yeye mwenyewe aandike barua ya kujiuzulu .

Ila Kumvua uanachama hakumwondoi moja kwa moja madarakani, kwani Katiba haina kifungu kinachomfuta kazi. kiongozi huyo papo hapo kwa kupoteza kadi ya chama chake.

au pengine Labda Itumike njia nyingne ya kumuondoa.
sijasema Kumuwekea Sumu.

Na hili halihusiani na Makamu wa Raisi.

Nimewaza tu.
We nenda katibiwe Mirembe huko
 
Akishavuliwa uanachama huyo pimbi Hadija Kopa kwisha habari yake
 
Yule siku ile ile usiku alipigiwa simu na kufuatwa na Malecela kuwa aandike barua ya kujiuzulu maana amemkosea mkuu.
Na kabla hajaandika . Barua ikaandikwa na kupelekwa kwa katibu wa Bunge kuwa Anajiuzulu 😊😊😊😊.

Ukishangaa na Majaliwa. Shangaa pia ya Tulia Ackson. Alishachukua fomu ya kugombea uspika kwa awamu ya 2. Alaf hakurudisha fomu😊😊😊. Na jina lake likaondolewa.
Mafian state.
 
alimuendea usiku wa saa 5.
Walimsumbua mzee wa watu,

Waliona mzee aliyoko karibu na Ndugai ni yeye. Kwahiyo wakamtuma aende kumwambia kamaa ajiuzulu haraka iwezekanavyo.

Na kabla hata hajajiuzulu. Barua ya kujiuzulu ishafikishwa kwa katibu wa bunge . 😊😊😊

Ndugai hakuandika ile barua.

Just like that. Mkuu wa muhimili mmoja anashinikizwa kujiuzulu.
unahisi Bunge lina uhuru?
Uhuru Tanganyikà ulipatikana 1961 December 9, ila ukapotea tena tangu 1995 baada ya vyama vingi.
 
Kugombea Makamu wa Raisi ni lazima uwe Mwanachama wa chama cha siasa.

Ukishaupata . Alaf ukawa sio mwanachama. Haikomi ww kuwa makamu wa Raisi.

Kumbuka kachaguliwa na Wananchi.
Yaan walimpa kura ya Ndio.

Sasa ukichagua Makamu wa Raisi mwingne ambaye hajachaguliwa na wananchi unaenda kinyume na katiba.
Huko Tangagiza mna Katiba ? Ndiyo nasikia leo.
 
Acheni ndoto za mchana, mtakuja kata gogo bure kitandani. Samia yupo hadi 2030 kwa mujibu wa Katiba. Kama na wewe hukupiga kura kwa kuiamini NRNE shauri yako.

Hizo bad wishes mnazo mombea kumbukeni Mungu haishi mtaani kwenu. Kadri mnavyomtakia mabaya ndivyo Mungu anamuinua.
Umekurupuka..!
 
Kabisa.

Alaf watu wanamshangaa leo.
Wakat 2015 aliita press na kupinga uamuzi wa kamati kuu kumngoa Lowassa kwenye 5 bora.😊😊😊
Jamaa anasimamia sana analoliamini bila woga wowote.
Samia yeye alimchukulia poa, hakujua ni kwanini Magu alimweka ubalozini kwa kipindi chote alichotawala.
 
Jamaa naona mizizi yake imeenda mbali kuliko ush@ung@i but tusubiri, mda utasema.
 
Jamaa anasimamia sana analoliamini bila woga wowote.
Samia yeye alimchukulia poa, hakujua ni kwanini Magu alimweka ubalozini kwa kipindi chote alichotawala.
Magu alimfungia kutogombea nafas yoyote ndan ya CCM.

Aliona mbali.
 
Kuna Ugumu ndio Maana anajiamini atakaa hadi 2030.

Ingawa Inawezekana akaondolewa madarakani.

Iwapo amefanya vitendo vinavyovunja Katiba au Sheria ya Maadili ya Viongozi wa Umma.

Pale anaposhindwa au kuacha kutekeleza kazi na majukumu ya kiti chake.

Kama amepatikana na hatia ya kosa la jinai linaloonyesha utovu wa uaminifu.

Njia pekee ni kuanzisha Mchakato Bungeni

Raisi mwenyewe anaweza kuwasilisha Bungeni hati ya kuliomba Bunge lipitishe azimio la kumwondoa kwa madai ya kushindwa au kuacha kutekeleza kazi zake.

Au Mbunge yeyote anaweza kuwasilisha hoja binafsi Bungeni ya kutaka kumwondoa madarakani kwa misingi ya kuvunja katiba au kukiuka maadili ya umma, na endapo taratibu na idadi maalum ya kura za wabunge zitafikiwa kwa mujibu wa sheria.

Au Yeye mwenyewe aandike barua ya kujiuzulu .

Ila Kumvua uanachama hakumwondoi moja kwa moja madarakani, kwani Katiba haina kifungu kinachomfuta kazi. kiongozi huyo papo hapo kwa kupoteza kadi ya chama chake.

au pengine Labda Itumike njia nyingne ya kumuondoa.
sijasema Kumuwekea Sumu.

Na hili halihusiani na Makamu wa Raisi.

Nimewaza tu.
Ihihibihiiiiiiiiii wajameni
 
Back
Top Bottom