secretarybird
JF-Expert Member
- Aug 22, 2024
- 23,558
- 49,935
🔥🎶🎵Waache wauaneeeh🎼🎵🎶
🔥🎶🎵Waache wauaneeeh🎼🎵🎶
Na hiyo option iko under pipeline.Emma atakuwepo hadi 2030, labda afe 😅
Hujaelewa nini kinaongelewa.Acheni ndoto za mchana, mtakuja kata gogo bure kitandani. Samia yupo hadi 2030 kwa mujibu wa Katiba. Kama na wewe hukupiga kura kwa kuiamini NRNE shauri yako.
Hizo bad wishes mnazo mombea kumbukeni Mungu haishi mtaani kwenu. Kadri mnavyomtakia mabaya ndivyo Mungu anamuinua.
Kabisa.Na hiyo option iko under pipeline.
Katika dunia ya tatu kinachotumika ni "unanijua mimi ni nani?".Basi Maza ajifunge vyema kiunoni maana anapambana na jitu kwelikweli.
Dunia ya tatu imejaa laana.Katika dunia ya tatu kinachotumika ni "unanijua mimi ni nani?".
Hatimaye umetolewa kuzimuMnamzungumzia nani wakuu? Mbona mnanipoteza kirahisi kama mtoto wa mbwa.
Yeah, sasa naruhusiwa kutumia simu.Hatimaye umetolewa kuzimu
Inabidi uanze kupiga jimuYeah, sasa naruhusiwa kutumia simu.
Hii ni kweli kabisa.kuna tetesi tetesi kuwa kuna kijana mmoja wa Idara alipigwa bastola na akafariki ndan mule.
Sijasema Ikulu.
Ili niwadunde wanaponihukumu?Inabidi uanze kupiga jimu
Na kama wakiwa warembo basi utawachumuIli niwadunde wanaponihukumu?
Nitawachumu, lakini katika mahusiano sitadumu.Na kama wakiwa warembo basi utawachumu
Kule tecdema wanapokula tone tone huwa wanafanywaje?KWAHIYO MAFISADI WAZOMEWE WAONE AIBU?
Inawezekana si unajua wale ni kampuni moja!Halafu anaangalia chini chini. Huwa najiuliza aliiga pozi la Wasira au?
Yeah!Inawezekana si unajua wale ni kampuni moja!
Kwani Kuna ugumu gani kusema Moja kwa moja kuwa unaandika kuhusu Dr Emmanuel Nchimbi, Makamu wa Rais..?Kuna Ugumu ndio Maana anajiamini atakaa hadi 2030.
Ingawa Inawezekana akaondolewa madarakani.
Iwapo amefanya vitendo vinavyovunja Katiba au Sheria ya Maadili ya Viongozi wa Umma.
Pale anaposhindwa au kuacha kutekeleza kazi na majukumu ya kiti chake.
Kama amepatikana na hatia ya kosa la jinai linaloonyesha utovu wa uaminifu.
Njia pekee ni kuanzisha Mchakato Bungeni
Raisi mwenyewe anaweza kuwasilisha Bungeni hati ya kuliomba Bunge lipitishe azimio la kumwondoa kwa madai ya kushindwa au kuacha kutekeleza kazi zake.
Au Mbunge yeyote anaweza kuwasilisha hoja binafsi Bungeni ya kutaka kumwondoa madarakani kwa misingi ya kuvunja katiba au kukiuka maadili ya umma, na endapo taratibu na idadi maalum ya kura za wabunge zitafikiwa kwa mujibu wa sheria.
Au Yeye mwenyewe aandike barua ya kujiuzulu .
Ila Kumvua uanachama hakumwondoi moja kwa moja madarakani, kwani Katiba haina kifungu kinachomfuta kazi. kiongozi huyo papo hapo kwa kupoteza kadi ya chama chake.
au pengine Labda Itumike njia nyingne ya kumuondoa.
sijasema Kumuwekea Sumu.
Na hili halihusiani na Makamu wa Raisi.
Nimewaza tu.