Anaweza kuondolewa Madarakani, Iwapo...

Anaweza kuondolewa Madarakani, Iwapo...

Tumngoje baba levo na Taletale kama watatimba na hujja binafsi ya kumfurumusha kazini kipenzi wetu
Inahitajik 20% tu ya kura za wabunge kumuondoa Jamaa madarakani.

Lakin pia kuwe na hoja inayoeleweka.
Kwasasa utamuondoa hoja ipi?
 
Kuna Ugumu ndio Maana anajiamini atakaa hadi 2030.

Ingawa Inawezekana akaondolewa madarakani.

Iwapo amefanya vitendo vinavyovunja Katiba au Sheria ya Maadili ya Viongozi wa Umma.

Pale anaposhindwa au kuacha kutekeleza kazi na majukumu ya kiti chake.

Kama amepatikana na hatia ya kosa la jinai linaloonyesha utovu wa uaminifu.

Njia pekee ni kuanzisha Mchakato Bungeni

Raisi mwenyewe anaweza kuwasilisha Bungeni hati ya kuliomba Bunge lipitishe azimio la kumwondoa kwa madai ya kushindwa au kuacha kutekeleza kazi zake.

Au Mbunge yeyote anaweza kuwasilisha hoja binafsi Bungeni ya kutaka kumwondoa madarakani kwa misingi ya kuvunja katiba au kukiuka maadili ya umma, na endapo taratibu na idadi maalum ya kura za wabunge zitafikiwa kwa mujibu wa sheria.

Au Yeye mwenyewe aandike barua ya kujiuzulu .

Ila Kumvua uanachama hakumwondoi moja kwa moja madarakani, kwani Katiba haina kifungu kinachomfuta kazi. kiongozi huyo papo hapo kwa kupoteza kadi ya chama chake.

au pengine Labda Itumike njia nyingne ya kumuondoa.
sijasema Kumuwekea Sumu.

Na hili halihusiani na Makamu wa Raisi.

Nimewaza tu.
Ndio maana post kule Facebook zimeanza sio:-

1.Tutamkumbuka samiah kwa mazuri mengi!!

2.Watanzania hawanipendi!!

Na sasa

Nchimbi yupo vocal kuhusu katiba mpya na anapngea kwa mamlaka je ndio tuseme Uzi wa Tumia akili wa mei 22 2025 wa "Brother haya ndio mambo ya msingi yatakupasa siku za usoni"

Nawaza,nachambua,nachangia uchumi wa Mbs

Kazi na utu tunasonga mbele!!
 
Back
Top Bottom