Sawa sawaNadhani ni John Malechela.
Kuna video yake mmoja niliangalia alikuwa anasema, John alimwendea na kumwambia kesho anatakiwa kujiuzulu.
Sawa sawaNadhani ni John Malechela.
Kuna video yake mmoja niliangalia alikuwa anasema, John alimwendea na kumwambia kesho anatakiwa kujiuzulu.
Ccm hawashindwi kufanya marekebisho ya Katiba ili Makamu wa Rais awe anachaguliwa bungeni na iwe rahisi kuondolewa na wabunge uchwara waccm.Kile cheo kinambeba. Pale kutoka ni hadi 2030.
Maana ni mgombea mwenza na kikatiba ni Wananchi wamemchagua kama Makamu wa Raisi.
Or otherwise wafanye hayo ya juu.
Emma atakuwepo hadi 2030, labda afe 😅Kile cheo kinambeba. Pale kutoka ni hadi 2030.
Maana ni mgombea mwenza na kikatiba ni Wananchi wamemchagua kama Makamu wa Raisi.
Or otherwise wafanye hayo ya juu.
alimuendea usiku wa saa 5.Nadhani ni John Malechela.
Kuna video yake mmoja niliangalia alikuwa anasema, John alimwendea na kumwambia kesho anatakiwa kujiuzulu.
Alaf pia alivyokuwa Katibu mkuu wa CCM kwa mwaka mmoja. Alishaweka mizizi yake kule kwenye mashina.Emma atakuwepo hadi 2030, labda afe 😅
Kumbe barua ya kijiuzuli hakuandika yeye! 😯.alimuendea usiku wa saa 5.
Walimsumbua mzee wa watu,
Waliona mzee aliyoko karibu na Ndugai ni yeye. Kwahiyo wakamtuma aende kumwambia kamaa ajiuzulu haraka iwezekanavyo.
Na kabla hata hajajiuzulu. Barua ya kujiuzulu ishafikishwa kwa katibu wa bunge . 😊😊😊
Ndugai hakuandika ile barua.
Just like that. Mkuu wa muhimili mmoja anashinikizwa kujiuzulu.
unahisi Bunge lina uhuru?
Sasa kazi ni moja tu! Ajilinde dhidi ya michezo michafu (sumu).Alaf pia alivyokuwa Katibu mkuu wa CCM kwa mwaka mmoja. Alishaweka mizizi yake kule kwenye mashina.
Kwahiyo nina amini anaCCM weng tu wako loyal kwake.
Acheni ndoto za mchana, mtakuja kata gogo bure kitandani. Samia yupo hadi 2030 kwa mujibu wa Katiba. Kama na wewe hukupiga kura kwa kuiamini NRNE shauri yako.Kuna Ugumu ndio Maana anajiamini atakaa hadi 2030.
Ingawa Inawezekana akaondolewa madarakani.
Iwapo amefanya vitendo vinavyovunja Katiba au Sheria ya Maadili ya Viongozi wa Umma.
Pale anaposhindwa au kuacha kutekeleza kazi na majukumu ya kiti chake.
Kama amepatikana na hatia ya kosa la jinai linaloonyesha utovu wa uaminifu.
Njia pekee ni kuanzisha Mchakato Bungeni
Mkuu mwenyewe anaweza kuwasilisha Bungeni hati ya kuliomba Bunge lipitishe azimio la kumwondoa kwa madai ya kushindwa au kuacha kutekeleza kazi zake.
Au Mbunge yeyote anaweza kuwasilisha hoja binafsi Bungeni ya kutaka kumwondoa madarakani kwa misingi ya kuvunja katiba au kukiuka maadili ya umma, na endapo taratibu na idadi maalum ya kura za wabunge zitafikiwa kwa mujibu wa sheria.
Au Yeye mwenyewe aandike barua ya kujiuzulu .
Ila Kumvua uanachama hakumwondoi moja kwa moja madarakani, kwani Katiba haina kifungu kinachomfuta kazi. kiongozi huyo papo hapo kwa kupoteza kadi ya chama chake.
au pengine Labda Itumike njia nyingne ya kumuondoa.
sijasema Kumuwekea Sumu.
Nimewaza tu.
Hili halimuhusu Samia.Acheni ndoto za mchana, mtakuja kata gogo bure kitandani. Samia yupo hadi 2030 kwa mujibu wa Katiba. Kama na wewe hukupiga kura kwa kuiamini NRNE shauri yako.
Hizo bad wishes mnazo mombea kumbukeni Mungu haishi mtaani kwenu. Kadri mnavyomtakia mabaya ndivyo Mungu anamuinua.
Katiba haisemi hivyo.Kumwondoa madarakani ni rahisi sana. Ni kumvua uanachama wa CCM. Kwisha habari yake. Ndiyo maana kila siku nahubiri kuhusu Mgombea huru kuwa ndilo kimbilio la mageuzi hapa nchini
Umeripuka kutokea wapi wewe hata hujaeleqa nini kinaongelewa hapa?soma uelewe uko njeAcheni ndoto za mchana, mtakuja kata gogo bure kitandani. Samia yupo hadi 2030 kwa mujibu wa Katiba. Kama na wewe hukupiga kura kwa kuiamini NRNE shauri yako.
Hizo bad wishes mnazo mombea kumbukeni Mungu haishi mtaani kwenu. Kadri mnavyomtakia mabaya ndivyo Mungu anamuinua.
Kama yuko kinyume siku nyingi ilikuwaje wahuni wakamteua aliyenyooka kuwa mwenza?Huyu yuko Kinyume na Mkuu siku nyingi.
Huon yule mbunge wa Pemba (Simai) alimuita Yuda na akasema anamsaliti Mkuu wake.
Makamu wa Rais lazima awe mwanchama wa chama cha siasa. Ndiyo maana CCM ilibadili katiba yake ili Rais awe pia Mwenyekiti wa Chama. Kwani ukitaka kumuondoa Rais, unamfukuza uanachama. This is simpleKatiba haisemi hivyo.
Na hakuna sheria ya hili.
Na kwakuwa hakuna Sheria inayoweza kuvunja katiba ya nchi. Basi katiba ndio inaangaliwa kwenye hili.
Malecela (RIP) yupi?Yule siku ile ile usiku alipigiwa simu na Malecela (RIP) kuwa aandike barua ya kujiuzulu maana amemkosea mkuu.
Na kabla hajaandika . Barua ikaandikwa na kupelekwa kwa katibu wa Bunge kuwa Anajiuzulu 😊😊😊😊.
Ukishangaa na Majaliwa. Shangaa pia ya Tulia Ackson. Alishachukua fomu ya kugombea uspika kwa awamu ya 2. Alaf hakurudisha fomu😊😊😊. Na jina lake likaondolewa.
Afadhali angalau kuna mtu hapa JF anamjua Nchimbi. Hivi unajua kuwa JPM alitaka awe Katibu Mkuu wa CCM enzi zake, akakataa. Niishie hapo nisije julikana bureHuyu yuko Kinyume na Mkuu siku nyingi.
Huon yule mbunge wa Pemba (Simai) alimuita Yuda na akasema anamsaliti Mkuu wake.
Ongeza, Dr Mpango!!!! Si alisikia kama sisi jukwaani kuhusu nia yake ya kupumzika Umakamu wa RaisYule siku ile ile usiku alipigiwa simu na Malecela (RIP) kuwa aandike barua ya kujiuzulu maana amemkosea mkuu.
Na kabla hajaandika . Barua ikaandikwa na kupelekwa kwa katibu wa Bunge kuwa Anajiuzulu 😊😊😊😊.
Ukishangaa na Majaliwa. Shangaa pia ya Tulia Ackson. Alishachukua fomu ya kugombea uspika kwa awamu ya 2. Alaf hakurudisha fomu😊😊😊. Na jina lake likaondolewa.
Acha ukurupukaji. PumbavuAcheni ndoto za mchana, mtakuja kata gogo bure kitandani. Samia yupo hadi 2030 kwa mujibu wa Katiba. Kama na wewe hukupiga kura kwa kuiamini NRNE shauri yako.
Hizo bad wishes mnazo mombea kumbukeni Mungu haishi mtaani kwenu. Kadri mnavyomtakia mabaya ndivyo Mungu anamuinua.
Usifuatishe miluziMnamzungumzia nani wakuu? Mbona mnanipoteza kirahisi kama mtoto wa mbwa.