Mtoto halali na hela
JF-Expert Member
- Aug 10, 2012
- 54,962
- 54,074
Usifuatishe miluziMnamzungumzia nani wakuu? Mbona mnanipoteza kirahisi kama mtoto wa mbwa.
Usifuatishe miluziMnamzungumzia nani wakuu? Mbona mnanipoteza kirahisi kama mtoto wa mbwa.
Uzuri wa Nchimbi ni kuwa yuko calm sana na haonyeshi kuwa na hasira wala papara. Pia kila anachozungumza anaonyesha kujiamini. Akitupa kijembe, basi ni kijembe cha kisomi kile kinachokubalika na watu wenye akili. Siyo hii mipasho ya kiswahili.Alaf pia alivyokuwa Katibu mkuu wa CCM kwa mwaka mmoja. Alishaweka mizizi yake kule kwenye mashina.
Kwahiyo nina amini anaCCM weng tu wako loyal kwake.
Kama ilivyotokea kwa MagufuliKama yuko kinyume siku nyingi ilikuwaje wahuni wakamteua aliyenyooka kuwa mwenza?
Makamu wa Rais lazima awe mwanchama wa chama cha siasa. Ndiyo maana CCM ilibadili katiba yake ili Rais awe pia Mwenyekiti wa Chama. Kwani ukitaka kumuondoa Rais, unamfukuza uanachama. This is simple
Hakuna ujinga kama huo.Makamu wa Rais lazima awe mwanchama wa chama cha siasa. Ndiyo maana CCM ilibadili katiba yake ili Rais awe pia Mwenyekiti wa Chama. Kwani ukitaka kumuondoa Rais, unamfukuza uanachama. This is simple
Hakuna anayetaka kukujua. Toa hoja zako zijadiliwe.Afadhali angalau kuna mtu hapa JF anamjua Nchimbi. Hivi unajua kuwa JPM alitaka awe Katibu Mkuu wa CCM enzi zake, akakataa. Niishie hapo nisije julikana bure
Uchaguzi wa 2020 Magufuli alikuwa na nafasi ya kumwondoa Samia. Lakini kwa vile alitaka makamu msindikizaji, mwenye maono finyu ili yeye kama rais apate kufanya anavyotaka akamwacha.Kama ilivyotokea kwa Magufuli
Alitaka mwenza awe Mwinyi ila JK akamchomeka Samia.
Ikiwa hivyo si ndo raha!IMMA ni MTU wa machale Sana tena hata Huko ndani ya tiss kumejaa watu wake kuliko mzanzibar..... Huyu jamaa ni nyoka wa vichwa viwili upande huu yupo na upande ule yupo
Tuwaachie mabingwa wa katiba watusaidie, ila ninachojua; wakitaka kukuondoa wanakunyang'anya kadiKugombea Makamu wa Raisi ni lazima uwe Mwanachama wa chama cha siasa.
Ukishaupata . Alaf ukawa sio mwanachama. Haikomi ww kuwa makamu wa Raisi.
Kumbuka kachaguliwa na Wananchi.
Yaan walimpa kura ya Ndio.
Sasa ukichagua Makamu wa Raisi mwingne ambaye hajachaguliwa na wananchi unaenda kinyume na katiba.
Mkuu, mbona makasirikoHakuna anayetaka kukujua. Toa hoja zako zijadiliwe.
Imma ana zile skills na tayari kashamsoma maza. Jama ana michezo michafu ni kama utani tu lakini... Tangu zamani sana yupo hivyo.Basi Maza ajifunge vyema kiunoni maana anapambana na jitu kwelikweli.
Hiki ni kitendawili ambacho kama mtu akiweza kukitegua, basi atajua siri ya kila kitu kinachoendelea sasa hivi kuhusu kauli za Nchimbi. Polepole kabla hajauawa alisema Samia alitaka kubadlisha mgombea wa umakamu lakini hakutoa sababu ni nini na ni kwa nini alighairi kubadilisha.Kama yuko kinyume siku nyingi ilikuwaje wahuni wakamteua aliyenyooka kuwa mwenza?
Nchimbi ni Ile CCM mtandao.Kama yuko kinyume siku nyingi ilikuwaje wahuni wakamteua aliyenyooka kuwa mwenza?
Kasome katiba tenaKumwondoa madarakani ni rahisi sana. Ni kumvua uanachama wa CCM. Kwisha habari yake. Ndiyo maana kila siku nahubiri kuhusu Mgombea huru kuwa ndilo kimbilio la mageuzi hapa nchini
Yes Nakumbuka hii Polepole alisema Samia alitaka kubadilisha mgombea mwenza.Hiki ni kitendawili ambacho kama mtu akiweza kukitegua, basi atajua siri ya kila kitu kinachoendelea sasa hivi kuhusu kauli za Nchimbi. Polepole kabla hajauawa alisema Samia alitaka kubadlisha mgombea wa umakamu lakini hakutoa sababu ni nini na ni kwa nini alighairi kubadilisha.
Huwezi kuwa kiongozi bila kuwa mwanachama wa chama cha siasa hapa Tanzania kwa vile mgombea huru hakubaliwiKasome katiba tena
Yeye mwenyewe mi master wa hayo mambo ya kutoana uhai na anajua kila chochoro nchimbi sio mwepesi hivyo kwa wale awanao mfahamu tangu akiwa chumbaniSasa kazi ni moja tu! Ajilinde dhidi ya michezo michafu (sumu).
Kuna mapambano mkali kati ya majambazi yanayoushikilia mateka uchumi wa nchi na kikundi cha wazalendo wanaotaka kuikomboa nchi. Katika mpambano huu lazima pawepo na watakaopoteza maisha na majeruhiKuna Ugumu ndio Maana anajiamini atakaa hadi 2030.
Ingawa Inawezekana akaondolewa madarakani.
Iwapo amefanya vitendo vinavyovunja Katiba au Sheria ya Maadili ya Viongozi wa Umma.
Pale anaposhindwa au kuacha kutekeleza kazi na majukumu ya kiti chake.
Kama amepatikana na hatia ya kosa la jinai linaloonyesha utovu wa uaminifu.
Njia pekee ni kuanzisha Mchakato Bungeni
Raisi mwenyewe anaweza kuwasilisha Bungeni hati ya kuliomba Bunge lipitishe azimio la kumwondoa kwa madai ya kushindwa au kuacha kutekeleza kazi zake.
Au Mbunge yeyote anaweza kuwasilisha hoja binafsi Bungeni ya kutaka kumwondoa madarakani kwa misingi ya kuvunja katiba au kukiuka maadili ya umma, na endapo taratibu na idadi maalum ya kura za wabunge zitafikiwa kwa mujibu wa sheria.
Au Yeye mwenyewe aandike barua ya kujiuzulu .
Ila Kumvua uanachama hakumwondoi moja kwa moja madarakani, kwani Katiba haina kifungu kinachomfuta kazi. kiongozi huyo papo hapo kwa kupoteza kadi ya chama chake.
au pengine Labda Itumike njia nyingne ya kumuondoa.
sijasema Kumuwekea Sumu.
Na hili halihusiani na Makamu wa Raisi.
Nimewaza tu.
Alimanisha Ndungai alichanganya madesa mpotezeeMalecela (RIP) yupi?