Anataka mchukua mwanangu kinyemela

Anataka mchukua mwanangu kinyemela

Nimetelekeza wengi sana, inawezekana hata huyo unaelea mi ndio baba nimekuachia ulee maana hatujuani humu
Haya baba suruali. Ukitelekeza watoto watakua kama kawa!
 
Una scenario kama yangu.

Mimi nimeapa sitampa mtoto hata akifikisha hiyo miaka ya kisheria.

Nimewambia ajiandae kwenda kupima DNA na mahakamani athibitishe kuwa ni wake.
 
Hata hivyo Dada una roho ya kibinadamu sana. Kama alitelekeza mimba basi alinikana mimba sio yake hivyo sioni haja ya kumpa mtoto asie na uchungu nae mn atamlea kimazoea.
Hata mahakamani unaweza kumkatalia kuwa sie mwanae kwaani kama mwanae angemlea.

Na usikute hata jina la mtoto ulichagua pekee yako
Huwezi amini,mwanangu nimemlea mwenyewe toka mimba hadi uzazi,hadi sasa na sikuwahi lalamika.zaidi nilimshukuru Mungu kwa baraka na faraja ya mtoto.Mungu alivyo mwema ni kama mtoto huyu kawa lango la baraka katika kazi yangu.toka nimzae nimebarikiwa mengi,so kumtelekeza huyu mtoto itakuwa laana.
 
Hahaha
Mnakimbia majukumu mkiona watoto wamenona mnaanza watamani,Mungu anawaona
Mi mnachonikela mtoto tuliviringishana wote kumtafuta alafu mnatumia neno mwanangu badala ya mwanetu
 
Bibie naona bado unampenda jamaa ndo maana anahangaisha serikali ya kichwa chao,una mahusiano na mtu mwingine kisha unabembelezana na baby dady wako eti uumpe mtoto atakupa mwingine na unakuja kuomba ushauri humu aiseeeee pole kwa mwanaume wako wa sasa

Mara malezi yakikushinda utampa ooh asubiri ifike miaka saba aje amchukue be serious mtoto sio jojo kusema ikiisha utamu utaitupa. Hakukuoa kiasi cha kuwa na haki zote za kujichukulia mtoto.
Aisee hata mi nimeshangaa sana

Bidada ana mapenzi ambayo siyo ya nchi hii mweeh!

Mwanaume hajawahi kukusaidia/ hakusaidii lolote , yet mtoto kazaliwa hata kuleta chungwa, pipi, nepi hajawahi na hatawahi shoga hata kama kupenda sio huku asee!

Kiukweli inaonesha shost toka azalishwe hajapata mwanaume ambae anampenda coz angemsahaulisha hiki kimeo!
 
Ndo shida ya sperm donors...yan ni shughuliii usimpe mtoto tafadhali then nenda ustawi wa jamii
 
Hata hivyo Dada una roho ya kibinadamu sana. Kama alitelekeza mimba basi alinikana mimba sio yake hivyo sioni haja ya kumpa mtoto asie na uchungu nae mn atamlea kimazoea.
Hata mahakamani unaweza kumkatalia kuwa sie mwanae kwaani kama mwanae angemlea.

Na usikute hata jina la mtoto ulichagua pekee yako

Kabisa ana uwezo wa kubaki na huyo mtoto pekee yake for good, maaana ana ushahidi wote kuwa alikanwa toka ujauzito
 
Una scenario kama yangu.

Mimi nimeapa sitampa mtoto hata akifikisha hiyo miaka ya kisheria.

Nimewambia ajiandae kwenda kupima DNA na mahakamani athibitishe kuwa ni wake.
Mwenyewe simpi namdanganya tu ili nijipange vizuri kiuchumi,akifika 7years panapo majaliwa tupambane vizuri mahakamani.na meseji zake zote za shombo kuanzia mimba hadi kutohitaji mtoto wakati ule ninazo nimesave kwenye email yangu.
 
Una roho nzuri sana Latoya . mimi hata sura ya mwanae asingeijua.
kwa kweli hata mimi naona karoho kake kazuri khaaaaaa
Yani mimi hata majina sikumpa ya huyo mwanaume, nilijibunia majina yangu ya kizungu tehe tehe tehe na hajawai kumuona sura hata siku moja
 
Mi mnachonikela mtoto tuliviringishana wote kumtafuta alafu mnatumia neno mwanangu badala ya mwanetu
No wajua mtu akifikia point hataki hata kuchangia matumizi ya motto,sasa anamhitaji wa nn?siku zote nasema am my son's mom and dad.That's y wanawake tunasema mwanangu badala ya mwanetu kutokana na nyie kukwepa majukumu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom