Anatafutwa mpenzi wa week moja kama bundle

Me mjumbe tu wakuu
Mahusiano yataannza tar 23 dec hadi tareh 2 January
Benefits
Kula Na kulala pamoja nyumbani kwa mmojawapo
Cost sharing




Qualifications
Age 35_36
HIV negative.(utapimwa hadi maini)
Ujue kuogelea maana Zanzibar itahusika
Usiwe Na stress za mapenzi
Usiwe mchoyo
Ushampata ama bado nafasi ipo? Kuogelea usijali maana wengine tumezaliwa pwani.
 
Back
Top Bottom