Anatafutwa mpenzi wa week moja kama bundle

Huko Zenji/ Zanzibar ndipo hofu yangu tu kwa huyo Mwanaume maana si ndiko kule kwenye Usodoma na Ugomora?

Sasa unataka kumpeleka huko ili iweje?
Me mjumbe tu wakuu
Mahusiano yataannza tar 23 dec hadi tareh 2 January
Benefits
Kula Na kulala pamoja nyumbani kwa mmojawapo
Cost sharing




Qualifications
Age 35_36
HIV negative.(utapimwa hadi maini)
Ujue kuogelea maana Zanzibar itahusika
Usiwe Na stress za mapenzi
Usiwe mchoyo
 
Back
Top Bottom