Miss Natafuta
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 28,122
- 52,884
- Thread starter
- #21
Leta BOQMalipo yamekaaje [emoji41]
Leta BOQMalipo yamekaaje [emoji41]
Ahahaaa jomoni .Huko Zenji/ Zanzibar ndipo hofu yangu tu kwa huyo Mwanaume maana si ndiko kule kwenye Usodoma na Ugomora?
Sasa unataka kumpeleka huko ili iweje?
Alokuzaa lipoje kama langu la vibamia limeharibika? Jiheshimu wewe sio kila kitu lazima uchangieWw kila siku unamtafuta mume,shimo hiyo imshakuwa mbovu maana toka uanze kutafuta ni mda sana,au unamtafuta mwanaume mashine
Poa,ila umezidi lakini .wanaume wa hivyo hawapo siku hizi tuko bize kutafuta tu ela,Alokuzaa lipoje kama langu la vibamia limeharibika? Jiheshimu wewe sio kila kitu lazima uchangie
Unataka tukubali kila mtu?Mimi nilitongoza janamke humu kwa PM hata halirespond, majitu Mengine sijui yakoje
Una hela wewe? Nani hatafuti hela?Poa,ila umezidi lakini .wanaume wa hivyo hawapo siku hizi tuko bize kutafuta tu ela,
Hapana muwage mnakubali baada ya mjadala mama natafutaUnataka tukubali kila mtu?
Hakuna mpenzi ya kweli humu mkuuHapana muwage mnakubali baada ya mjadala mama natafuta
Dah Aisee muwe basi hata mnatudanyanya jamaniHakuna mpenzi ya kweli humu mkuu
Hakuna mpenzi ya kweli humu mkuu
Sasa mwanaume yupi huyo atakubali hayo masharti hapo atakuwa hazimtoshi kwa kweli,eti wiki moja wanaume tuko huru huwa hatufungwi hivyo,labda tafuta ambaye akili yake haisomi vzrUna hela wewe? Nani hatafuti hela?
Na wewe upo tayari kupimwa maini?Me mjumbe tu wakuu
Mahusiano yataannza tar 23 dec hadi tareh 2 January
Benefits
Kula Na kulala pamoja nyumbani kwa mmojawapo
Cost sharing
Qualifications
Age 35_36
HIV negative.(utapimwa hadi maini)
Ujue kuogelea maana Zanzibar itahusika
Usiwe Na stress za mapenzi
Usiwe mchoyo
NdioNa wewe upo tayari kupimwa maini?
okay, ila namba haujaweka au kwa maelezo zaidi pm inahusika.Me sijui bna nimetumwa tu
Okay. Count me inNdio
Masharti yapi ?Sasa mwanaume yupi huyo atakubali hayo masharti hapo atakuwa hazimtoshi kwa kweli,eti wiki moja wanaume tuko huru huwa hatufungwi hivyo,labda tafuta ambaye akili yake haisomi vzr
Sio Mimi mkuu ni. FriendOkay. Count me in
Na akiona hii comment yko ndo hamna atakayekujibu kwa dharau yko ya kuita janamkeMimi nilitongoza janamke humu kwa PM hata halirespond, majitu Mengine sijui yakoje
Masharti yapi ?