Anasema amechoka kuvumilia, tufanye mapenzi kabla ya ndoa

Inaweza ikashangaza ila mimi ni Me, nilidhamiria kutofanya kitu na mke mtarajiwa mpaka ndoa ila imefika hatua naona mwenza yamemfika shingoni, pressure ni kubwa kwangu akidai hali ni tete.

I honestly don't want this to happen but nawaza nini kinaweza tokea? Nikimwambia tuvumilie ananisikiliza but najua deep down hanielewi.

Ushauri wowote juu ya sex kabla ya ndoa.
Anataka akubambikie mimba!! Kesha nasa huko alikoruka. Jichanganye ulee mbegu za hawara yake
 
Inaweza ikashangaza ila mimi ni Me, nilidhamiria kutofanya kitu na mke mtarajiwa mpaka ndoa ila imefika hatua naona mwenza yamemfika shingoni, pressure ni kubwa kwangu akidai hali ni tete.

I honestly don't want this to happen but nawaza nini kinaweza tokea? Nikimwambia tuvumilie ananisikiliza but najua deep down hanielewi.

Ushauri wowote juu ya sex kabla ya ndoa.
Pole. Tatizo hapo unakuta sio bikra, alishaonja. Ukishaonja sex ni ngumu kweli kukaa bila sex kwa muda mrefu.
Na mwanamke akiwa na nyege, ni hatari sana asikwambie mtu, ni bora nyege za mwanaume.
Ushauri wangu: Mpe anachokitaka, la sivyo utakuja juta.
 
Inaweza ikashangaza ila mimi ni Me, nilidhamiria kutofanya kitu na mke mtarajiwa mpaka ndoa ila imefika hatua naona mwenza yamemfika shingoni, pressure ni kubwa kwangu akidai hali ni tete.

I honestly don't want this to happen but nawaza nini kinaweza tokea? Nikimwambia tuvumilie ananisikiliza but najua deep down hanielewi.

Ushauri wowote juu ya sex kabla ya ndoa.
Really man niggas out here thirsty for that WAP and you pushing it away??how you gone disrespect the game like that??
 
Duh! Naona dunia imefungwa turbo charger ipo speed Atari..now day kuna mwanaume ataki sex mpaka ndoa
 
Inaweza ikashangaza ila mimi ni Me, nilidhamiria kutofanya kitu na mke mtarajiwa mpaka ndoa ila imefika hatua naona mwenza yamemfika shingoni, pressure ni kubwa kwangu akidai hali ni tete.

I honestly don't want this to happen but nawaza nini kinaweza tokea? Nikimwambia tuvumilie ananisikiliza but najua deep down hanielewi.

Ushauri wowote juu ya sex kabla ya ndoa.
Mwamba shikilia hapo hapo. Trust me nothing good as ever come out of have pre marital sex.

Akishindwa basi huyo sio wife material achana nae
Wife material ni kutokufanya mapenzi kabla ya ndoa??? Watu wamefanya mapenzi na wanaume idadi hawakumbuki na wakaolewa wakawa material utafikiri aliolewa bikra
Kwako wee sawa mie kwangu kigezo cha kuwa wife material ni kuwa bikra. Huna basi wee kwa mapendeleo yangu sio wife material.
 
Hongera sana kijana, unanafasi ya kuweka malengo makubwa na kuyatimiza maana una uwezo mkubwa wa ustahimilivu. Ushauri wangu kama mlivyopanga awali basi kaeni chini muweke mpango mwingine.
 
Inaweza ikashangaza ila mimi ni mimi, nilidhamiria kutofanya kitu na mke mtarajiwa mpaka ndoa ila imefika hatua naona mwenza yamemfika shingoni, pressure ni kubwa kwangu akidai hali ni tete.

I honestly don't want this to happen but nawaza nini kinaweza tokea? Nikimwambia tuvumilie ananisikiliza but najua deep down hanielewi.

Ushauri wowote juu ya sex kabla ya ndoa.

Uzinzi!!!!!!!!! Uzinzi!!!!!!!!! Uzinzi!!!!!!!!! Uzinzi!!!!!!!!! Uzinzi!!!!!!!!! Uzinzi!!!!!!!!! Uzinzi!!!!!!!!! Uzinzi!!!!!!!!!

Yamkini huyo binti Mzinzi ana ujauzito wa mtu mwingine. Sasa kama hawezi kusubiri, Je utakapokuwa safari baada ya ndoa nini kitaendelea. Pole sana Bwana mdogo kwa kupotea njia. Huyo sio Wife Material bali Mzinzi fulani tu.

Ahsante
 
Inaweza ikashangaza ila mimi ni mimi, nilidhamiria kutofanya kitu na mke mtarajiwa mpaka ndoa ila imefika hatua naona mwenza yamemfika shingoni, pressure ni kubwa kwangu akidai hali ni tete.

I honestly don't want this to happen but nawaza nini kinaweza tokea? Nikimwambia tuvumilie ananisikiliza but najua deep down hanielewi.

Ushauri wowote juu ya sex kabla ya ndoa.
"MIMI NI MIMI" I love that man.
Inawezekana ana wasiwasi na urijali wako kwa sababu si kawaida kwa wanaume kutohitaji tendo kabla ya ndoa kwenye kizazi cha sasa. Kwa upande mwingine mnatofautiana pia viwango vya maadili, "moral values". Si dalili nzuri sana kwa sababu mnaweza kuja kutofautiana maeneo mengi kwenye maisha yenu ya ndoa na malezi ya watoto wenu kiujumla so changa karata vema kwa kuangalia na vigezo vingine, hulka na tabia alizonazo. Either way kudos kwake kwa sababu ameamua kukwambia.

Najua utaonekana wa ajabu na wengi humu ila shikilia hapo hapo. Wapo watu wa aina yako hata kama ni wachache. Mimi na wife tulikubaliana kutokukutana kimwili mpaka tunafunga ndoa, nilimkuta sealed. You are on the right track.

All the best.
 
Back
Top Bottom