Anasema amechoka kuvumilia, tufanye mapenzi kabla ya ndoa

Hili umeshindwa kuamua mwenyewe hadi uje kuomba ushauri humu!? 😫😫😫 mwambie atafute njemba AKA mchepuko ampelekee moto wa uhakika wewe utasubiri hadi siku ya ndoa hupendi kujihusisha na dhambi.

Inaweza ikashangaza ila mimi ni Mwanaume, nilidhamiria kutofanya kitu na mke mtarajiwa mpaka ndoa ila imefika hatua naona mwenza yamemfika shingoni, pressure ni kubwa kwangu akidai hali ni tete.

I honestly don't want this to happen but nawaza nini kinaweza tokea? Nikimwambia tuvumilie ananisikiliza but najua deep down hanielewi.

Ushauri wowote juu ya sex kabla ya ndoa.
 
Kama umeshawahi kuzini unahitaji nguvu ya ziada kushinda hiyo changamoto .
Ila kama ni bikra (wote wawili) endeleeni kupambana na mpunguze mazingira yoyote yanayoweza kuchochea uzinzi .
 
Mmmh aisee au huna nguvu za kiume. Ingekua mwanamke ndio anasema hivi nisingeshangaa ila mwanaume
Kuna msichana ilikua hivi hivi honeymoon ndio anagundua mume wake hana uwezo wa kushiriki tendo la ndoa. Ikabid aende kanisani ndoa ikavunjwa
Unakubali kwamba kutest mitambo kabla ya ndoa ni muhimu?
 
Nakuonea huruma Dogo.

Ishi maisha yako na mpenz wako sasa, usisubiri mpka ndoa. Kuna watu sasa hvi wanamchombeza mpenz wako, na inawezekana wakafanikiwa.
Kama ni bikra ivunje mwenyewe. Enjoy the sex.

Otherwise life will f**k you up.
Maisha sio tamthiliya.
Utachapiwa.
Utakosa mchumba/mke.
Hautakuwa sawa mentally for a while.
 
Mmmh aisee au huna nguvu za kiume. Ingekua mwanamke ndio anasema hivi nisingeshangaa ila mwanaume
Kuna msichana ilikua hivi hivi honeymoon ndio anagundua mume wake hana uwezo wa kushiriki tendo la ndoa. Ikabid aende kanisani ndoa ikavunjwa

Nina mashaka sana, anaweza kuwa mtoto sio rizk
 
Inaweza ikashangaza ila mimi ni Mwanaume, nilidhamiria kutofanya kitu na mke mtarajiwa mpaka ndoa ila imefika hatua naona mwenza yamemfika shingoni, pressure ni kubwa kwangu akidai hali ni tete.

I honestly don't want this to happen but nawaza nini kinaweza tokea? Nikimwambia tuvumilie ananisikiliza but najua deep down hanielewi.

Ushauri wowote juu ya sex kabla ya ndoa.
Frankly speaking utakuwa mbovu kwa kiasi kikubwa au husimamishi kabisa au shoga ndio maana unajificha katika kichaka cha hadi ndoa.

Lakini elewa hiyo ndoa ya kumbambikia huyo mwanamke itaishi kwa matatizo makubwa ya kukosa uaminifu kwa sababu mwanamke lazima atatembea nje ya ndoa au kukuacha kabisa pale atakapobaini kuwa aliingia chaka kuolewa na hanithi au mume ambaye ni almost hanithi.

Afadhali ujitutumue mfanye mapenzi ili kumpa. nafasi mke mtarajiwa ya kupima kama anaweza kuvumilia udhaifu wako kabla hamjaoana, maana kuna wengine hukubali kuolewa licha ya numewe kutokuwa vizuri kitandani kwa sababu wanakuwa wanataka sana ndoa.

Usiahirishe matatizo bora yajulikane mapema ili mwanamke aamue kuingia ndoani au la.
 
TBS niko hapa kwa Niaba yako. Tunza Nadhiri yako.

Nitume nikusaidie
 
It will make sense ikiwa huyo demu ni bikra maana unampa mtihani wa kujilinda na unamwambia kabisa kuwa nataka niikute hiyo bikra siku ya honeymoon..ila kama WAP/BAP yake ishatafunwa na watu wa-bad hakuna maana kabisa ya wewe kusubiria hadi ndoa.
 
Ushauri mzuri sana huu! Mungu akubariki kwa hili!
Wengi wanamdhihaki kwa maneno ya kejeli.
Yeye aendelee kufwata maandiko yanataka nini,,,dhihaka za watu zipo tu...hata Yesu alitupiwa maneno.
Hekima ya Mungu ,kwa wanadamu ni upuuzi.
Wazinzi wanamuona Kama hamnazo,lakini kumbe yupo sahihi kabisa.

Tupo kwenye dunia ambayo watu wanajitahidi kwa nguvu zote kuhalalisha dhambi.
 
Mungu akupe mke mwema mdogo angu, naamini huna tatizo la kimaumbile kama wanavyosema jwakuu wengi hapa, moja ya mtihani mkubwa katika maisha ni kudhibiti hisia zako, ukiweza hapo mengi utayaona yanakua rahisi sanna
 
Inaweza ikashangaza ila mimi ni Mwanaume, nilidhamiria kutofanya kitu na mke mtarajiwa mpaka ndoa ila imefika hatua naona mwenza yamemfika shingoni, pressure ni kubwa kwangu akidai hali ni tete.

I honestly don't want this to happen but nawaza nini kinaweza tokea? Nikimwambia tuvumilie ananisikiliza but najua deep down hanielewi.

Ushauri wowote juu ya sex kabla ya ndoa.
Acha uongo,wewe upewe papuchi ukatae?

Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
 
🤣🤣🤣🤣🤣🤣

Back
Top Bottom