Anasema amechoka kuvumilia, tufanye mapenzi kabla ya ndoa

Kusema "MIMI NI MIMI"
Then unamalizia kwa kuomba ushauri huo nao ni uduanzi
Moderator ndo hawaelewi, niliandika mimi ni ME, nikiwa na maana mwanaume, wao wame edit waakaona wanaelewa sana lugha labda nilidhamiria me ya kingerezaa, Moderator rekebisheni
 
Inaweza ikashangaza ila mimi ni mimi, nilidhamiria kutofanya kitu na mke mtarajiwa mpaka ndoa ila imefika hatua naona mwenza yamemfika shingoni, pressure ni kubwa kwangu akidai hali ni tete.

I honestly don't want this to happen but nawaza nini kinaweza tokea? Nikimwambia tuvumilie ananisikiliza but najua deep down hanielewi.

Ushauri wowote juu ya sex kabla ya ndoa.
Kitu gani kina wazuia kuoana hata leo?
 
Ana mashaka na wewe anafikiri huenda hauko sawa, kwa wengine waneingia katika mtego huo wa mwanàume hasimamishi.
Au anataka kuona mnafaa kila mmoja kwenye tendo hilo.
Ninachokushauri kama wewe ni Mkristo imara usifanye. Mara nyingi waliofanya huwa hawaoani sababu wanajuana kama jjnsi kila mmoja anavyoona.
Simamia uamuzi wako kama analazimisha mwache utampata mwingine.

Madhara ya kushiriki ngono kabla linafanya watu wasiaminiane; pia mvuto wa kumtamani mwingine unaondoka, tatu kinachokuwa kinawavuta kukutana ni ngono, nne uzoefu wa kufanya ngono ovyo unafanya kuleta ulinganifu kwa aliowahi kukutana nao huko nyuma na kumpima mwenzake katika kipimo hicho.Tulia mweleze ukweli, akueleze bila kuficha sababu yake ni nini
Ulichozungumza ni sahihi kabisa, nayaona hayo yakija iutokea, naaiona dalili ya kutengana muda sio mrefu coz nikifanya nae sitakua na iman ya moyo na nisipofanya nae nitakua na wasiwasi nae pia
 
Inaweza ikashangaza ila mimi ni mimi, nilidhamiria kutofanya kitu na mke mtarajiwa mpaka ndoa ila imefika hatua naona mwenza yamemfika shingoni, pressure ni kubwa kwangu akidai hali ni tete.

I honestly don't want this to happen but nawaza nini kinaweza tokea? Nikimwambia tuvumilie ananisikiliza but najua deep down hanielewi.

Ushauri wowote juu ya sex kabla ya ndoa.
Huo moto usipozikwa utawasha mashamba ya jirani
 
Kama mmeamua kutofanya ni vema zaidi, ila kama mwanamke amewahi kuliwa basi lazima asumbuliwe na migenye umiza kama hyo, uamuzi ni wako.
 
Wew ni mwanaume uliyelelewa kwenye mazingira mabovu sana. Nyinyi ndio mnaotesekaga sana kwenye mapenz baadae mnaitwaga mazoba.

Nenda kamtafute demu wa kanisani mkuu
 
Usikute huyo mwanamke ameshastuka kama wewe usije ukawa "Mjigaru", na kama ni hivyo ajuwe mapema ili asijiingize kwenye ndoa hiyo!
 
Hili jamaaa gay😂😂😂😂😂😂😂

Yaan kumchapa mashine mtoto mzuri mpaka uje uombe ushauri😂😂😂😂

Nahisi kuna mahala pana tatzo ila linafichwa kwa kivuli cha ndoa.

Tuletee namba yake hapa huyo kuna huduma ya msingi sana anakosa😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
 
Back
Top Bottom