Miaka kumi ya ndoa mume wangu hajali hisia zangu; Nimechoka!

FarAway

Member
Oct 8, 2018
22
23
Miaka kumi ya ndoa sasa mume wangu anafanya kazi mkoani mwaka wa pili sasa huwa anajitahidi kwa mwezi anakuja mara mbili kutusalimia mimi na watoto wetu wawili yeye ana 35 na mimi nina 32 ananibore anapokuja,huwa kazubaa yaani kadri siku zinavyoenda ndo anazidi kupoteza mzuto wa kimapenzi anapenda style ya kusoma gazet tu mimi ndo nihangaike hapo juu na akijinyoosha hapo kitandani ni kama mfu hanipapasi hafanyi chochote zaidi ya kuutunisha na kuniachia.

Mimi nihangaike nao kweli nakosa raha nikimwambia aje juu anagoma anasema anasema amechoka anastress anawaza apate kazi nyingine aje kukaa na familia yake ananichosha kweli hata kabla hajaenda mkoani kikazi alikuwa ni mtu wa nimechoka nawaza kupata kazi nzuri niwahudumie,kwa kweli huyu mchaga wangu anahangaika na kutujali sana familia yake kwenye issue za ulaji,mavazi na malazi ila mapenzi na mahaba ni extra sana kwake...

Kuna mkaka mmoja job yeye ni mnyakyusa ananifatilia sana, jamaa ananizimia ananiongeleshaga vitu vya kimapenzi sana yani nimeanza kumtamani niwenae kimapenzi atulize kiu yangu ya mda mrefu kaniambia tuwetunakula bata na kuenjoy mapenzi but tutaendelea kurespect family zetu nishaurini wakuu
 
Miaka kumi ya ndoa sasa mme wng anafanya kazi mkoani mwaka wa pili sasa.Huwa anajitahidi kwa mwezi anakuja mara mbili kutusalimia mimi na watoto wetu wawili.Yeye ana 35 na mimi nna 32.

Ananibore anapokuja,huwa kazubaa yaan kadri siku zinavyoenda ndo anazidi kupoteza mzuto wa kimapenzi anapenda style ya kusoma gazet tu mimi ndo nihangaike hapo juu na akijinyoosha hapo kitandani ni kama mfu hanipapasi hafanyi chochote zaidi ya kuutunisha na kuniachia mm nihangaike nao kweli nakosa raha nikimwambia aje juu anagoma anasema anasema amechoka anastress anawaza apate kazi nyingine aje kukaa na familia yake
Ananichosha kweli hata kabla hajaenda mkoan kikaz alikuwa ni mtu wa nimechoka nawaza kupata kazi nzur niwahudumie,kwa kweli huyu mchaga wangu anahangaika na kutujali sana familia yake kwenye issue za ulaji,mavazi na malazi ila mapenzi na mahaba ni extra sana kwake... kuna mkaka mmoja job yeye ni mnyakyusa ananifatilia sana, jamaa ananizimia ananiongeleshaga vitu vya kimapenzi sana yani nimeanza kumtamani niwenae kimapenzi atulize kiu yangu ya mda mrefu..kaniambia tuwetunakula bata na kuenjoy mapenzi but tutaendelea kurespect family zetu... nishaurini wakuu
Duuuh hii nayo kali, pole sana.
 
Wabongo bana....

Kashapata kamchepuka kake anakuja hapa kutafuta uhalali....

Nilipokua nasoma nikasema mwisho wa hii stori itaishia mahali "kuna mkaka ananifatilia.."..Thats the main point!

Huku juu kote ni blah blah tu...maana ungeongea nae muhusika ndio angetoa majibu ya kubadilika unavyotaka wewe...Humu hamna mtu anaweza kukusaidia in real sense!

Na hiyo "kuna mkaka....".....wewe chepuka bana acha kutafuta visingizio...ukishikwa na ndoa huna ili ujue maisha nini hasa!
 
Wewe ndio tatizo.

Kama umekaa naye miaka kumi na umegundua tatizo lake umechukua hatua gani kumshauri/kumsaidia ili akufikishe unakotaka? Au unafikiri wanaume automaticaly wako kufurahisha tu wanawake bila kuwasiliana na kushauriana?

Jiongeze, ongea na mwenzi wako afanye unachotaka kufanyiwa..sio ajabu wala hajui kama anakukera.
 
Miaka kumi ya ndoa sasa mme wng anafanya kazi mkoani mwaka wa pili sasa.Huwa anajitahidi kwa mwezi anakuja mara mbili kutusalimia mimi na watoto wetu wawili.Yeye ana 35 na mimi nna 32.

Ananibore anapokuja,huwa kazubaa yaan kadri siku zinavyoenda ndo anazidi kupoteza mzuto wa kimapenzi anapenda style ya kusoma gazet tu mimi ndo nihangaike hapo juu na akijinyoosha hapo kitandani ni kama mfu hanipapasi hafanyi chochote zaidi ya kuutunisha na kuniachia mm nihangaike nao kweli nakosa raha nikimwambia aje juu anagoma anasema anasema amechoka anastress anawaza apate kazi nyingine aje kukaa na familia yake
Ananichosha kweli hata kabla hajaenda mkoan kikaz alikuwa ni mtu wa nimechoka nawaza kupata kazi nzur niwahudumie,kwa kweli huyu mchaga wangu anahangaika na kutujali sana familia yake kwenye issue za ulaji,mavazi na malazi ila mapenzi na mahaba ni extra sana kwake... kuna mkaka mmoja job yeye ni mnyakyusa ananifatilia sana, jamaa ananizimia ananiongeleshaga vitu vya kimapenzi sana yani nimeanza kumtamani niwenae kimapenzi atulize kiu yangu ya mda mrefu..kaniambia tuwetunakula bata na kuenjoy mapenzi but tutaendelea kurespect family zetu... nishaurini wakuu
unafanya kazi benki
 
Tamaa imeshakuingia tayari,angalia usije kuvunja ndoa yako,Mtego huwa mzuri ili ukunase lkn ukishanaswa ndo utajua umeingia kingi.
 
Nimemwambia mara kibao ananijibu nivumilie mke wangu hamu inaniishia nahangaika nipate kazi huku niwe pamoja nanyi nikirudi mambo yatarudi kama zamani.Sasa mimi ntavumilia mpaka lini ikiisha stress hii inakuja nyingine na huyu kaka mwingine jaman ananiambiaga maneno mengi ya kimapenzi hadi nimeanzakuvutiwa nae
Wewe ndio tatizo.

Kama umekaa naye miaka kumi na umegundua tatizo lake umechukua hatua gani kumshauri/kumsaidia ili akufikishe unakotaka? Au unafikiri wanaume automaticaly wako kukufurahisha tu wewe?

Jiongeze, ongea na mwenzi wako afanye unachotaka kufanyiwa..sio ajabu wala hajui kama anakukera.
 
Dah aisee watu kama hao usijaribu kuchepuka, huyo Mangi atakukata shingo. Mpe mitego ya kike mvalie Kanga moko, mkikaa wawili tu room achana na kufuli vaa Kanga tu kaa Mbele yake tanua upaja kidogo aone malighafi kwa mbali utasikia nyura! Naweza pata kimoja hapo lazima damu ichemke! Usisubiri akuanze utaishia kusugua miguu mpandie wewe shika mashine yake ukimbembeleza kwa mahaba Yale ya uchumba kabisa! Mvue suruali taratiibu mwambie naomba nione tu dudu yangu km inatumika mkoani huko akikupa mwambie naomba nijikune nayo hapa kidogo mara umeweka kwenye clitooo jamaa pumzii nzitoooo zitamtoka. Utasikia lkn mama nanihii nimechoka wewe ndo unaizamisha kabsaa nakwambia atapump km anachimba makinikia hahaha. Sema shida ya wake zetu na nyie mkishakuwa kwenye ndoa hamtaki tena romance, kale ka uchokozi flani is kisichana, unaona km utaonekana unanyenyekea! Angalia isije ikawa anakamukiwa mkoani hukooo
 
Back
Top Bottom