kama umefanya mengi lakini haridhiki ujue sio size yako lol!
point noted
kama umefanya mengi lakini haridhiki ujue sio size yako lol!
simalenga ni mtangazaj wa redio ya wafu
Mapenzi yana run dunia
Labda hajielewi so you need to show are that you care so much by going beyond yale anayojitakia
Ukipenda, uwepo uwiano baina ya "maneno" na "vitendo"
Ukipenda, ukawa unasema bila kutenda, hupendi.
Ukipenda, ukawa unatenda bila kusema, hutendi.
Nimewasikia wengi wanaolalamika kwa moja au jengine.
Nimewasikia wengi wanaolalamika kwa maneno matamu bila matendo.
Nimewasikia wengi wanaolalamika kwa matendo mema bila maneno ya upendo.
Kupenda bila matendo, kutenda bila maneno
Hufanya neno lisiwe pendo, wala tendo kuwa pendo.
BADILI TABIA Na kwa vile linaonekana halina uzito na ndiyo maana hata siku hizi hatukumbushani ya kuwa tunapendana..................ukweli wabakia mjue mtu wako kwa undani na usiendekeze majungu khalafu mpime yawezekana anapokutamkia anakupenda mwenzio aongea kilichoko moyoni mwake.............................sasa wewe ukimpuuzilia mbali atafikiri pengine unamdharau na hauna utii kwake...........................naona inabidi turudi kwenye khoja ya utii bila ya kutiana.........lol
Ruta Mkuu, labda sikujieleza vizuri, lakini ninachotaka kusema na nasisitiza, ni lazima kuwepo na uwiano na msimamo katika kauli (na matendo). Ninaposema uwiano wa kauli, nakusudia kusiwe na kauli zinazogongana. Sio anasema anataka lakini matendo yake yanadhihirisha kuwa hataki na pengine hajiamini, au anasema hataki kumbe moyoni anaatilika. NWY, "Love process is not cut-to-fit all persons. Every pair is a world of their own. What suits one pair doesn't fit the other".Umesikika MAMMAMIA lakini yote chanzo si kauli khalafu matendo kufuata.........................kama kauli zina mgongano yawaje basi?
Bajabiri.............Kweli FirstLady1 ni mtangazaji wa redio?