Anapodai ushuhuda wa kupendwa........

Ruta nimepoteza track ya hii kitu....umeamua vipi sasa.....ebu tuache kuzunguka mbuyu

lemonade hakuna lililoamuliwa hadi sasa zaidi ya kuendelea kupokea ushauri tena wewe tulikuwa tunakusubiri san utueleze kama atembelewe au la.....................ukaingia mitini.....................sasa kazi kwako atembelewe au vivyohivyo?
 
Last edited by a moderator:
Ms Judith pole na masomo kabla ya yote yaelekea wanishauri nisimlazie damu.......duh walakini wajua anataka nimtembelee kivipi?

asante sana kaka Ruta kwa salamu njema, masomo yangu yanakwenda vyema kabisa.

nilipoona huyo wako anadai ushuhuda wa kupendwa huku akitoa na maangalizo yake, nikajiuliza kakangu Ruta, kulikoni siku hizi?

but................

anapodai ushuhuda wa kupendwa huku akitoa na maangalizo yake,
wewe lipige vyema funda, huku ukimkwida na ushungi wake!

wewe hesabu yake marinda na kuzihina hizo chuchu zake!

wewe kikimbilie kitanda huku ukumvutia huko na maringo yake!

wewe kitoneshe hicho kidonda na yatimize ya moyoni mwake!

mwambie akupe hilo funda, huku ukifaidi nayo mautamu yake!

mwambie na wewe wataka kinda na yeye ndo awe mama yake!

ubarikiwe sana mpendwa

Glory to God!
 
[MENTION]
Miss Judith[/MENTION] mbona umenifunika hivyo......yaani mie nimelipenda hili tenzi yako yenye kujaa nasha kibao.............basi sasa hana maujnaja naenda kumwida labda nishauriwe vinginevyo humu jamvini....................duh
 
asante sana kaka Ruta kwa salamu njema, masomo yangu yanakwenda vyema kabisa.

nilipoona huyo wako anadai ushuhuda wa kupendwa huku akitoa na maangalizo yake, nikajiuliza kakangu Ruta, kulikoni siku hizi?

but................

anapodai ushuhuda wa kupendwa huku akitoa na maangalizo yake,
wewe lipige vyema funda, huku ukimkwida na ushungi wake!
anapodai ushuhuda wa kupendwa huku akitoa na maangalizo yake,
wewe hesabu yake marinda na kuzihina hizo chuchu zake!

anapodai ushuhuda wa kupendwa huku akitoa na maangalizo yake,
wewe kikimbilie kitanda huku ukumvutia huko na maringo yake!
anapodai ushuhuda wa kupendwa huku akitoa na maangalizo yake,
wewe kitoneshe hicho kidonda na yatimize ya moyoni mwake!

anapodai ushuhuda wa kupendwa huku akitoa na maangalizo yake,
mwambie akupe hilo funda, huku ukifaidi nayo mautamu yake!
anapodai ushuhuda wa kupendwa huku akitoa na maangalizo yake,
mwambie na wewe wataka kinda na yeye ndo awe mama yake!

ubarikiwe sana mpendwa

Glory to God!
Otula obungya..............................!
Nampongeza na kumshukuru mwalimu /mwanafunzi, nashangaa anasomea nini maana fani anayo tena tele.
Kama hukupata somo basi.
 
lemonade hakuna lililoamuliwa hadi sasa zaidi ya kuendelea kupokea ushauri tena wewe tulikuwa tunakusubiri san utueleze kama atembelewe au la.....................ukaingia mitini.....................sasa kazi kwako atembelewe au vivyohivyo?
Sijaingia mitini Rutashubanyuma ni kuwa naona tu bora ufate moyo wako unapenda nini, mwisho wa siku wewe ndio upime uzito wa hiyo kitu.........wewe si ndio mlaji?
 
lemonade ni vyema umesema ukasikika..........lol
 
Last edited by a moderator:
usichojua Fixed Point ni kuwa hata wewe kuna vidume wengi umewanyanyasa hata wengine bila ya kukusudia yaani wanakuhitaji nawe hata habari huna...........basi wanaishia kumeza fundo la mate wengine hata kukusogelea wanaogopa kumbe pengine njia ipo wazi...................................kwa hiyo it is all life...................yote ni maisha na mateso ni sehemu yake pia......................ikiwa ni pamoja na kuteswa pia
ha haaaaaaaaaaa, kwa raha zao........................
si ujitaje tu Rutashubanyuma!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom