denoo49
JF-Expert Member
- Mar 29, 2011
- 6,113
- 6,953
Sijawahi kuwaza, shule aliyosoma baba wa Taifa, inaweza kutoka product mbovu sampuli hii.Bora mimi nirukeruke kuliko kuwa mwanachadema ya mashabiki wa hovyo kama wewe yaani nyie jamaa mliokuja na mamvi hamna akili kabisa kumbe nyie ndo mlikuwa mnavuruga kile chama kikongwe
Kwahiyo Dr. Slaa alivyohama na we umehamia wapi? Vipi "kesho" akirudi Chadema, kama maajabu ya Lipumba, na we utarudi?