Ananunua ndege wakati hiki na kile hatuna...

Ananunua ndege wakati hiki na kile hatuna...

Huna akili. Nchi haina vipaumbele???

Hebu kasome ilani ujue vipaumbele vya uncle Magu kwa hii miaka mitano. Wahed mbz
Wewe kipaumbele tu kilikuwa nini wakati wa kampeni usiwafanye watanzania wajinga
 
Lengo ilikuwa zilete yale makaratasi yaliyoandikwa "in god we trust" ndio maana zilipisha kuelekea ulaya!!!

Hizi "mapanga nshaaa" tunakusudia zikusanye "misimbazi" huko ng'wanamapalangashikolongombiti imepaswa itupeleke tukisha uza tung'ombe twetu.
Hizi neshno hauzingi mmewapendelea wa mjini, na ndege nazo wa mjini, basi bora tufunge hivi vijiji tuhamie moja kwa moja mjini.
Nyani Ngabu mbona unalitaja taja jina langu!

Lekaga gete nkoyi!

Kuna baadhi ya watu hawafahamu kuwa wakati ndege za ATC zinapishana kwenye anga la Ulaya, sisi hapa Ng'wamapalala hatukuwa hata na uwanja wa mpira achilia mbali uwanja wa ndege.

Shuleni tulikuwa tunakaa kwenye mawe tuliyoenda kutafuta na kuyapata mlimani achilia mbali madawati.

Angalau huduma ya afya tulikuwa tunapata kwenye dispensary ya kanisa katoliki ambayo ilikuwa inahudumia zaidi ya kata nzima ya Ng'wamapalala.

Unga tulikuwa tunanunua kwenye duka la kijiji kwa kupanga foleni.

Basi la kutoka Bariadi kwenda Shinyanga lilikuwa linapita mara moja baada ya siku mbili au wiki.

Usafiri wa uhakika wa kwenda Bariadi ilikuwa ni baiskeli.

Kupanga ni kuchagua!
 
Magufuli anaonesha weakness hata kwa mazuri anayoyafanya
swala la ndege kaonesha ule 'usukuma'
wa kuuliza shati la laki mbili lipo dukani?

Kawaida pesa hailipwi yote na kwa mara moja
yeye kaenda kulipa zote huku anasubiri ndege
style hiyi ya kufanya mambo bila kuhusisha wataalam wa sekta hiyo inawafanya watu wamuone
'mtata' hata kama nia nzuri ipo....

watu wanajiuliza mangapi ya wataalam hajayaasikiliza?

Okay, sina kabisa tatizo na valid criticism.

Lakini kwa wanaohoji eti mwanakijiji wa Busanda atafaidika vipi na ndege mpya nami nawauliza, kwani watu wa Dumila walifaidika vipi na ATC?
 
hivi hizo ndege mwananchi aliyopo kule kijijini mpapa karibu na ziwa nyasa atafaidika vipi? kiukweli kupanga ni kuchagua...
Mbona unaweza kuwa uko mjini umenunua flat screen TV kubwa tu na wala hujiulizi mzee wako aliyekusomesha kwa tabu huko kijijini ndani ndani anafaidika nayo vipi?
 
Wewe ni kilaz.a kipaumbele tu kilikuwa nini wakati wa kampeni usiwafanye watanzania wajinga kama ulivyo wewe
Kama akili yangu ni kila.za yakwako imekufa kabisa toa ubongo tupa jalalani.....

Soma ilani ujue vipaombele pimbi we
 
Kama akili yangu ni kila.za yakwako imekufa kabisa toa ubongo tupa jalalani.....

Soma ilani ujue vipaombele pimbi we
Leta hiyo ilani tuone vipaumbele vya
Ndege
Kuwakamata wapinzani
Kuwatukana wafanya biashara
Na kuzuia siasa mpaka 2020
Kukwamisha Ajira
Kukagua wafanya kazi hewa

Hivi ndio vipaumbele vya ilani?
 
Leta hiyo ilani tuone vipaumbele vya
Ndege
Kuwakamata wapinzani
Kuwatukana wafanya biashara
Na kuzuia siasa mpaka 2020
Kukwamisha Ajira
Kukagua wafanya kazi hewa

Hivi ndio vipaumbele vya ilani?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] seriously?
 
Binafsi nimempongeza rais na serikali kwa hatua hii lakini bado kuna kazi ya ziada ya kufanikisha biashara hii.pole pole ndio mwendo tutafika tu.
 
A bhalogi ugubhamana du!

Tom.bana ebhe....lentwe gete mashi ga ngoko😀.
[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]


Aagha ghaghagha ghagha

Aibhabhane nyanabhe nakokopala ntwe mpk oleke leshi.....
 
[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]


Aagha ghaghagha ghagha

Aibhabhane nyanabhe nakokopala ntwe mpk oleke leshi.....

Gemaga ubhone...
 
munaofurahia ndege muendelee tu kufurahia
me ntafurah dawa zkipatikana kwa wingi hospitalin na mikakati mizuri ambayo itanisaidia mtu wa chini
ndege ni nini kwangu??
wanaofurahia ndege ni wale wanaoweza ku aford
labda ufurahie kwa nchi yako kuonekana ni moja kati ya wenye nazo hahahaaa

SPENDAGI UJINGA AISE
 
Nampongeza Rais JPM kwamaana anafanya sasa kupanda ndege isiwe ndoto tena kwa watz.
haha subirini mpande bure kama sio starehe .fast jet tu yenyewe watu wanajihoji sembuse hiyo.wenye uwezo wenyewe wangapi mnagombania goli.haha labda iwe bei sawa na mabasi of which ni ndoto la sivo ni mlemle tu so tusijifariji.
 
Back
Top Bottom