Ananunua ndege wakati hiki na kile hatuna...

Ananunua ndege wakati hiki na kile hatuna...

mimi nafikiri shu si ndege
ishu matamshi yake zaidna jinsi anavyo onesha huo u nunuzi wa ndege
Anazungumza kama dserikali ina pesa tele.....

na mipesa iko mingi kiasi hawashindwi kununua ndege

hapo wananchi ndo wanauliza mbona chanjo tu ni shida?
mbona hilki tu shida....


Anaonesha yuko out of touch na maisha ya mtanzania wa chini
ambae hizo ndege hatazipanda........
 
"You can't be a real country unless you have a beer and an airline. It helps if you have some kind of a football team, or some nuclear weapons, but at the very least you need a beer." - Frank Zappa
Read more at: Frank Zappa Quotes

On the other hand, kuna wananchi na walanchi.
 
You can walk, chew gum, talk on the phone, and be mindful of passing vehicles all at the same and get home or wherever you are going safely.
Hahahahaha hapo ndo nnapowapendea magamba mkikabwa koo kama hapo mnatoka ndukiiii.Sasa huo ndo ukweli.
Lets sit and watch.
 
https://www.jamiiforums.com/index.php?posts/17829083, huyo ni Jaji Warioba. Aliyepata kuwa Jaji wa Mahakama Tanzania, na Waziri Mkuu, kipindi cha Mwalimu.
Mpaka amesema hivyo ujue ameona kitu hakipo sawa katika suala la uongozi kwa Tanzania.
Yaani wewe utakuwa BAVICHA uliyekuja na mamvi akili hamna kabisa, yaani ukisoma hiyo hoja ya Magufuli unaona tatizo lipo kwenye uongozi wa nchi aisee bora mimi niliondoka na Slaa kwa huu ujinga ningekuwa napata aibu sana kujiita mwanachadema
 
Kutokuridhika kwa binadamu ni jambo la kiasili.

Kunung'unika nako ni ada ya mja.

Bila ya kupoteza sana muda ngoja nizame moja kwa moja kwenye hoja.

Baada ya ununuzi wa hizi ndege za shirika letu la ndege, kumekuwepo na hoja kadha wa kadha zinazohoji eti kwa nini mheshimiwa MTUKUFU rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dokta John Pombe Joseph Magufuli pamoja na serikali yake wananunua ndege ilhali sehemu nyingi za Tanzania hazina viwanja vya ndege, eti hatuna sukari ya kutosha, hatuna sijui mashine gani mahospitalini, na kadhalika na kadhalika.

Sasa nami hebu ngoja niulize [maswali] yangu:

Hivi, kwani wakati ule tulipokuwa na zile ndege zetu za ATC, tulikuwa na viwanja vingapi vya ndege huko mikoani na wilayani?

Je, wakati ule hospitali zetu za serikali zilikuwa na kila kitu? Bugando ilikuwa na mashine zote zilizokuwa zinahitajika? Muhimbili nayo ilikuwa imejitosheleza kwa kila kitu?

Sukari, unga, sabuni, na mahitaji mengine nayo tulikuwa tumejitosheleza nayo vizuri tu?

Hizo Fokker Friendship [nadhani walikuwa nazo mbili au zaidi] za ATC ziliweza kutua hata huku kwetu Ikungulyabashashi, Ng'wamapalala, Lamadi, Madale, na Nyangokolwa?

Nchi zingine zilizo na mashirika yao ya ndege zenyewe zimetatua matatizo yake yote kabla ya kuamua kuwa na ndege zake zenyewe?

Huko Kenya kwa mfano, wao kila hospitali yao ina kila kifaa kilicho cha muhimu?

Sasa labda mimi kwa vile ni mbeba maboksi tu nisiye na elimu yoyote ile kubwa [niliishia kidato cha nne ambapo nilipata daraja la nne na pointi 30] ndo maana labda kwa kiasi fulani sizielewi hizo hoja za baadhi ya hao vipanga wanaozitoa.

Lakini nadhani mtu unaweza ukawa unatafuna jojo huku ukitembea na kuongea kwenye simu yako ukiwa unaelekea kwa Joji kwenda kula kiti moto au chipsi vumbi.
Sasa hivi hakuna cha budget, bunge wala cabinet. Jamaa akiamka anapanga matumizi ya kodi zetu anavyotaka. Huyu jamaa ni hatari kuliko maelezo
 
Hapo sasa umegusa point kubwa ambayo nami siku zote nataka nione kama nchi tunaifuata... DIRA YA NCHI .

Nchi inatakiwa iwe na dira ambayo yeyote atakayeunda serikali atafuata dira hiyo...... Suala hili litasaidia sana taifa kusonga mbele no matter chama gani kitakamata dola.
Sasa kisa cha kukurupuka kuponda alichomaanisha Warioba kilikuwa nini?
 
Mkuu kuna kipanga mmoja yuko UDOM anaingia mwaka wa 3 alipata daraja la 4 na pointi 30. Kwahiyo na wewe ni mmoja wa vipanga hapa nchini.
Wewe utakuwa BAVICHA uliyekuja na mamvi hamna akili kabisa ndo mlikuwa mnakiaribu kile chama kikongwe..
 
mimi nafikiri shu si ndege
ishu matamshi yake zaidna jinsi anavyo onesha huo u nunuzi wa ndege
Anazungumza kama dserikali ina pesa tele.....

na mipesa iko mingi kiasi hawashindwi kununua ndege

hapo wananchi ndo wanauliza mbona chanjo tu ni shida?
mbona hilki tu shida....


Anaonesha yuko out of touch na maisha ya mtanzania wa chini
ambae hizo ndege hatazipanda........

Hapo kwenye kauli mimi wala sina pingamizi sana.

Mkuu anahitaji maboresho kwenye hiyo idara.

Kwangu hilo halina ubishi.

Lakini hii ya kuponda tu kila kitu nayo si nzuri.

Watu tuliiponda serikali kwa kuliua shirika la ndege.

Wengine hadi wakaanza kuonea wivu na husda majirani zetu kwa maendeleo waliyoyapiga kwenye sekta ya usafiri wa anga.

Sasa leo hii huyu mkulu anafanya kweli tena kwa vitendo, bado tu watu wanaponda.

Hilo kwa kweli linastaajabisha.
 
Si kweli...KWENYE HILI UNAJIFARIJI TU MKUU.....JPM level nyingne kwanza unachokileta hakiendani na kilicho akilini mwako......EBU NENDA UFIPA kachukue UBONGO wako

Kwani kamsema nani, unakurupuka tu. Hayo ndiyo ya JPM, unakwenda mahakamani eti fulani katukanwa. Those initials could mean anything to the user

Nadhani kwa mtazamo wa wengi usafiri wa ndege ni anasa kama kula mayai na kunywa maziwa! Tukiweza kubadili hiyo mindest basi kitaeleweka!
 
Nyani Ngabu uko sawa kabisa, Sahihi yako ina maana kubwa sana kwa hao Vipanga. "Miafrika Ndivyo Tulivyo"
 
hivi hizo ndege mwananchi aliyopo kule kijijini mpapa karibu na ziwa nyasa atafaidika vipi? kiukweli kupanga ni kuchagua...
 
Kasema malaika waifute mitandao ya jamii,nipo sehemu watu wanamjadili daa wanam-dis sn,aisee
Umewakosea hao,waambie wafanye kazi waache kujadili jadili watu,au nawewe unaona kujadili na kudis watu ni ujanja?
 
Sasa kisa cha kukurupuka kuponda alichomaanisha Warioba kilikuwa nini?
Excuse me.... Hapa tulikua tunaongela ununuzi wa ndege. Na plainly watu mkasema nchi haina vipaombele.

NCHI INA VIPAOMBELE NA VIPO KWENYE ILANI.

So ungesema tu straight kwamba what you want ni dira nje ya political parties....
 
Chuuu...hene nkoi ule ujimelile hei?

Gabhita makanza malipu natenagubhona ung'wenumu.

Mhola mhola ahene?
Naleho nkoyi.

Nale mhola gete.

Nimekuwa msomaji badala ya mchangiaji wa hoja mara kwa mara kutokana na mabadiliko katika hili jukwaa.

Kuna wanachama wengi wapya ambao badala ya kupambana katika hoja, wanachofanya ni kupambana katika kutukana na kejeli.
 
Hapo kwenye kauli mimi wala sina pingamizi sana.

Mkuu anahitaji maboresho kwenye hiyo idara.

Kwangu hilo halina ubishi.

Lakini hii ya kuponda tu kila kitu nayo si nzuri.

Watu tuliiponda serikali kwa kuliua shirika la ndege.

Wengine hadi wakaanza kuonea wivu na husda majirani zetu kwa maendeleo waliyoyapiga kwenye sekta ya usafiri wa anga.

Sasa leo hii huyu mkulu anafanya kweli tena kwa vitendo, bado tu watu wanaponda.

Hilo kwa kweli linastaajabisha.


Magufuli anaonesha weakness hata kwa mazuri anayoyafanya
swala la ndege kaonesha ule 'usukuma'
wa kuuliza shati la laki mbili lipo dukani?

Kawaida pesa hailipwi yote na kwa mara moja
yeye kaenda kulipa zote huku anasubiri ndege
style hiyi ya kufanya mambo bila kuhusisha wataalam wa sekta hiyo inawafanya watu wamuone
'mtata' hata kama nia nzuri ipo....

watu wanajiuliza mangapi ya wataalam hajayaasikiliza?
 
Ukweli hatuna tatizo la ndege za ndani. Yaani domestic fligts mashirika binafsi ya ndege yapo mengi na huduma zake za kuridhisha .
Kama Taifa tulidhani priority ya ATC ni ndege za kwenda kimataifa. Kuchukua routes zetu tulo ziazima kwa wengine.
International fligts ndo zinazo tangaza nchi , zinaleta watalii na kusaidia kusafirisha mizigo na bidhaa mbali mbali.
Hizi kurukbiza sio priority ..ila mtukufu ameleta basi hakuna budi ...tutafanya nini
 
Yaani wewe utakuwa BAVICHA uliyekuja na mamvi akili hamna kabisa, yaani ukisoma hiyo hoja ya Magufuli unaona tatizo lipo kwenye uongozi wa nchi aisee bora mimi niliondoka na Slaa kwa huu ujinga ningekuwa napata aibu sana kujiita mwanachadema
Kama unafata mtu, na sio chama na itikadi zake, jiandae kuruka ruka sana.
 
Back
Top Bottom