Ananunua ndege wakati hiki na kile hatuna...

Kutokuridhika kwa binadamu ni jambo la kiasili.

Kunung'unika nako ni ada ya mja.

Bila ya kupoteza sana muda ngoja nizame moja kwa moja kwenye hoja.

Baada ya ununuzi wa hizi ndege za shirika letu la ndege, kumekuwepo na hoja kadha wa kadha zinazohoji eti kwa nini mheshimiwa MTUKUFU rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dokta John Pombe Joseph Magufuli pamoja na serikali yake wananunua ndege ilhali sehemu nyingi za Tanzania hazina viwanja vya ndege, eti hatuna sukari ya kutosha, hatuna sijui mashine gani mahospitalini, na kadhalika na kadhalika.

Sasa nami hebu ngoja niulize [maswali] yangu:

Hivi, kwani wakati ule tulipokuwa na zile ndege zetu za ATC, tulikuwa na viwanja vingapi vya ndege huko mikoani na wilayani?

Je, wakati ule hospitali zetu za serikali zilikuwa na kila kitu? Bugando ilikuwa na mashine zote zilizokuwa zinahitajika? Muhimbili nayo ilikuwa imejitosheleza kwa kila kitu?

Sukari, unga, sabuni, na mahitaji mengine nayo tulikuwa tumejitosheleza nayo vizuri tu?

Hizo Fokker Friendship [nadhani walikuwa nazo mbili au zaidi] za ATC ziliweza kutua hata huku kwetu Ikungulyabashashi, Ng'wamapalala, Lamadi, Madale, na Nyangokolwa?

Nchi zingine zilizo na mashirika yao ya ndege zenyewe zimetatua matatizo yake yote kabla ya kuamua kuwa na ndege zake zenyewe?

Huko Kenya kwa mfano, wao kila hospitali yao ina kila kifaa kilicho cha muhimu?

Sasa labda mimi kwa vile ni mbeba maboksi tu nisiye na elimu yoyote ile kubwa [niliishia kidato cha nne ambapo nilipata daraja la nne na pointi 30] ndo maana labda kwa kiasi fulani sizielewi hizo hoja za baadhi ya hao vipanga wanaozitoa.

Lakini nadhani mtu unaweza ukawa unatafuna jojo huku ukitembea na kuongea kwenye simu yako ukiwa unaelekea kwa Joji kwenda kula kiti moto au chipsi vumbi.

Jamaa huna jipya, kamsaidie prof asifukuzwe .... hata wewe hujielewi, kwa mfano enzi hizo ukienda kusoma shule za private we hii leo tofauti. Usiniudhi bure ila kosa lako ni cheti chako cha buguruni ... utaisoma namba bora uache ofisi mwenyewe

Hizo ndege zitabeba wagonjwa si ndio maana hospitali hazina chanjo vijana wengi wako mitaani wslioko ajiran baadh yao wapo majumban kwa uhakiki zaid jee hizo ndege zinajiendesha bila kuwa na watu wenye afya bora kukiwemo na mahtaj muhimu au zitasafirisha buree
Huyu jamaa, nimepata sababu yake ya kushangilia ndege, ni vile Pombe, amesema atanunua ndege nyingine itakayokuwa inafanya safari zake moja kwa moja kuanzia Tz mpaka USA bila kutua sehemu au nchi yoyote. Kwa hiyo kwake lazima aendelee kupiga debe ipatikane, haijarishi ni raia wangapi watakufa au kulala njaa. Hao ndio wasomi wanaotegemewa na Taifa.
Ningependezwa kusikia haya kwamba anahamasijsa ujenzi wa kiwanda cha ndege hapa Tz, kama kweli anahamu na ndege.

• Thanks
Reactions: MC7
Acha tuisome namba........mbele kwa mbele

#Ni mtazamo tuu

Huyu jamaa, nimepata sababu yake ya kushangilia ndege, ni vile Pombe, amesema atanunua ndege nyingine itakayokuwa inafanya safari zake moja kwa moja kuanzia Tz mpaka USA bila kutua sehemu au nchi yoyote. Kwa hiyo kwake lazima aendelee kupiga debe ipatikane, haijarishi ni raia wangapi watakufa au kulala njaa. Hao ndio wasomi wanaotegemewa na Taifa.
Ningependezwa kusikia haya kwamba anahamasijsa ujenzi wa kiwanda cha ndege hapa Tz, kama kweli anahamu na ndege.
Apitiie na hapa akatoe majibu

Wakati tukijiandaa kuwa nchi ya viwanda, ningependa kupata updates za ujenzi wa viwanda hivyo pamoja na majibu ya maswali yafuatayo:

1.Nini kinaendelea sasa kuhusu ujenzi wa viwanda na labda kiwanda cha kwanza kinatarajiwa kuanza kujengwa lini?

2.Mpaka sasa ni aina gani ya viwanda vinavyotarajiwa kujengwa?

3.Ni wawekezaji gani wameahidi kuja kuwekeza hapa nchini katika sekta hii ya viwanda?

4.Kati ya hao, ni kina nani wameshawasili hapa nchi kwa ajili hiyo?

5.Ni wawekezaji wangapi wameshakabidhiwa hati za viwanja/ardhi ili waanze ujenzi wa viwanda hivyo?

6.Ni malighafi za aina gani zitatoka hapa nchini kwa ajili ya viwanda hivyo?

7.Mpaka sasa tunatarajia vijana wangapi wa kitanzania watapata ajira za muda katika ujenzi wa viwanda hivyo?

8.Ni meli ngapi zinazotarajia kuja, zilizoko njiani au zilizowasili hapa nchini zikiwa na shehena ya vifaa vya ujenzi wa viwanda hivyo?

9.Ni maeneo gani ambayo mpaka sasa yamefanyiwa au yanatarajiwa kufanyiwa Environmental Impact Assessment kwa ajili ya ujenzi wa viwanda?

10.Je, mpaka sasa ni vikao vingapi vimefanyika kati ya serikali,wadau wengine na wawekezaji kujadili utekelezaji wa azima ya ujenzi wa viwanda hapa nchini?

11.Mpaka sasa serikali imetenga au inakusudia kutenga ekari kiasi gani kwa ajili ya ujenzi wa viwanda hivyo?

12.Upatikanaji wa umeme umeboreshwa kwa kiasi gani kuipokea Tanzania ya viwanda?

13.Je,mpaka sasa kuna changamoto gani zimejitokeza katika kutekeleza kauli mbiu ya kuifanya Tanzania kuwa nchi ya viwanda na hatua gani zimechukuliwa/zitachukuliwa kukabiliana na changamoto hizo?

Jamaa huna jipya, kamsaidie prof asifukuzwe .... hata wewe hujielewi, kwa mfano enzi hizo ukienda kusoma shule za private we ****** hii leovtofauti. Usiniudhi bure ila kosa lako ni cheti chako cha buguruni ... utaisoma namba bora uache ofisi mwenyewe

Povuuuuuuuuu

Kutokuridhika kwa binadamu ni jambo la kiasili.

Kunung'unika nako ni ada ya mja.

Bila ya kupoteza sana muda ngoja nizame moja kwa moja kwenye hoja.

Baada ya ununuzi wa hizi ndege za shirika letu la ndege, kumekuwepo na hoja kadha wa kadha zinazohoji eti kwa nini mheshimiwa MTUKUFU rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dokta John Pombe Joseph Magufuli pamoja na serikali yake wananunua ndege ilhali sehemu nyingi za Tanzania hazina viwanja vya ndege, eti hatuna sukari ya kutosha, hatuna sijui mashine gani mahospitalini, na kadhalika na kadhalika.

Sasa nami hebu ngoja niulize [maswali] yangu:

Hivi, kwani wakati ule tulipokuwa na zile ndege zetu za ATC, tulikuwa na viwanja vingapi vya ndege huko mikoani na wilayani?

Je, wakati ule hospitali zetu za serikali zilikuwa na kila kitu? Bugando ilikuwa na mashine zote zilizokuwa zinahitajika? Muhimbili nayo ilikuwa imejitosheleza kwa kila kitu?

Sukari, unga, sabuni, na mahitaji mengine nayo tulikuwa tumejitosheleza nayo vizuri tu?

Hizo Fokker Friendship [nadhani walikuwa nazo mbili au zaidi] za ATC ziliweza kutua hata huku kwetu Ikungulyabashashi, Ng'wamapalala, Lamadi, Madale, na Nyangokolwa?

Nchi zingine zilizo na mashirika yao ya ndege zenyewe zimetatua matatizo yake yote kabla ya kuamua kuwa na ndege zake zenyewe?

Huko Kenya kwa mfano, wao kila hospitali yao ina kila kifaa kilicho cha muhimu?

Sasa labda mimi kwa vile ni mbeba maboksi tu nisiye na elimu yoyote ile kubwa [niliishia kidato cha nne ambapo nilipata daraja la nne na pointi 30] ndo maana labda kwa kiasi fulani sizielewi hizo hoja za baadhi ya hao vipanga wanaozitoa.

Lakini nadhani mtu unaweza ukawa unatafuna jojo huku ukitembea na kuongea kwenye simu yako ukiwa unaelekea kwa Joji kwenda kula kiti moto au chipsi vumbi.
Ni kweli tulikuwa na ndege na napenda nikuulize je unajua kwa nini hatunazo tena? Ukilijua hilo basi itakuwa rahisi kuelewa kuwa hata hizi tulizonunua sasa zitapotea tena kama zile za awali. Ukweli ni kwamba hizo ndege haziwezi kuingia katika competition na ndege nyingine za nchi za Africa ya mashariki ma hata Africa kwa ujumla. In other words hizi zitategemea local market na Kama ni hivyo swali linakuwa ni je tuna viwanja vingapi Tanzania kuhakikisha ndege hizi zinakuwa busy na kuzalisha faida. Je, wateja wa ndani wapo wa kutosha? Binafsi sidhani kuna mkenya au mrwanda atapanda ndege ya panga kuja Tanzania wakati nchi Yao wanazo jets za uhakika. Labda bei iwe chini sana na ukifanya hivyo then gharama za uendeshaji itakuwa hakuna na mwisho unakuwa ni ule ule tuliozoea-yaani atcl kufilisika tena. Binafsi namsifu rais kwa kutumia hela yetu kununua ndege lakini pia naona tungeanza na reli na viwanda. Watu wakiwa na ajira ndio wataweza panda ndege. Ni hayo tu nyani ngabu

Kwa hiyo hatuwezi kununua ndege zetu wenyewe kwa sababu hospitali hazina vifaa vya kutosha?
Aangalie vipaumbele vyenye kueleweka maana kuna rundo la vijana ambao hawana ajira kibaya zaidi walidanganywa na huyuhuyu mkulu kuwa wasubiri miez isiyo zidi miwili atawarudisha hasa wale waliokuwa kazini kisha wakaambiwa wapishe zoez la watumish hewa, wapo walio fanyiwa usaili wa kuingia jkt tokea mwezi wa 4 lakini mpaka leo hawaambiwi kinachoendelea, ile sukari walikurupuka na kauli zao ambazo zimesababisha mpaka leo tunanunua dukar kwa 2400 nakuendelea, wameshindwa kuwasaidia wakulima juu ya bei ya mazao yao mfano mbaazi huku kijijini kwetu inauzwa bei isiyoeleweka...,......
Yapo mengi sana ya mhimu kuliko hizo ajira chache zitakazo zalishwa na hiyo mindege yao
Acha tulio danganywa tuendelee kusota

Kununua ndege sio jambo baya ila cha msingi ni lazima tujiulize ni kwa nini ATC ilikufa na jee tutafanya jambo gani tofauti kipindi hiki. Kama mfumo wa uendeshaji ni ule ule wa ATC basi tutakuwa tunatwanga maji kwenye kinu.

Hilo mbona Rais kalieleza vizuri na kueleza hatua zilizochukuliwa ikiwa ni pamoja na kuikopesha ndege hizo ATCL...tatizo akili zako ndogo halafu unataka tukusaidie kufikiri...

Apitiie na hapa akatoe majibu

Wakati tukijiandaa kuwa nchi ya viwanda, ningependa kupata updates za ujenzi wa viwanda hivyo pamoja na majibu ya maswali yafuatayo:

1.Nini kinaendelea sasa kuhusu ujenzi wa viwanda na labda kiwanda cha kwanza kinatarajiwa kuanza kujengwa lini?

2.Mpaka sasa ni aina gani ya viwanda vinavyotarajiwa kujengwa?

3.Ni wawekezaji gani wameahidi kuja kuwekeza hapa nchini katika sekta hii ya viwanda?

4.Kati ya hao, ni kina nani wameshawasili hapa nchi kwa ajili hiyo?

5.Ni wawekezaji wangapi wameshakabidhiwa hati za viwanja/ardhi ili waanze ujenzi wa viwanda hivyo?

6.Ni malighafi za aina gani zitatoka hapa nchini kwa ajili ya viwanda hivyo?

7.Mpaka sasa tunatarajia vijana wangapi wa kitanzania watapata ajira za muda katika ujenzi wa viwanda hivyo?

8.Ni meli ngapi zinazotarajia kuja, zilizoko njiani au zilizowasili hapa nchini zikiwa na shehena ya vifaa vya ujenzi wa viwanda hivyo?

9.Ni maeneo gani ambayo mpaka sasa yamefanyiwa au yanatarajiwa kufanyiwa Environmental Impact Assessment kwa ajili ya ujenzi wa viwanda?

10.Je, mpaka sasa ni vikao vingapi vimefanyika kati ya serikali,wadau wengine na wawekezaji kujadili utekelezaji wa azima ya ujenzi wa viwanda hapa nchini?

11.Mpaka sasa serikali imetenga au inakusudia kutenga ekari kiasi gani kwa ajili ya ujenzi wa viwanda hivyo?

12.Upatikanaji wa umeme umeboreshwa kwa kiasi gani kuipokea Tanzania ya viwanda?

13.Je,mpaka sasa kuna changamoto gani zimejitokeza katika kutekeleza kauli mbiu ya kuifanya Tanzania kuwa nchi ya viwanda na hatua gani zimechukuliwa/zitachukuliwa kukabiliana na changamoto hizo?
Maswali mazuri sana. Niko huku Dubai Kigoma sioni viwanda ila majengo marefu tu Kama Dubai ya Uarabuni😀

Hilo mbona Rais kalieleza vizuri na kueleza hatua zilizochukuliwa ikiwa ni pamoja na kuikopesha ndege hizo ATCL...tatizo akili zako ndogo halafu unataka tukusaidie kufikiri...
kuikopesha atcl hizo ndege kunasaidiaje ufanisi na soko adimu ambalo ni tatizo? Akili ndogo lakini zinaweza kuuliza maswali ya msingi. Wewe akili yako kubwa lakini unashindwa kujadili jambo muhimu badala yake unatukana.

Kasema malaika waifute mitandao ya jamii,nipo sehemu watu wanamjadili daa wanam-dis sn,aisee
Ninachokiona soon Internet bundle kupanda 5mb kuwa 1000,maana matamanio ya mkuu ni order kwa watendaji wake douh!!!

As long as Magufuli aneamua ku challenge status quo......he will always be the enemy of the people (read enemy of the elites and middle class). Hata angefanya nini.....tungeambiwa hajasikiliza washauri. Sijui JK alikuwa na washauri wangapi..na kama aliwasikiliza walitufikisha wapi.

Kwamba Tanzania kuna watu masikini....hao watakuwepo mpaka Yesu arudi! Ndo maana vijana wengi na degree zao wanashinda humu wanalialia eti serikali haitoi ajira! What do you expect with such hopeless mind?

Again, mijadala Kama hii na kukosoana in health for our democracy. Lakini Tanzania ilipokuwa imefika.....if I were in Magufuli's shoes......there's nothing I would have done differently.

Kutokuridhika kwa binadamu ni jambo la kiasili.

Kunung'unika nako ni ada ya mja.

Bila ya kupoteza sana muda ngoja nizame moja kwa moja kwenye hoja.

Baada ya ununuzi wa hizi ndege za shirika letu la ndege, kumekuwepo na hoja kadha wa kadha zinazohoji eti kwa nini mheshimiwa MTUKUFU rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dokta John Pombe Joseph Magufuli pamoja na serikali yake wananunua ndege ilhali sehemu nyingi za Tanzania hazina viwanja vya ndege, eti hatuna sukari ya kutosha, hatuna sijui mashine gani mahospitalini, na kadhalika na kadhalika.

Sasa nami hebu ngoja niulize [maswali] yangu:

Hivi, kwani wakati ule tulipokuwa na zile ndege zetu za ATC, tulikuwa na viwanja vingapi vya ndege huko mikoani na wilayani?

Je, wakati ule hospitali zetu za serikali zilikuwa na kila kitu? Bugando ilikuwa na mashine zote zilizokuwa zinahitajika? Muhimbili nayo ilikuwa imejitosheleza kwa kila kitu?

Sukari, unga, sabuni, na mahitaji mengine nayo tulikuwa tumejitosheleza nayo vizuri tu?

Hizo Fokker Friendship [nadhani walikuwa nazo mbili au zaidi] za ATC ziliweza kutua hata huku kwetu Ikungulyabashashi, Ng'wamapalala, Lamadi, Madale, na Nyangokolwa?

Nchi zingine zilizo na mashirika yao ya ndege zenyewe zimetatua matatizo yake yote kabla ya kuamua kuwa na ndege zake zenyewe?

Huko Kenya kwa mfano, wao kila hospitali yao ina kila kifaa kilicho cha muhimu?

Sasa labda mimi kwa vile ni mbeba maboksi tu nisiye na elimu yoyote ile kubwa [niliishia kidato cha nne ambapo nilipata daraja la nne na pointi 30] ndo maana labda kwa kiasi fulani sizielewi hizo hoja za baadhi ya hao vipanga wanaozitoa.

Lakini nadhani mtu unaweza ukawa unatafuna jojo huku ukitembea na kuongea kwenye simu yako ukiwa unaelekea kwa Joji kwenda kula kiti moto au chipsi vumbi.
Ohh Ngabu , kuna binadamu alishawahi kut a man I kuna Tz akakosa ndege? Hii biashara ya ndege mara nyingi huwa ni "Crazy Ideas". Eti sababu inabeba bendera ya Taifa who cares about your flag. Kuna mawazo mengine yalikuwa sahihi miaka hiyo ya Giza ya 70s ,80s na 90s. Miaka hii ya Enlightment ya Utandawazi biashara ya ndege wangeachiwa Private sector. Biashara ya ndege ni ngumu tutaishia kutoa Huduma na kuwapa Ruzuku ya kujiendesha kama ilivyokuwa ATC(any time Cancellation). Nauli zenyewe ni kuanzia laki, nani Mtanzania Maskini Na Mnyonge anaweza afford hizi nauli? Labda waishio kama Malaika! Kila la heri, Time will tell.

Msukuma ana mahela ya pamba anafika dukani anasema nipe Novida moja ya elfu 5,hapo Mangi anategemea afanyaje

Kutokuridhika kwa binadamu ni jambo la kiasili.

Kunung'unika nako ni ada ya mja.

Bila ya kupoteza sana muda ngoja nizame moja kwa moja kwenye hoja.

Baada ya ununuzi wa hizi ndege za shirika letu la ndege, kumekuwepo na hoja kadha wa kadha zinazohoji eti kwa nini mheshimiwa MTUKUFU rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dokta John Pombe Joseph Magufuli pamoja na serikali yake wananunua ndege ilhali sehemu nyingi za Tanzania hazina viwanja vya ndege, eti hatuna sukari ya kutosha, hatuna sijui mashine gani mahospitalini, na kadhalika na kadhalika.

Sasa nami hebu ngoja niulize [maswali] yangu:

Hivi, kwani wakati ule tulipokuwa na zile ndege zetu za ATC, tulikuwa na viwanja vingapi vya ndege huko mikoani na wilayani?

Je, wakati ule hospitali zetu za serikali zilikuwa na kila kitu? Bugando ilikuwa na mashine zote zilizokuwa zinahitajika? Muhimbili nayo ilikuwa imejitosheleza kwa kila kitu?

Sukari, unga, sabuni, na mahitaji mengine nayo tulikuwa tumejitosheleza nayo vizuri tu?

Hizo Fokker Friendship [nadhani walikuwa nazo mbili au zaidi] za ATC ziliweza kutua hata huku kwetu Ikungulyabashashi, Ng'wamapalala, Lamadi, Madale, na Nyangokolwa?

Nchi zingine zilizo na mashirika yao ya ndege zenyewe zimetatua matatizo yake yote kabla ya kuamua kuwa na ndege zake zenyewe?

Huko Kenya kwa mfano, wao kila hospitali yao ina kila kifaa kilicho cha muhimu?

Sasa labda mimi kwa vile ni mbeba maboksi tu nisiye na elimu yoyote ile kubwa [niliishia kidato cha nne ambapo nilipata daraja la nne na pointi 30] ndo maana labda kwa kiasi fulani sizielewi hizo hoja za baadhi ya hao vipanga wanaozitoa.

Lakini nadhani mtu unaweza ukawa unatafuna jojo huku ukitembea na kuongea kwenye simu yako ukiwa unaelekea kwa Joji kwenda kula kiti moto au chipsi vumbi.
Umeongea vizuri lkn unatakiwa kuangalia haliilivyokuwa kipindi hicho, nchi ilikuwa imepiga hatua sana tulikuwa na viwanda vingi tu, masuala ya afya na elimu pia hatuwa vibaya kama sasa maana kwa kiasi kikubwa vilitolewa na serikali na uchangiaji ulikua kidogo. Ukweli nchi ilikuwa imejipanga na mwelekeo wapi tunaenda ulikuwa dhahiri. Hapa watu wanahoji kipaumbele tulichokibaliana kama nchi nikipi?

Hakuna plan na sera maalum,
Sera,mpangaji na mchepuaji fedha hazina ni mkulu peke yake kulingana na vipaumbele vyake.
Hili ndilo tatizo kuu LA ccm wangekuwa NA mikakati kila miaka kadhaa wangekuwa wanatekelwza tungejua juu wao wanajua kupiga 10%tu kila kitu mpaka arv NA panadol

Back
Top Bottom