Ananunua ndege wakati hiki na kile hatuna...

Ananunua ndege wakati hiki na kile hatuna...

Bado tuna safari ndefu mimi nadhani hilo la ndege limekaa vema sasa tuangalie lingine na pia kupongeza maana kwa vipaumbele kila mtu atataka kipaumbele chake na pia watanzania sijui tumekopi wapi khulka ya kuponda tu bila ya kuonyesha njia japo kwa michango ya mawazo.

Mara ngapi humu umeona watu wakiisifia Kenya na shirika lake na ndege?

Mara ngapi humu umeona watu wakiisifia Rwanda na wakimsifia Kagame na shirika lao la ndege?
 
SAMAHANI MH RAIS
SAMAHANI MAMLAKA HUSIKA
SAMAHANI WASHAURI WA RAIS

Mh Rais leo umesema kuwa unazo hela za kununua ndege zingine mbili (NAOMBA NILIE KIDOGO hiiii hiiii hiii ng'aaa ng'aaa ng'aaa)

ni muda sasa umepita msd wanasema hawana hela za kuagiza Madawa (nalia tena hiiii hiii hiii hiii hiiii)

mwanangu wakambo hajachomwa sindano ya chanjo ile hospitali yetu ya kata haina (nalia tena hiii hiii hiii hiii)

kule kigoma kumetokea tetemeko
(KILA SIKU WAHANGA WANALALAMA KUWA HAWAJALIWI) (nalia tena hiii hiii hiii hiii)

KWANI MH HIZO NDEGE MPYA ZITAKUWA ZINABEBA MAITI AMA WAGONJWA WALIOKOSA MADAWA MAHOSPITALINI?

ama je kipaombele cha serikali hii ni ndege tu??

WAHESHIMIWA INAWEZEKANA NIMEWAZA VIBAYA HIVYO NISAMEHEWE BILA KUADHIBIWA
Kagera
 
SAMAHANI MH RAIS
SAMAHANI MAMLAKA HUSIKA
SAMAHANI WASHAURI WA RAIS

Mh Rais leo umesema kuwa unazo hela za kununua ndege zingine mbili (NAOMBA NILIE KIDOGO hiiii hiiii hiii ng'aaa ng'aaa ng'aaa)

ni muda sasa umepita msd wanasema hawana hela za kuagiza Madawa (nalia tena hiiii hiii hiii hiii hiiii)

mwanangu wakambo hajachomwa sindano ya chanjo ile hospitali yetu ya kata haina (nalia tena hiii hiii hiii hiii)

kule kigoma kumetokea tetemeko
(KILA SIKU WAHANGA WANALALAMA KUWA HAWAJALIWI) (nalia tena hiii hiii hiii hiii)

KWANI MH HIZO NDEGE MPYA ZITAKUWA ZINABEBA MAITI AMA WAGONJWA WALIOKOSA MADAWA MAHOSPITALINI?

ama je kipaombele cha serikali hii ni ndege tu??

WAHESHIMIWA INAWEZEKANA NIMEWAZA VIBAYA HIVYO NISAMEHEWE BILA KUADHIBIWA
serikali kombo hii
 
Ukiwafahamu watanzania hata hupati shida....

Watanzania wapo hivi;
1. Ukifanya kitu watalalamika
2. Usipofanya kitu watalalamika

So at the end of the day fanya unachotaka kufanya.

Watu tumeshalewa siasa uncle..... Sie tuache kama tulivyo tuendelee kuchangamsha genge
 
Mi nasubiri million 50 kila kijiji nifanyie michakato ya Maisha. Hapa kazi tu.
 
Kazungumza hbr ya ndege kwa kua alikua ktk shughuli hyo.ikifika wakati wa kuzungumzia afya atatoa maneno ya kile kilichopo ktk idara hyo ya afya juu ya hzo sindano za kinga.wahanga Bukoba pia mbona kuna watu wanashughulika na kinachoendelea huko na maelekezo yake binafsi alishatoa
Kwahiyo wananchi waendelee kutaabika mpaka atakapo pata fusa ya kuzungumzia mambo ya madawa?
 
Nchi haina vipaumbele tuliambiwa kipaumbele ni viwanda lakini kuchekesho wizara ya viwanda ikatengewa bilioni 88....

Tukabadili gia angani na kununua ndege za bilioni 61....

Wakati huo tunategemea kumwaga pesa kununua zingine......

Sijui viwanda na ndege ni kipi kitatoa Ajira za kutosha na kulipa kodi kubwa....

# only in black continent....
Huna akili. Nchi haina vipaumbele???

Hebu kasome ilani ujue vipaumbele vya uncle Magu kwa hii miaka mitano. Wahed mbz
 
Jibu ni kwamba matatizo kwa mwanadamu hayaishi.
Shida aina mwisho mpaka siku ya kufa.
 
Hamna shukrani mlipokuwa mna sukari mlikumbuka kununua ndegemlipokuwa n.a. mdamadawa mlikumbuka japo kusema tu mjenge reli Kenya nyie
 
Kwa hiyo hatuwezi kununua ndege zetu wenyewe kwa sababu hospitali hazina vifaa vya kutosha?
Unahangaika na watu ambao hawapendi kujisomea ama kusoma.
Huyo hajui hata vipaombele vya serikali ya awamu ya tano. Labda umwambie akasome hivyo vipaombele kwenye ilani
 
li nchi gumu sana hili kuliongoza kwakwelibora nirudi kwetu kwa asili
 
Ukiwafahamu watanzania hata hupati shida....

Watanzania wapo hivi;
1. Ukifanya kitu watalalamika
2. Usipofanya kitu watalalamika

So at the end of the day fanya unachotaka kufanya.

Watu tumeshalewa siasa uncle..... Sie tuache kama tulivyo tuendelee kuchangamsha genge

Watu wameiponda sana serikali kwa kimsingi kuliua shirika la taifa la ndege.

Sasa serikali hii inafanya kweli katika kulifufua, hilo nalo wanaponda.
 
tunahitaji consultant wakupima uwezo wetu wa kufikiri,
 
Haya, hao hao wanaokosoa manunuzi ya ndege hizi, serikali ikisema iachane kabisa na huo mpango utawaona wakija hapa na kuanza kuikosoa huku wakiisifia Kenya na Rwanda.
 
Kutokuridhika kwa binadamu ni jambo la kiasili.

Kunung'unika nako ni ada ya mja.

Bila ya kupoteza sana muda ngoja nizame moja kwa moja kwenye hoja.

Baada ya ununuzi wa hizi ndege za shirika letu la ndege, kumekuwepo na hoja kadha wa kadha zinazohoji eti kwa nini mheshimiwa MTUKUFU rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dokta John Pombe Joseph Magufuli pamoja na serikali yake wananunua ndege ilhali sehemu nyingi za Tanzania hazina viwanja vya ndege, eti hatuna sukari ya kutosha, hatuna sijui mashine gani mahospitalini, na kadhalika na kadhalika.

Sasa nami hebu ngoja niulize [maswali] yangu:

Hivi, kwani wakati ule tulipokuwa na zile ndege zetu za ATC, tulikuwa na viwanja vingapi vya ndege huko mikoani na wilayani?

Je, wakati ule hospitali zetu za serikali zilikuwa na kila kitu? Bugando ilikuwa na mashine zote zilizokuwa zinahitajika? Muhimbili nayo ilikuwa imejitosheleza kwa kila kitu?

Sukari, unga, sabuni, na mahitaji mengine nayo tulikuwa tumejitosheleza nayo vizuri tu?

Hizo Fokker Friendship [nadhani walikuwa nazo mbili au zaidi] za ATC ziliweza kutua hata huku kwetu Ikungulyabashashi, Ng'wamapalala, Lamadi, Madale, na Nyangokolwa?

Nchi zingine zilizo na mashirika yao ya ndege zenyewe zimetatua matatizo yake yote kabla ya kuamua kuwa na ndege zake zenyewe?

Huko Kenya kwa mfano, wao kila hospitali yao ina kila kifaa kilicho cha muhimu?

Sasa labda mimi kwa vile ni mbeba maboksi tu nisiye na elimu yoyote ile kubwa [niliishia kidato cha nne ambapo nilipata daraja la nne na pointi 30] ndo maana labda kwa kiasi fulani sizielewi hizo hoja za baadhi ya hao vipanga wanaozitoa.

Lakini nadhani mtu unaweza ukawa unatafuna jojo huku ukitembea na kuongea kwenye simu yako ukiwa unaelekea kwa Joji kwenda kula kiti moto au chipsi vumbi.
Mbona huulizi hizo ndege tulizokuwa nazo kabla zilienda wapi??
 
Back
Top Bottom