Mtangoo
JF-Expert Member
- Oct 25, 2012
- 6,163
- 5,623
Tayari kuna makada wameteuliwa kuingia ATCL? Kama nilimwelewa ze boss ni kuwa amewapa bodi mamlaka ya kusuka uongozi. Una maana bodi imeundwa na makada au kwamba watasuka uongozi wenye makada? Hapo ndio sijaelewa ndugu yanguMkuu labda kama wewe ni mgeni nchi hii