Mimi naunga mkono hoja ya kuwa Na ndege zetu ila Jana mkulu sijapenda kauli yake aliposema eti zile ndege za watu 200plus wameambiwa hadi 2021 mkuu akasema hatutaki hivyo Sisi tunataka mapema tunataka wale wenye hela chache walioweka order tuwapige chini tununue sisi tuna hela nyingi. Kweli sisi tuna hela nyingi kiasi hicho? Sasa kwa nini matatizo sugu kwenye jamii yasitatuliwe haraka maana tuna pesa mingi!