Amyner..Miss you so Much!

Yaani sana tu. Moyo nao umeshangiliaaaa......
Ila najua hukawii kunichenji...
Baadae tu unanipa makavu na kunikana.
Hahahaaaa acha wasiwasi mama aisee mbona huniamini?
 
Huaminiki my bobo....!
Umeshanikana Mara kadhaa tena hadharani.
Hahahaaa yan Remmy comment huwa zinanifanya nacheka kwa sauti lol
I real like you
 
Last edited by a moderator:
hahahaaa........
Kweli usiombe kung'atwa na mdudu wa mapenzi!
Endelea kushikamana tu mwaya, salamu zako zitafika tu wala usijali!

Kama nisipozipeleka mie basi njiwa yupo kwa ajili hiyo!
Najua usipozipeleka wewe ni wivu umekusababishia Kipipi lol
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…