Amuua mwenzake kisa elf 1000 ya kamali

Amuua mwenzake kisa elf 1000 ya kamali

Buku Tu inamtia mtu Hasira na Ghadhabu hadi kuua mtu, harafu mnaulizana Wasiojulikana wanatoka wapi? Mtu kama Kareem akipewa 1M akutoe Roho ni chaap tu
Kuna yule rasi wa pool table aliua mwenzake kisa mia mbili, nae ni Beto kamchoma tumboni kwisha
 
Kijana aloefahamika Kwa jina la Dickson ameuwawa Kwa kuchomwa kisu cha shingo na rafiki yake Kareem.

Tukio hili limetokea dar, kiwalani.

vijana hao walikua wakicheza kamali, ndipo Dickson aliliwa buku na kugoma kuitoa, Kareem alichukia na kutoa kisu Kisha kumshambulia shingoni mara mbili na kukimbia. Dickson ni mwenye mavazi mweupe na Kareem ni huyo wa pembeni
Kobaz ametuulia ndugu yetu mgalatia. Wagalatia tusikubali tuandamaneni.

Makebo hydroxo
 
Hao wote walikua washikaji yani marafiki hivo ni mis understand ndogo tu mara nyingi unaeza Kuta huyu dick ndo alianza kum attack mwenzake Kareem akajitetea na ku wini the match, kitendo tu cha yeye kuto kutoa pesa na kaliwa ni dhahiri jamaa ni mkorofi, huenda ndo ilikua pigo zake hivo akahesabiwa mda kajaa wakapita nae
 
Kijana aloefahamika Kwa jina la Dickson ameuwawa Kwa kuchomwa kisu cha shingo na rafiki yake Kareem.

Tukio hili limetokea dar, kiwalani.

vijana hao walikua wakicheza kamali, ndipo Dickson aliliwa buku na kugoma kuitoa, Kareem alichukia na kutoa kisu Kisha kumshambulia shingoni mara mbili na kukimbia. Dickson ni mwenye mavazi mweupe na Kareem ni huyo wa pembeni
Mavuta bange matupu, sura zinajieleza.
 
Kijana aloefahamika Kwa jina la Dickson ameuwawa Kwa kuchomwa kisu cha shingo na rafiki yake Kareem.

Tukio hili limetokea dar, kiwalani.

vijana hao walikua wakicheza kamali, ndipo Dickson aliliwa buku na kugoma kuitoa, Kareem alichukia na kutoa kisu Kisha kumshambulia shingoni mara mbili na kukimbia. Dickson ni mwenye mavazi mweupe na Kareem ni huyo wa pembeni
Kamari na unga vipo draw match. Uraibu wake ni hatari sana.
 
Kuna mtu katolea mfano nchi za wenzetu mbona zimeendelea na wanavuta bangi fresh tu, akasahau kua huko kupigwa risasi kitu cha kawaida kabisa hayo yote ni madhara ya bangi
 
Kijana aloefahamika Kwa jina la Dickson ameuwawa Kwa kuchomwa kisu cha shingo na rafiki yake Kareem.

Tukio hili limetokea dar, kiwalani.

vijana hao walikua wakicheza kamali, ndipo Dickson aliliwa buku na kugoma kuitoa, Kareem alichukia na kutoa kisu Kisha kumshambulia shingoni mara mbili na kukimbia. Dickson ni mwenye mavazi mweupe na Kareem ni huyo wa pembeni
Tukio hilo limetokea wapi/maeneo yapi

Ova
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom