Poor Brain
JF-Expert Member
- Jul 5, 2019
- 28,790
- 58,402
Hakuna mtu anaanza kutumia valium direct, wote walianzia kwenye Bangi...Sio bange hiyo ni Dose power ( valium)
Bangi ndio mwanzo wa kila kitu hapo ndio mana inapigwa marufuku
Hakuna mtu anaanza kutumia valium direct, wote walianzia kwenye Bangi...Sio bange hiyo ni Dose power ( valium)
Bangi bangi bangi aiseeeMaandiko yamekataza kamali, kila siku yanapingwa kwenye sehemu za ibada ila tunajifanya kwenda na wakat
Kamari na boda boda ni janga. Sawa.Mafanikio ya CCM hayo...
Ajira za Kamali+Kubeti=Viwanda vya kati vilivyoajiri watu wengi sana...
Unazungumzia vipi nchi zilizoruhusu na mambo yanaenda?Hakuna mtu anaanza kutumia valium direct, wote walianzia kwenye Bangi...
Bangi ndio mwanzo wa kila kitu hapo ndio mana inapigwa marufuku
Nakuheshimu sana ujueYaani serikali inapopiga marufuku bange muwe waelewa.
Buku Tu inamtia mtu Hasira na Ghadhabu hadi kuua mtu, harafu mnaulizana Wasiojulikana wanatoka wapi? Mtu kama Kareem akipewa 1M akutoe Roho ni chaap tuKijana aloefahamika Kwa jina la Dickson ameuwawa Kwa kuchomwa kisu cha shingo na rafiki yake Kareem.
Tukio hili limetokea dar, kiwalani.
vijana hao walikua wakicheza kamali, ndipo Dickson aliliwa buku na kugoma kuitoa, Kareem alichukia na kutoa kisu Kisha kumshambulia shingoni mara mbili na kukimbia. Dickson ni mwenye mavazi mweupe na Kareem ni huyo wa pembeni
Hata ambao hawajasoma na wao hawataki kazi ngumu,Hakuna kuilaumu ccm kaka kazi zimejaa vijana hawataki kubeba zege ccm ifanyeje? Mfano hapa zenji kazi za kirekebisha miundo mbinu Kwa sasa ni nyingi sana lakini vijana wanataka kazi ya kula ofisini na elimu mtiti
Kabla ya kuzungumzia nchi zilizoruhusu lazima ufanye comparison kwanza kuanziaUnazungumzia vipi nchi zilizoruhusu na mambo yanaenda?
Kuna Mwingine kule Tandika amepigwa kisu na mwenzake wakiwa wameolewa cha Tumboni alikimbizwa TMK hospital sijui kama aliponaWahuni wote siku hizi wanatembea na kisu, yule muigizajo aliuliwa na kisu, yule mjeda kawe aliuliwa na kisu pia nk wengine hawafahamiki ila kupigwa kisu cha shingo au jicho siku hizi simple sana
Mkuu bangi jau...Nakuheshimu sana ujue
Tuheshimiane bangi Ina kanuni zake na taratibu zake za kuitumia sawaMkuu bangi jau...
Asilimia 90
Acha siasa za majitaka we mpumbavuMafanikio ya CCM hayo...
Ajira za Kamali+Kubeti=Viwanda vya kati vilivyoajiri watu wengi sana...
litakuwa lile dubwi la mchina.Wakiambiwa kamari mbaya hawaelewi
Kamari ni hatari kuliko hata bangeYaani serikali inapopiga marufuku bange muwe waelewa.
Lile huwezi kucheza ukiwa na akili timamulitakuwa lile dubwi la mchina.
Hili ndo Taifa tunalojivunia kulijenga kwa mbwembwe kama zote. Hakuna kazi ya kufanya bali ni kutembea na kisu au bisibisi ya kujihami na kushinda kwenye kamari kuwinda buku.Kijana aloefahamika Kwa jina la Dickson ameuwawa Kwa kuchomwa kisu cha shingo na rafiki yake Kareem.
Tukio hili limetokea dar, kiwalani.
vijana hao walikua wakicheza kamali, ndipo Dickson aliliwa buku na kugoma kuitoa, Kareem alichukia na kutoa kisu Kisha kumshambulia shingoni mara mbili na kukimbia. Dickson ni mwenye mavazi mweupe na Kareem ni huyo wa pembeni