Amuua mwenzake kisa elf 1000 ya kamali

Amuua mwenzake kisa elf 1000 ya kamali

Visungura,double kick hz cheap pombe za kupima ndiyo shida namba moja

Bange inafata nyuma sana

Duh kiwalani watu wamepinda napo

Ova
Inasikitisha sana kaka yani kumuua mtu kisa buku sasa Kuna yule rasi aliua mwenzake kisa mia mbili kwenye pool table
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom