Amuua mwenzake kisa elf 1000 ya kamali

Amuua mwenzake kisa elf 1000 ya kamali

Alexido jz instagram

JF-Expert Member
Joined
May 5, 2026
Posts
2,168
Reaction score
5,220
Kijana aloefahamika Kwa jina la Dickson ameuwawa Kwa kuchomwa kisu cha shingo na rafiki yake Kareem.

Tukio hili limetokea dar, kiwalani.

vijana hao walikua wakicheza kamali, ndipo Dickson aliliwa buku na kugoma kuitoa, Kareem alichukia na kutoa kisu Kisha kumshambulia shingoni mara mbili na kukimbia. Dickson ni mwenye mavazi mweupe na Kareem ni huyo wa pembeni
 
Attachments

  • Screenshot_20260822-074012.jpg
    Screenshot_20260822-074012.jpg
    46.5 KB · Views: 8
Hawa vijana ni bure kabisa Ina maana hawaoni fulsa kedekede anazozitoa Raisi wetu kipenzi tena anaependwa na vijana kuliko Marais wote waliowahi kupita nchini?
 
Attachments

  • IMG_20260821_170521~2.jpg
    IMG_20260821_170521~2.jpg
    627 KB · Views: 3
Kijana aloefahamika Kwa jina la Dickson ameuwawa Kwa kuchomwa kisu cha shingo na rafiki yake Kareem.

Tukio hili limetokea dar, kiwalani.

vijana hao walikua wakicheza kamali, ndipo Dickson aliliwa buku na kugoma kuitoa, Kareem alichukia na kutoa kisu Kisha kumshambulia shingoni mara mbili na kukimbia. Dickson ni mwenye mavazi mweupe na Kareem ni huyo wa pembeni
Hawa madogo mbona kama wa kanda ya ziwa
 
Mafanikio ya CCM hayo...
Ajira za Kamali+Kubeti=Viwanda vya kati vilivyoajiri watu wengi sana...
Hakuna kuilaumu ccm kaka kazi zimejaa vijana hawataki kubeba zege ccm ifanyeje? Mfano hapa zenji kazi za kirekebisha miundo mbinu Kwa sasa ni nyingi sana lakini vijana wanataka kazi ya kula ofisini na elimu mtiti
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom