Amini usiamini wachawi wana kipindi kigumu sana

Amini usiamini wachawi wana kipindi kigumu sana

Tunguli na maji ni hasi na chanya
Mkuu mshana kwanza pole kwa majukum yako ya kila siku na kutupa elimu nirudi kwenye mada kuna topiki yako moja uligusia juu ya mabonge ya chumvi na matumizi yake na jinsi inavyofanya kazi kama kuogea ama kunyunyuzia kwenye chumba na, sasa pia kama nina mtoto mdogo ambae anasoma yuko nursery skul ili kumkinga na watu wabaya aendako shule pia naweza vp kumkinga kwa vipande chumvi ikiwa mimi natumia kwa kunuia na kukiweka mguu wa kulia kwenye soksi??? Nawasilisha
 
[emoji1545][emoji1545] muogeshee kila asubuhi anapokwenda shule ..weka kidogo tu kwenye maji yake ya kuoga
 
Nakumbuka kuna aliyechukua tunguli la biashara akaambiwa awe makini lisinyeshewe na mvua. Mshana Jr upo makini.
 
Nakumbuka kuna aliyechukua tunguli la biashara akaambiwa awe makini lisinyeshewe na mvua. Mshana Jr upo makini.
[emoji3][emoji1545][emoji1545][emoji1545]likiingia mayi tu linakuwa viza
 
Kwa hiyo Mshana Jr wakati wa mvua hamna pilot anaeruka kwa kuhofia Hali ya hewa.
Na kipindi hicho Cha mvua Ni nguvu/kiongozi gani anaekuwa anatawala?
 
Kwa hiyo Mshana Jr wakati wa mvua hamna pilot anaeruka kwa kuhofia Hali ya hewa.
Na kipindi hicho Cha mvua Ni nguvu/kiongozi gani anaekuwa anatawala?
Utawala wa giza unaendelea ila kinachositishwa kwa muda ni masafa ya angani na ardhini isipokuwa kwa kazi maalum na dharura
 
Msaada boss kuna jamaa yangu alinyolewa nywele Tangu mwezi wa kwanza mpaka leo nywele haijaota he kuna dawa yoyote Hili nywele ziote?? Si sehemu mkubwa na kaeneo kadogo
Apake chumvi na ndimu kila siku zitaota japo itachukua muda
 
Unaweza ukadhani nazungumzia ukata wa kipindi hiki au pengine kupungua kwa wateja la hasha! Kuna sababu nyingine tofauti kabisa na hizi.

Mchawi na mitunguli yake yote na nguvu zake zote kiboko yake maji, yani hakuna tofauti na kitu cha umeme kisivyopatana na maji.

Tunguli na maji ni vitu viwili tofauti kabisa ndio maana hata siku moja ni ngumu sana kukuta tunguli zimefukiwa mtoni.

Kumbukeni ile mada ya uchawi hauvuki bahari kwahiyo kipindi hiki cha mvua ni kipindi kigumu kwa hawa ndugu zetu hasa kama tunguli zao sio zile water proof.

Kinachofanyika kwa sasa ni kufanya tu makafara ya damu lakini kule kulogwa ama kuchawiwa na kuwangiwa usiku graph imeshuka sana na anga limetulia mno.

Hizi mvua zikiendelea hivi hivi tutarajie mengi

Hivi unafaidikaje na ushirikina? Mbona ni mzogo mkubwa usiobebeka?
 
Screenshot_20220121-021524.jpg
 
Mchawi ndie kiumbe mwenye kiwango cha chini sana cha kufikiri duniani,mtu mwenye akili hata ya kuvukia barabara hawezi kuwa mchawi.
 
Back
Top Bottom