Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 376,136
- 871,450
- Thread starter
- #281
Mvua za leo zimetuweza...zikiendelea tena kesho vilinge vingi vitafungwa
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Mvua zenu zimesababisha magufuli ashindwe kufanya kampeni, sasa subirini tutawakomesha.
Gwaji kamlaumu Mdee kwa mafuriko Basihaya[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mvua zenu zimesababisha magufuli ashindwe kufanya kampeni, sasa subirini tutawakomesha.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kule siasani hawanipendi au nyuzi zangu hawazielewi[emoji23][emoji23][emoji23]thread zako ni uchawi na ulozi na uganga...anyway e delea kutupa maujuz
the hater ,the fan mkuu
Gwaji msengge tuGwaji kamlaumu Mdee kwa mafuriko Basihaya[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji1787][emoji1550][emoji1550][emoji1550][emoji1550][emoji1550]
Tunguli zao au tunguli zenu Mshana......?Unaweza ukadhani nazungumzia ukata wa kipindi hiki au pengine kupungua kwa wateja la hasha! Kuna sababu nyingine tofauti kabisa na hizi.
Mchawi na mitunguli yake yote na nguvu zake zote kiboko yake maji, yani hakuna tofauti na kitu cha umeme kisivyopatana na maji.
Tunguli na maji ni vitu viwili tofauti kabisa ndio maana hata siku moja ni ngumu sana kukuta tunguli zimefukiwa mtoni.
Kumbukeni ile mada ya uchawi hauvuki bahari kwahiyo kipindi hiki cha mvua ni kipindi kigumu kwa hawa ndugu zetu hasa kama tunguli zao sio zile water proof.
Kinachofanyika kwa sasa ni kufanya tu makafara ya damu lakini kule kulogwa ama kuchawiwa na kuwangiwa usiku graph imeshuka sana na anga limetulia mno.
Hizi mvua zikiendelea hivi hivi tutarajie mengi
Haya avae Mshana.Mshana wee, shigha avae nikuvwije.Ikio,vusavi vuna faida aani,yaani o,hena chochothe wepata kwa kuoka msavi?Zote..[emoji848][emoji2][emoji2960]
Ngoja Nimjulishe Yule Mgombea anasema Polisi wanamnyanyasa sana....Kandarasi ya nani hii? Lazima awepo wa kusimama kwa niaba
Mkuu kwani mvua na hayo mambo haviendani kabisa?Hii mvua ikiendelea na kesho tena... Vilinge vingi vitazidi kuadhirika