Amini hakuna mwanamke wa peke yako karne hii

Amini hakuna mwanamke wa peke yako karne hii

Mimi naamini yupo wa kwako peke yako kama mtatimiziano vile kila mmoja hutaka...

Kusalitiana hutokea sana.. kwa sababu mnakuwa na watu ambao siyo machaguo yenu..
 
Nakusanya ushahidi endapo mleta thread kadanganya uma namfungulia mashtaka mahakamani!

Kama huna hela utachapiwa tu kama unayo hamna wa kukusogelea mkeo
 
Huo niujinga. Kma kwako wanakuendea vbaya usifikrie dunia nzima inawaendea vbaya. Niwanawake unaokutana nao ww ndowakuivo, tafuta njia nyingine yakijifarij
Emb muambie huyu mxieuw.... Mke wake anamsumbua uko anajua ni wanawake wote
 
ila kumegewa inauma, mie nilimegewa wangu niliumia sana, kwani ilibidi tuachane na nikawa na msongo mkali sana, baada ya miezi ka 6 nilivyosahau speed yangu ilikuwa ni wake za watu na niliwafyeka kisawasawa, kama ingekuwa pensel ingekuwa ishakwisha, mpaka nilikuja kukoma nilivyokutana na mke wa mtu 1 papuchi ka domo la predator ile filamu ya anorld, nilikoma nilidhani nimechukua jini, nikakoma tangu hapo, sijawahi kutana na papuchi ile
 
Salaam ndg zangu.

Ndugu zangu, karne hii katika suala la mapenzi ni karne mbovu pengine kuliko hata zilizotangulia.

Karne hii imeambatana na maendeleo makubwa ya teknolojia ambayo ndio hasa yamevunja ukuta wa uaminifu ktk ndoa/mahusiano.

Nadiriki kusema wazi kwamba hakuna tena mwananke wa peke yako ktk dunia hii. Najua wapo wengi watakaobisha na kubeza na hii ni kwasababu wana macho lakini hawaoni na wana masikio lakini hawasikii.

Wanawake wa karne hii wamekua wepesi sana kudanganyika, uwepo wa mawasiliano kama simu na mitandao ya kijamii ndio haswaaaa huwapoteza kabisa na akili zao nyepesi kama moshi wa sigara.

Zamani kulikua na ugumu kidogo kumfukuzia mwanamke hasa ktk mawasiliano ila leo hii kila uchwao anaviona vibwana vyake vya zamani mitandaoni na kila baada ya hatua anaombwa mawasiliano na wanaume wenye maneno lukuki mdomoni.

Hakika wanawake wanajisahau na hawajiulizi kwanini wanapendwa zaidi wawapo ndani ya ndoa zao? Jaribuni kuiambia hiyo michepuko kwamba unataka kumwacha mmeo iwaoe tuone nin kitatokea.

Binafsi naamini mke wangu si wangu peke yangu, tupo wengi ila nakuasa ukumbuke kutumia kinga uendapo kuadhibiwa ili usilete maradhi nyumbani. Nahua upo hapa jukwaani na naamini lazima utasoma uzi huu.

Wanaume wenzangu na sisi tufanyejeeee????
Asante mume wangu kipenzi nimekusikia,
na ushauri wako nitauzingatia, na mimi najua siko peke yangu,
kumbuka pia kutumia Kinga huko uendako usilete maradhi nyumbani.

Asante kwa kunijali...
 
Back
Top Bottom