Hayo mengine yamewashinda wamekimbilia hukuIla wanaume wa peke yako wapo eti?
Hivi mbona wanawake tunawakaba hivyo!! Si muachane na sisi mfanye mambo mengine.
Mzuri kwa vipi? Sura au? Serengeti biy never never.. Wapo watu wazima ndoa zao zilishazingua. Cha msingi ni kuwa katika separate relationship ili kila mmoja ajijenge kivyake.married manwa kipindi hiki cha magufuli utakufa stress bure unaweza ukalisha na familia yake bora serengeti ulipie tu mgegedo tyme.sikushauri kabisa mume wa mtu never ever halafu wewe ni ngumu sana kupata mwanaume mzuri
mzuri i mean asie mnafikiMzuri kwa vipi? Sura au? Serengeti biy never never.. Wapo watu wazima ndoa zao zilishazingua. Cha msingi ni kuwa katika separate relationship ili kila mmoja ajijenge kivyake.
umeona eeeUtakuta yeye ana wanawake kibao ila ye kuonjewa inakua nongwa ha ha ha
Miss kuna kaka angu nikupe basihta mimi kweli nikiolewa nakituliza ila huku nje sitoacha kuchagua huwezi jua mzuri ni yupi?
Teh teh, dada Loeli sasa unaanza katabia kabaya. Usiwaze kumdanganya huyo uliye nae coz wala aitakuongezea $$ kwenye account yako.Ngoma droo. Hakuna mwanaume au mwanamke wa peke yako. Kila mmoja aburudike Nje jioni mnakutana. No stress. Binafsi nimeishi maisha ya uaminifu sana. Baada ya kugundua wanaume ni mapeli wa mapenzi basi kuanzia sasa nina revise jinsi ya kuishi na viumbe wanaume.
Acha kudanganya umma mkuu!!!sijawai kuangalia najiamini
hapana nitapata tu Mungu yupo sitaki hata wa huku jf sio wakweliMiss kuna kaka angu nikupe basi
We misi weweee hutaki mbegu nzuri utoe mtoto super?hapana nitapata tu Mungu yupo sitaki hata wa huku jf sio wakweli
Na tutaendelea kuwasumbua tuHahahaaaaaa!! Pamoja na wao kuwa wengi ila bado tunawasumbua!
Hiyo nguvu waihamishie kwenye kusaka pesa.Hayo mengine yamewashinda wamekimbilia huku
nataka ila sitaki kutafutiwaWe misi weweee hutaki mbegu nzuri utoe mtoto super?
Kabisa maana hamna namna nyingine.Na tutaendelea kuwasumbua tu
Poa. Tuombeane uzimamzuri i mean asie mnafiki
Kwahiyo wale ambao hawajaoa wao wana uaminifu wa hali ya juu?kumi kwa mmoja